sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
1. FEZA KESSY.
Huyu alkuwa mwakilishi BBA. Alpochaguliwa tu akakamata fursa kwa kuingia studio na kutoa ngoma, akiamini kuwa BBA ndo kujua mziki. Honestly huyu dada hajui kitu ndo mana tangu atoe ule wimbo wake hadi hivi sasa ni "ZZZZZZ...!".
2. SHETA.
Huyu dogo ni kolabo tu ndo zinamweka mjini, bila hivyo angekua anasugua benchi tu kama kina Suma G. Mnakumbuka alishawahi kutoa ngoma aliyoimba peke yake inayoitwa Tunaplay, na akaishia kuisikiliza mwenyewe gheto kwa kukosa airtime, mpaka alpofanya kolabo na kina Mwana FA ndo ikawa Hit.
3. VANESA MDEE.
Huyu anatakiwa amshukuru sana Ommy kwa ile kolabo yao. Kitendo cha mwaka huu kupewa tuzo ya mwanamziki bora wa RnB ilikuwa ni aibu kubwa, maana hajui kitu. Bila Ommy huyu Vanesa Angekua anasugua benchi na kina Vumilia.
4. WASANII WA THT.
THT kuna watu wanajua kweli kama amini, mwasiti n.k. Tatzo kuna vibinti vime 'Hit Hit' kiajabu tu hadi unastaajabu kwa mgongo wa Clouds, wakati hamna kitu. Mf. ni Pipi, Recho n.k
Kwa Niliowasahau Unaweza Ongeza.