Wanamapinduzi Chama cha Mapinduzi tutahakikisha Samia Suluhu anafuata njia ya Hayati Magufuli ya kimapinduzi

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,425
7,211
Watu walimchagua magufuli kwa kura asilimia 84.3. Bahati mbaya Mungu kamchukua Magufuli.

Mama umesema kwa kauli yako mwenyewe wewe na Magufuli ni kitu kimoja.

Tunategemea kuona nchi ikiendeshwa kwa msingi uleule wa kutetea maslahi ya umma. Kupiga vita ufisadi na uzandiki wa kila aina. Kujenga moyo wa kujitegemea taifa na kutumia mali asili zake kwa faida ya wananchi.

Wapinga maendeleo na wachumia tumbo tunataka kuona wanadhibitiwa. Wameonyesha nia ya kurejea ulingoni ili kudhibiti siasa na uchumi.

Wanamapinduzi wanapinga maoni na hila za kubinafsisha mashirika ya umma yaliyosalia ambayo ni mhimili wa uchumi wa taifa.

Kinachotakiwa kwenye mashirika hayo ni uongozi wenye weledi na uzalendo. Kuwaweka wafanya biashara wakubwa kwenye bodi na management za mashirika ya umma sio suluhisho maana kuna conflict of interest.

Wanamapinduzi ndani ya Chama cha Mapinduzi watahakikisha mama anabakia kwenye njia ya kimapinduzi ya Magufuli.

Alisema mwenyewe na Magufuli ni kitu kimoja.
 
Una uhakika mkuu?

Hizo gaidi alijichapia mwenyewe na kuwapa watu wake,
Maana hata uthibitisho hawakua nao.
Wakamate mtu ana kura kisha wamwachie ndo waite police,
Kwa nini wasingebaki nae akajibu tuhuma mahakamani?
 
Watu walimchagua magufuli kwa kura asilimia 84.3. Bahati mbaya Mungu kamchukua Magufuli.

Mama umesema kwa kauli yako mwenyewe wewe na Magufuli ni kitu kimoja.

Tunategemea kuona nchi ikiendeshwa kwa msingi uleule wa kutetea maslahi ya umma. Kupiga vita ufisadi na uzandiki wa kila aina. Kujenga moyo wa kujitegemea taifa na kutumia mali asili zake kwa faida ya wananchi.

Wapinga maendeleo na wachumia tumbo tunataka kuona wanadhibitiwa. Wameonyesha nia ya kurejea ulingoni ili kudhibiti siasa na uchumi.

Wanamapinduzi wanapinga maoni na hila za kubinafsisha mashirika ya umma yaliyosalia ambayo ni mhimili wa uchumi wa taifa.

Kinachotakiwa kwenye mashirika hayo ni uongozi wenye weledi na uzalendo. Kuwaweka wafanya biashara wakubwa kwenye bodi na management za mashirika ya umma sio suluhisho maana kuna conflict of interest.

Wanamapinduzi ndani ya Chama cha Mapinduzi watahakikisha mama anabakia kwenye njia ya kimapinduzi ya Magufuli.

Alisema mwenyewe na Magufuli ni kitu kimoja.
KWANI KULIKUWA NA UCHAGUZI AU UCHAFUZI?
 
Hapana. Chagadema unaijua?

Mmeanza kukosa ya kusema na kufanya, sasa anatafutwa mtu wa kusingiziwa. Unasema asiweke wafanyabiashara kwenye bodi - kisha unataja Chagadema. Kama tatizo ni Chadema, mshauri Bunge lifute mfumo wa vyama vingi. Kama vipi, mshauri Rais aondoe wachagga wote kutoka kwenye nafasi zote ili ufurahi!

Ninachoona ni kuwa umeona ile kauli ya “mimi na Magufuli ni kitu kimoja….” haina ukweli!

Ninakuona kama mtu unayemtisha Rais wa nchi asitimize wajibu wake kadiri anavyoona inafaa. Nikulumbushe - Mafuguli sio benchmark ya kila kitu!!
 
Back
Top Bottom