The Conspiracist
Member
- May 12, 2019
- 60
- 101
Habarini wakuu! Natumaini mu wazima, poleni sana kwa wale ambao hali zenu haziko sawasawa na vile mpendavyo.
Niende moja kwa moja kwenye mada!
Nimeandika vitabu viwili ambavyo nilipanga kuvifanyia publishing mwaka huu.
Lakini, katika harakati za maisha, nimekumbana na jambo kubwa ambalo linahitaji fedha, nimefanya kila niwezalo ili kutatua ila bado halijamalizika..
Karata yangu ya mwisho naamua kuitupa kwenu wanaJF, ikiwa yuko yeyote ambaye anaweza nunua kazi zangu hizi ili nitoke kwenye majanga niliyonayo.
Manuscript 1:
Hii ni ya Kiingereza. Ni Kitabu cha Kikristo ambacho kimejikita kuueezea Ukristo kwa dhana ya Ufalme wa Mungu. Kina sura tano, na kurasa zaidi ya 100.
Manuscript 2:
Hii ni ya kiswahili. Ni kitabu kinachofaa kwa watu wote. Kinazungumzia namna ambavyo mtu anaweza kutunza na kuongeza thamani yake (yeye binafsi, na yale ayafanyayo).
Hiki pia kina page takribani 100.
Kwa yeyote ambaye atahitaji, naomba karibu PM tusemezane zaidi.
Asante.