Wananchi kutengua uamuzi wa kidemokrasia Uingereza!

Baada ya wananchi wa nchi ya Uingereza huko bara Ulaya kutumia haki yao ya kikatiba na kupiga kura ya kutokuwa na imani na nchi yao kuendelea kubakia kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya sasa wakubwa wa nchi hawataki kutii uamuzi huo na wanataka kuupindua na ukweli ni kwamba Uingereza haitatoka EU pmj na kwamba wananchi walio wengi wanataka iwe hivyo ...

Hili lingefanyika Afrika sasa hivi ma house niga wa kiafrika wangetoka povu kulipinga na kuita udikteta lkn kwa sababu ni Mzungu basi mahouse niga watakuja na sababu za kutetea na kuhalalisha ubakaji huu wa demokrasia unaofanyika huko Uingereza!
Umeandika na kutoa suluhisho lkn ina maana hawatatoka povu, hao walioshadadia wana mipango ya maana. Mbn wameanza kujikanyaga bila suluhisho makini. Mbn tz kuna znz imeminywa kimia kila chenye manufaa ni aheri hata demokrasia kucheleweshwa
 
Mkuu Uingereza imeshapiga kura ya kujitoa. Na hawarudi nyuma. Sasa kama kuna watu huko kwao wanaoonesha kutokuridhika, hilo ni jambo la kawaida tu mbona. Hata kwenye chaguzi zetu matokeo kuna watu huwa wanayapinga mwanzoni lakini baadaye wanaendelea na maisha. Hicho ndicho kinachotokea Uingereza.

Hahaha ndugu hii Dunia inaongozwa na watu wachache na waamualo wengi haliwahusu subiri uone kama Uingereza itajitoa EU!
Hivi unafahamu kwamba wamekataa hao viongozi wa Uingereza kuanza taratibu rasmi za kujitoa kama EU wanavyowataka
 
Baada ya wananchi wa nchi ya Uingereza huko bara Ulaya kutumia haki yao ya kikatiba na kupiga kura ya kutokuwa na imani na nchi yao kuendelea kubakia kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya sasa wakubwa wa nchi hawataki kutii uamuzi huo na wanataka kuupindua na ukweli ni kwamba Uingereza haitatoka EU pmj na kwamba wananchi walio wengi wanataka iwe hivyo ...

Hili lingefanyika Afrika sasa hivi ma house niga wa kiafrika wangetoka povu kulipinga na kuita udikteta lkn kwa sababu ni Mzungu basi mahouse niga watakuja na sababu za kutetea na kuhalalisha ubakaji huu wa demokrasia unaofanyika huko Uingereza!
Nakukatalia, lazima watajitoa tu! 52-48 almost 4% ni wengi mno.
 
Hahaha ndugu hii Dunia inaongozwa na watu wachache na waamualo wengi haliwahusu subiri uone kama Uingereza utajitoa hivi unafahamu kwamba wamekataa hao viongozi wa Uingereza kuanza taratibu rasmi za kujitoa kama EU wanavyowataka
Ni kawaida kuweweseka. Hata Lowassa alikataa kukubali matokeo
 
Baada ya wananchi wa nchi ya Uingereza huko bara Ulaya kutumia haki yao ya kikatiba na kupiga kura ya kutokuwa na imani na nchi yao kuendelea kubakia kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya sasa wakubwa wa nchi hawataki kutii uamuzi huo na wanataka kuupindua na ukweli ni kwamba Uingereza haitatoka EU pmj na kwamba wananchi walio wengi wanataka iwe hivyo ...

Hili lingefanyika Afrika sasa hivi ma house niga wa kiafrika wangetoka povu kulipinga na kuita udikteta lkn kwa sababu ni Mzungu basi mahouse niga watakuja na sababu za kutetea na kuhalalisha ubakaji huu wa demokrasia unaofanyika huko Uingereza!
Unatoa utabiri au maono???
 
Umeandika na kutoa suluhisho lkn ina maana hawatatoka povu, hao walioshadadia wana mipango ya maana. Mbn wameanza kujikanyaga bila suluhisho makini. Mbn tz kuna znz imeminywa kimia kila chenye manufaa ni aheri hata demokrasia kucheleweshwa

Huyo kiongozi na dalali Mkuu wa Brexit anaitwa Boris sijui keshaingia mitini na kuwatosa aliokuwa anawaambia wakatae EU!
 
Matamko ya kina Mbowe na Lisu hutayaona hapa.

Nyumbu wote wanaona udikteta ni Magufuli tu
 
Unatoa utabiri au maono???

Amini ninachokwambia Uingereza haitajitoa EU na sababu ni moja tu nayo ni kwamba maelite hawataki kwani watapoteza mengi kuanzia umuhimu wa financial center london ambayo ndiyo Moyo wa uchumi wa nchi hiyo!
 
Demokrasia za kujiondoa ktk muungano hazikubaliki ni udikteta tu kwa kwenda mbele.
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu
Anaetaka kujitoa akaanzishe nchi yake
....na kujitoa katika umoja ni dalili za choyo, ubaguzi, ubinafsi, n.k. ambavyo kwa kawaida haikubaliki....
 
