CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,255
- 12,872
tupoooooo... ata ucjari tushafika kumi, niko na my wife na watoto wangu nane.!!! Nkutafute lini thatha jirani??
Shem,
Namie nitakua nnahusika kwenye ofa hii, kwani mimi ni mkazi wa Mwz! Haya tupe protokali ya hilo jiofa.
Incase nitabahatika kua miongoni mwa hao 10 .
Tupo tumejaa tele kwenye ili Jamvi.
shem we ni mkaz wa mwanza au upo mza, ofa hii itawahusu sana wanajf waliopo mwanza hata km co wakazi. kwa wakaz wa mwanza waliopo nje ya mwanza haitawahusu!
kwani wao pia ni member? km ni member nipe id zao!
Dah mi ndio nimeingia jioni hii ila nimechoka sana labda kesho charminglady
Shem, mimi kwa sasa naishi Mwz na ni mkazi wa Mwz, na hata sasa niko Mwz .
hata wao ni member, xema 2nashare id...
Dah mi ndio nimeingia jioni hii ila nimechoka sana labda kesho charminglady