Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Baadhi ya wananchi katika mtaa wa Muriet kata ya Skokoni one mkoani Arusha wametishia kususia kupiga kura huku wakimtuhumu diwani wa kata hiyo na Mbunge wa Arusha mjini kwa kushindwa kutekeleza ahadi ya kujenga kivuko kinachounganisha zaidi ya kata tatu ikiwemo kata ya Muriet Sokoni one pamoja na Lemara.
Wananchi hao wameongeza kuwa kivuko hicho kilichojengwa kwa nguvu za wananchi kimeanza kuoza hivyo kuhatarisha usalama wa watumiaji ambapo kinapitisha zaidi ya watu 2000 kwa siku ikiwemo wanafunzi 300 wanaokwenda shule.
Pia soma RC Makonda: Migogoro iliyopo inazungumzika tusisubiri tatizo likatokea, tukapiga kelele dunia ikajua, tunajiumiza kwa kutoonekana kuwa na hekima