Wananchi Bukombe waomba Rais Magufuli aongezewe muda wa kukaa madarakani

Niliwahi kulisema hili hapa na wanzangu wanyonge wameliona Hilo. Magu anastahili kuongezewa muda . Miaka 10 Ni michache sana.
 
Wananchi wa vijiji vya Bulangwa na Katente mkoani Geita,wameliomba Bunge la Tanzania kufanya marekebisho ya muda wa ukomo wa urais kutoka miaka kumi ya sasa hadi miaka ishirini ili kumuwezesha Rais Dk.John Pombe Magufuli kuendelea kubakia madarakani.

Wananchi hao wametoa ushauri huo katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na mbunge wa jimbo la bukombe mh. Dotto biteko kwa ajili ya kumpongeza Rais Dk.John Pombe Magufuli kwa namna alisimamia sekta ya madini,mkutano ambao umehudhuriwa na Mbunge wa Jimbo la Geita mjini Mh.Costantine Kanyasu.

Akiwahutubia wananchi,Mbunge wa Jimbo la Bukombe ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya Nishati na Madini Mh. Dotto Biteko,amesema kazi ya kupigania rasilimali za taifa inayofanywa na Rais Dk. John Pombe Magufuli si ya lelemama,huku Mbunge wa Jimbo la Geita mjini Mh. Kanyasu akisema serikali ya awamu ya tano haiwachukii wawekezaji, bali inawachukia waporaji wa raslimali za nchi.

Ripoti ya kamati ya pili ya mchanga wa madini wa Makinikia,iliyowasilishwa Juni 12 mwaka huu kwa Rais Magufuli na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Prof.Nehemiah Ossoro ilibaini taifa kupoteza shilingi Trilioni 252 kupitia usafirishaji wa mchanga wa madini ya makinikia nje ya nchi kuanzia mwaka 1998 hadi kufikia mwaka huu,huku ikiwahusisha baadhi ya mawaziri wa zamani wa nishati na madini waliohusika kuingia mikataba mibovu iliyoisababishia serikali hasara.
Mbona hata mitano haijaisha?
 
To me magufuli ni mchezaji mpira anayecheza na jukwaa. Anapiga chenga nying, dribbles nying, mara anapiga na tobo ila mwisho wa siku output ndogo (hamna goli) na mechi inaisha timu yake inapoteza. Wachezaji wanaocheza na majukwaa huwa hawaziletei timu zao matokeo na makocha makini huwa wanatoa wakishaliona hili. Sasa hapa huyu wetu zamu hii ni kocha mchezaji, no substitution, tusubir mechi iishe tu, hata km tunajua tutafungwa.
 
magufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamia
1. Samaki wa magufuli alishindwa na kuliinhizia taifa hasara kubwa
2. Lugumi hiyo yeye yumo na imemshinda hawezi kujichukulia hatua
3. Kivuko kibovu alileta yeye wala hajajikamata na kujishitaki
4. BASHITE tu amemshinda sembuse Marais waliopita ambao alishasalimu amri hadi kuteua mke wa rais kuwa mbunge
5. Hajaweka mezani mkataba wa chatointernational airport???!!
6. Yeye binafsi hajaweka wazi mkataba wa bormberdier watz wanajua dili alizofanya yeye binafsi....
7. Hajaonesha hata nukta ya uzalendo kwa yale ambayo yeye binafsi ameshinikiza na kupazimishwa yafanyike.
8. Watz mtachezeshwa sn shere na ccm hukumnawalaumu wazungu na wachina kwa kiwaibia wkt wezi wenu ni ccmmnaowachekea
 
Wananchi wa vijiji vya Bulangwa na Katente mkoani Geita,wameliomba Bunge la Tanzania kufanya marekebisho ya muda wa ukomo wa urais kutoka miaka kumi ya sasa hadi miaka ishirini ili kumuwezesha Rais Dk.John Pombe Magufuli kuendelea kubakia madarakani.

Wananchi hao wametoa ushauri huo katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na mbunge wa jimbo la bukombe mh. Dotto biteko kwa ajili ya kumpongeza Rais Dk.John Pombe Magufuli kwa namna alisimamia sekta ya madini,mkutano ambao umehudhuriwa na Mbunge wa Jimbo la Geita mjini Mh.Costantine Kanyasu.

