WanaJukwaa lengwa! Kuweni waamuzi wazuri! Arusha one + Arushaone!! Tunaelewekaa????

We huoni kama zinafanana?
Au unadanganyika na hyo space hapo katikati?
Inabidi mmoja aachie ngazi la sivyo kuna hatari ya kushea mahubby humu ndani.
umeona ee!kuna siku nika m-pm madame X badala ya Madame B palikua patamu hapo..... alafu inshu yenyewe ni ileeee si unakumbuka?usiseme sana mwanasheria atasikia ntakosa mlango wa kutokea
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka sana.
Haya msiri wangu itakuwa siri yetu me na wewe,
ila nikizidiwa,nitamwambia.
hakikisha wakati unamwambia awe ameingiza kichwa ndio hawezi kukasilika,jitahidi sana usiniangushe vinginevyo nimekwisha,sitaki kufia segerea kama babu seya
 
Well said lakini mwisho wa siku nani mwenye kosa?

Mpaka sasa hakuna mwenye kosa............................... kama yupo atakuwa ni moderators wakati wanamkonvis jamaa kujisajili "hello, since you dont have an account, it takes only to minutes"
 
Mimi wa mwisho unanichinjia baharini?
jichagulie adhabu. Ukitaka kuua nyani usiangalie usoni. wewe ndugu yangu sawa, rafiki yangu sawa. Laki sheria ni msumeno. nikusaidieje mkuu? au tutumie ubabe wetu kumnyanganya haki yake mwenzio?. Lakini ukweli hizi id zinatofautiana tena sana. so usihofu mkuu. Tushakuzoea mkuu. mia
 
Mkuu figganigga (100) hebu angalia attendance yao humu jf kabla hujafanya maamuzi
Mkuu siku na wewe ukipotea mwezi tuchukue id yako?. mimi naona hizi id hazifanani hata kidogo sasa sijajua kwanini kuna mkanganyiko. hawa tunawaita wajina(somo). wewe hutaki upate wajina?. Mimi naona hao wakina arusha wakae kama kamati ndogo wajadili hilo jambo kama kweli wanataka kubadilisha id. lakini kwa upande wangu naona hazifanani. mia
 
Last edited by a moderator:
Hapa nami nimebaki hoi,
sijui hata yule Arushaone ndo x mume wangu au ni huyu wa pili,
jamani ufafanuzi please.

hapa maamuzi naona yanaweza kuwa magumu sana. mtu kama mimi nilimzoea sana Arushaone yupo humu muda mwingi ingawa ndo kaja mwisho, sasa huyu Arusha one ndo kwanza namwona kwenye haya malalamiko, lol!
 
Neno la babu ni amri siyo?

Well mimi babu yanu nasema hiviiii.... umri kitu gani bana, mambo yote heshima na kufahamika. Ndo maana Julius alikuwa maarufu sana kwa jina la "Nyerere" wakati kuna Nyerere kibao walishamtangulia.

Sasa basi, mwenye posts nyingi, mwenye reputation kubwa, mwenye maLIKES mengi ya kutoa na kupewa na aliye active zaidi ndiye aliyelitendea haki zaidi jina hilo na anastahili kubaki nalo.

Ole wake atakayenipinga. Nimekuja hapa kutoa hii amri narudi zangu machimboni.

Kwaherini tena.
 
sasa suluhisho liwe kama hivi.......kwa sababu wote wapo Arusha..... Erickb52.......itisha kikao cha zarura.....hili suala linatakiwa liamuliwe mezani......nashughulikia kibali kutoka polisi jamii...... PakaJimmy andaa nakala za hadidu rejea kuhusu umuhimu wa kikao hiki...... marejesho andaa ukumbi.......
 
halafu wewe........
 
Hapa nami nimebaki hoi,
sijui hata yule Arushaone ndo x mume wangu au ni huyu wa pili,
jamani ufafanuzi please.
ha haaaaaaaaaaaaaaa, madame umenichekesha sana, yaani sababu ni x ndo umepoteza kabisa na network ya jina? kweli alikutenda makuu, lol
 
sasa suluhisho liwe kama hivi.......kwa sababu wote wapo Arusha..... Erickb52.......itisha kikao cha zarura.....hili suala linatakiwa liamuliwe mezani......nashughulikia kibali kutoka polisi jamii...... PakaJimmy andaa nakala za hadidu rejea kuhusu umuhimu wa kikao hiki...... marejesho andaa ukumbi.......
Well said shemegi.
Kwanini tulumbane majukwaani wakati tunaweza kukaa pale First Left tukatafuta muafaka, huku tukipata burudani LIVE toka kwa Chimbende, na huku watu wakiendelea na msitu wa Konyagi ndogo?
 
thread closed.......
cc.. Arushaone.... arusha one......
 
Last edited by a moderator:
tahadhari,
.........kikao kifanyike mchana, na kila mjumbe ajitegemee kurudi kwake.........

sasa suluhisho liwe kama hivi.......kwa sababu wote wapo Arusha..... Erickb52.......itisha kikao cha zarura.....hili suala linatakiwa liamuliwe mezani......nashughulikia kibali kutoka polisi jamii...... PakaJimmy andaa nakala za hadidu rejea kuhusu umuhimu wa kikao hiki...... marejesho andaa ukumbi.......
 
eeeh, hicho kikao kinaleta mashaka,
tafadhali, Erickb52 asipewe kabisa kazi ya kuwarudisha nyumbani,
bado namhitaji kijana wangu, hali siku hizi si swari sana.
mchana kuna shughuli nyingi za ujenzi wa taifa.......kikao hiki kitajadiliwa kwa undani sana ujue.....
 
Back
Top Bottom