Amoni ninachokwambia Uingereza haitajitoa EU na sababu ni moja tu nayo ni kwamba maelite hawataji kwani watapoteza mengi kuanzia umuhimu wa financial center london ambayo ndiyo Moyo wa uchumi wa nchi hiyo!
Basi utulie kwanza ndugu,sina kawaida ya kukuamini wewe
 
Tatizo ni kwamba hili lingefanyika Afrika la kupindua maamuzi ya wengi ungewaona akina Baregu, Kitila, Zito & Co. ambavyo wangetoka povu na kuanza kuwanukuu akina Obama kwamba Obama alisema hivi mara vile lkn hapa kwa kuwa ubakwaji huu wa kidemokrasia anaufanya Mzungu basi mahouse nigas watatafuta sababu ya kuhalalisha ...

kama ni mfumo wao wala haina shida. USA wana wa kwao, na bado wanaisifia democracy yao.
 
Jamani mbona tunakwenda mbali? Demokrasia huwa inategemea na mazingira. Kama watu wengi hawajui wanafanya nini maamuzi yao yanaweza kugeuzwa ikiwa kwa kufanya hivyo ni faida zaidi.

Baba wa Taifa Mwl Nyerere alishauri pamoja na kwamba watanzania wengi walitaka tuendelee na mfumo wa chama kimoja lakini mazingira yamebadilika na hivyo Tanzania ikaingia mfumo wa vyama vingi licha ya matokeo ya 20:80
 
Subiri uone chezo linavyokwenda uliona maandamano ya jana? Kwanza huyo pro Brexit mwenyewe Boris ameshajitoa halafu unafahamu kwa nini Kiongozi wa Uingereza amekataa kuharakisha taratibu za kujiengua EU kama EU walivyomtaka afanye na kama wananchi wakivyoahidiwa?
Unajua chanzo cha Boris kujitoa?Unajua nchi gani ulimwenguni yenye ku practice 'democracy' japo wananchi wake inawaumiza?.....
Maandamano kufanyika London ni kitu cha kawaida,ktk majiji yote na mikoa ya hapa England ni London peke yake ndio imepiga kura ya kubaki kutokana na uwingi wa wahamiaji waliopo London hivyo Maandamano hayajastua watu. ....Boris kujitoa ni sababu ya kusalitiwa na mshirika wake wa karibu 'gove' ambaye hana hata uhakika wa kushinda ...plan ya Boris ni kuja kugombea uchaguzi ujao wa UK baada ya kuona kwa sasa akigombea itakuwa ni kuchafuana zaidi na gove ambaye watu wengi wanamsema kutokana na kitendo chake cha kusalitiwa boris
 
Kichwa kitupu hata ukieleweshe vipi, kinabakia na utupu maana hakina set up. Hatakuelewa huyu labda apigwe na radi kwanza
 
Uingereza ilishajitoa EU. Hizi porojo zinatoka wapi tena?
 
Na hawatoki kweli,kwani hata ukiangalia sehemu nyingi waliopiga kura ya kujitoa ni vitongoji duni wakidhani kuwa kubaki pekee yao kutawapa unafuu wa maisha kumbe ndio tabu zaidi,,mfano Scotland nao wanataka waitishe kura ya maoni tena juu ya kubaki kwao Uk,kwani wao waliaminishwa kuwa umoja ni nguvu wakati walipotaka kujitenga na UK!leo wao wanataka kubakia EU,na hii UK wasipokuwa makini yale maneno ya mwalimu nyerere yatatimia,hawatabaki salama kamwe,na sasa hivi tu wameshaanza kubaguana hususani wageni.kwenye democracy kuna maamuzi mengine ni ya kimuzuka zaidi harafu badaye mnakuja juta,hivyo pamoja na democracy ni lazima na mambo mengine yaangaliwe pia,choka mbaya wengi ndio walipiga kura ya LEAVE,

mimi siamini katika hiki kunachoitwa demokrasia maana hata walevi wanaweza kuwachagulia kiongozi mlevi kwa kuwa tu wao ni wengi
 
Unajua chanzo cha Boris kujitoa?Unajua nchi gani ulimwenguni yenye ku practice 'democracy' japo wananchi wake inawaumiza?.....
Maandamano kufanyika London ni kitu cha kawaida,ktk majiji yote na mikoa ya hapa England ni London peke yake ndio imepiga kura ya kubaki kutokana na uwingi wa wahamiaji waliopo London hivyo Maandamano hayajastua watu. ....Boris kujitoa ni sababu ya kusalitiwa na mshirika wake wa karibu 'gove' ambaye hana hata uhakika wa kushinda ...plan ya Boris ni kuja kugombea uchaguzi ujao wa UK baada ya kuona kwa sasa akigombea itakuwa ni kuchafuana zaidi na gove ambaye watu wengi wanamsema kutokana na kitendo chake cha kusalitiwa boris

Hakuna unachokijua zaidi ya kuangalia cnn lkn nakwambia Uingereza haitajitoa EU na sababu kubwa ndiyo hiyo niliyoitaja maelite wanafaidika na uwepo wa nchi hiyo EU na wao ndiyo huamua na siyo wananchi subiri uone, siyo mara ya kwanza nchi ya Ulaya kupiga kura ya maoni na matokeo kupinduliwa na maelite kitakachotokea ni kama Uholanzi hiyo kura itarudiwa mpaka namba wanayotaka maelite ipatikane lilifanyika Ugiriki, Uholanzi na kwingineko!
 
Back
Top Bottom