WanaJukwaa lengwa! Kuweni waamuzi wazuri! Arusha one + Arushaone!! Tunaelewekaa???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WanaJukwaa lengwa! Kuweni waamuzi wazuri! Arusha one + Arushaone!! Tunaelewekaa????

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by LiverpoolFC, Oct 15, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wadau wa jukwa lengwa la Jf Chit-Chat!
  Hebu tutazameni na majina yetu,kuna haja ya mmoja kwenda off?

  Nasubiria maoni yenu wadau wa jukwaa tajwa!
  Kwani Mi naona makengeza vile!
   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Yeah... ni heri mmoja aende off (Changing ID) kwani mtatuchanganya humu...
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Habari za asubuhi kaka,mi kuna mmoja nimemuona juzi anaitwa st. paka mweupe halafu ni mwanamama nikakomfyuzi...
   
 4. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Kuna huyu anajiita arusha 01 sijui umeshamuona..??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Kuna huyu anajiita arusha 01 sijui umeshamuona..??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,262
  Trophy Points: 280
  Mtumie pm invisible umueleze. Hata kwenye sheria ya fair competition hairuhusiwi, atakuzibia rizki huyu,lol
   
 7. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Hivi nimeshawahi kukutongoza..??Tukutame basi Mtambuzi Pub leo jioni kwa gharama zako mama..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,372
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Habari ZENYU ladies and gentlemen! Ngoja nami nishike microphone nikamue. Nilichukua uamuzi wa kuwa member. Nikachagua Arushaone as my ID nikaruhusiwa. Then nikaona jina lako nami nikaweka complain (mods ileteni hapa) ndio nitaendelea.
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Yaah! Nadhani mods wa moderate hii kitu!
   
 10. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,350
  Likes Received: 2,688
  Trophy Points: 280
  Kwani Arusha One ni sawa na Arushaone?
   
 11. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  We huoni kama zinafanana?
  Au unadanganyika na hyo space hapo katikati?
  Inabidi mmoja aachie ngazi la sivyo kuna hatari ya kushea mahubby humu ndani.
   
 12. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wamekopiana instrumental tu lakinyi maneno tafauti.
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,262
  Trophy Points: 280
  Mie ndo nilikutongoza ukanikataa, nishapata wangu wa moyo. Na Mtambuzi ni babangu, nenda tu pub yake ukaache mahela. Kuna wahudumu wa kutosha kuchukua change uliobakisha baba.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,262
  Trophy Points: 280
  Alietangulia kudhaliwa ndo ana.haki. Tuma pm itakuwa rahisi kuw sorted. Ushanichanganya now which is which!
   
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Nillichelewa wapi kuiona hii yuziful Posti,ah nilikuwa nawashangaa wale wahuni wanaochoma makanisa kule Mbagara,nakuomba kwa ihsani yako king`asti urudie kunitongoza,walah naapa safari hii sitakukataa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Halafu nilisahau kidogo,hebu msikie huyu anavyolalamika

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Mariyoo wewe.
  Si uende kwa St. Paka Mweupe wako?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  anatembelea nyota zawatueee
   
 19. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Wewe mimi nina nzimbu kuliko Bishanga wewe ila sipendagi udowezi...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mnatumix binafc kwenye uzi wa kufiwa na uncle kwa m1 wenu ,ckumbuki nimempa yupi pole mhusika au asiyehusika!
   
Loading...