WanaJukwaa lengwa! Kuweni waamuzi wazuri! Arusha one + Arushaone!! Tunaelewekaa????

We huoni kama zinafanana?
Au unadanganyika na hyo space hapo katikati?
Inabidi mmoja aachie ngazi la sivyo kuna hatari ya kushea mahubby humu ndani.

hiyo space inahusika katika ulimwengu wa majina Madame B....
Hubby wako mfunge kamba mguuni
 
hiyo space inahusika katika ulimwengu wa majina Madame B....
Hubby wako mfunge kamba mguuni

Nikimfunga nitamuonaje jamani?
Au ndo yale mambo ya kushare mabwana?
watu8 afu nawe nimemuona pacha wako kule Kwenye Siasa anaitwa watuNane afu kuna Watu
 
Last edited by a moderator:
mmoja awajibike kwa kujiuzulu la sivyo ntatumia mamraka niliyo nayo kuwawajibisha. Aliyekuwa wa mwisho kujiunga umekula kwake kwa taarifa yenu sasa. asanteni kwa kunisoma. mia
 
Nikimfunga nitamuonaje jamani?
Au ndo yale mambo ya kushare mabwana?
watu8 afu nawe nimemuona pacha wako kule Kwenye Siasa anaitwa watuNane afu kuna Watu

hahah we ukitaka kujua nani wa kwanza angalia siku ya kujiunga JF...kuna wengine walinichukulia hadi avator yangu ile ya mshikaki wa watu 8, nikaamua kuibadili.

Hubby unampiga limbwata ndio kumfunga kwenyewe huko, hafurukuti haambiliki...
 
Last edited by a moderator:
hahah we ukitaka kujua nani wa kwanza angalia siku ya kujiunga JF...kuna wengine walinichukulia hadi avator yangu ile ya mshikaki wa watu 8, nikaamua kuibadili.

Hubby unampiga limbwata ndio kumfunga kwenyewe huko, hafurukuti haambiliki...

[h=1]watu8
user-online.png

JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
[/h]

Join Date 19th February 2010

[h=1]Watu
user-online.png

JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
[/h]

Join Date 12th May 2008
 
kuna WAMNDENYI mmoja nilimkuta jukwa la watu wazima,
tena anatoa comments wakati wengine tunapita juukwajuu.

hii ni very dangerous bana.
 
Mjuane kwanza mkubaliane, then mjaribu kum consult Maxi au mike to see how you are going to handle it out
 
Mkuu! Hapa umenena vema na bila shaka hawa member wanajuana!

Ngoja tusikie na maoni ya wadau zaidi!

Mjuane kwanza mkubaliane, then mjaribu kum consult Maxi au mike to see how you are going to handle it out

Pamoja sana!
 
hapa hadidu rejea zitumike.....nani alianza kujoin....kusita kufanya hivyo.....itanilazimu kurusha kitu chenye ncha kali.....
 
hapa hadidu rejea zitumike.....nani alianza kujoin....kusita kufanya hivyo.....itanilazimu kurusha kitu chenye ncha kali.....

Kiboko yako Polisi Jamii ........................ ulisepa ukatuachia msala na Chimbende.....................................
 
Kiboko yako Polisi Jamii ........................ ulisepa ukatuachia msala na Chimbende.....................................

he he he.....uncle bana.....nilipata ujumbe kuwa kuna uchakachuzi kwenye jimbo....nikawahi....
 
Back
Top Bottom