Akiwahutubia wananchi,Mbunge wa Jimbo la Bukombe ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya Nishati na Madini Mh. Dotto Biteko,amesema kazi ya kupigania rasilimali za taifa inayofanywa na Rais Dk. John Pombe Magufuli si ya lelemama,huku Mbunge wa Jimbo la Geita mjini Mh. Kanyasu akisema serikali ya awamu ya tano haiwachukii wawekezaji, bali inawachukia waporaji wa raslimali za nchi.

Ripoti ya kamati ya pili ya mchanga wa madini wa Makinikia,iliyowasilishwa Juni 12 mwaka huu kwa Rais Magufuli na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Prof.Nehemiah Ossoro ilibaini taifa kupoteza shilingi Trilioni 252 kupitia usafirishaji wa mchanga wa madini ya makinikia nje ya nchi kuanzia mwaka 1998 hadi kufikia mwaka huu,huku ikiwahusisha baadhi ya mawaziri wa zamani wa nishati na madini waliohusika kuingia mikataba mibovu iliyoisababishia serikali hasara.
Hata kipindi kimoja hakijaisha ni ngoma kila kona akikosolewa hawa hawa utasikia mpeni muda
Ukabila au?
 
magufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamia
1. Samaki wa magufuli alishindwa na kuliinhizia taifa hasara kubwa
2. Lugumi hiyo yeye yumo na imemshinda hawezi kujichukulia hatua
3. Kivuko kibovu alileta yeye wala hajajikamata na kujishitaki
4. BASHITE tu amemshinda sembuse Marais waliopita ambao alishasalimu amri hadi kuteua mke wa rais kuwa mbunge
5. Hajaweka mezani mkataba wa chatointernational airport???!!
6. Yeye binafsi hajaweka wazi mkataba wa bormberdier watz wanajua dili alizofanya yeye binafsi....
7. Hajaonesha hata nukta ya uzalendo kwa yale ambayo yeye binafsi ameshinikiza na kupazimishwa yafanyike.
8. Watz mtachezeshwa sn shere na ccm hukumnawalaumu wazungu na wachina kwa kiwaibia wkt wezi wenu ni ccmmnaowachekea
 
Wabunge wanafanya kazi kweli - kukusanya wananchi na kuwaambia hili huku bado Mh ana miaka mingi kisheria ya kuwa rais. Mtu-Masaa ( manhour ) mangapi amabayo yangefaidi uchumi yamepotea kwa kupiga longo longo hapo
 
kubadilisha katiba haijawahi kuwa kosa!, kosa ni kujiongezea muda wa kukaa madarakani!...niishie hapo kwanza [HASHTAG]#jikubali[/HASHTAG]
Vyote vinaweza kufanya kazi. Kujiongezea muda bila kubadilisha katiba na kujiongezea muda kwa kubadilisha katiba.
Siku hizi hawafanyi hivyo kujiongezea bila kubadilisha katiba kwa sbb ni mbinu ya kizamani na ni rahisi kupinduliwa hata na nchi zingine kwasbb katiba inakuruhusu utawale vipindi 2 tu vya uongozi.
Ila siku hizi wamebuni njia mpya ya kujiongezea muda wa uongozi kwa kubadilisha katiba kwa sbb hawawezi kukushitaki popote sbb katiba inaruhusu utawale hata zaid ya vipind viwili.
Mfano. Kulunzinza, kagame anaelekea huko na wengine.
"Sasa hivi huwezi kujiongezea muda kama haujabadili katiba''
Hivi magufuli amue kujiongea muda bila kubadil katiba unafikiri nani atamuelewa?
Lkn akibadili katiba na kuchakachua matokeo ni rahisi sana hata kuwadhibiti watu mitaan. Ndiyo njia aliyotumia Kuluzinza anatambulika raisi halali aliyechaguliwa na wananchi. Unafikiri kwann maraisi mbalimbali wanafanya mazungumzo badala ya kumtoa Kuluzinza?
 
Wananchi bukombe au machizi bukombe??? Hata kama namkubali magufuli lkn akae only 5yrz.. jamaa ana visasi sana..
 
Back
Top Bottom