WanaJF wa Dar nipokeeni

Weka picha ya huyo mkeo ili wadau wampime TBS yake, uone kama watu hawajammwaga from all angles. Mambo ya kusifiana uzuri yako Facebook bana.

Nilitaka nikampokee mbezi kabla hata hajafika ubungo lakini kwa sharti lake nimeghairi. Hujambo lakini.
 
hata sisi tuna waume zetu wachapakazi kuliko kitu cha aina yoyote......we karibu dar kama ni kwenda viwanja tutakwenda....

Analeta mbwembwe za mke wake, kumaanisha si wa Dar ni wapokea waume... atahuu.
 
Karibu Mary Brown kisha Samaki Samaki then tunamalizia Ambiance corner bar!! Jipangeeeeee!
 
aka Cat, kuwa mzuri kwangu si lazima awe mzuri kwako, na ndiyo maana nilimuoa mimi na hakuolewa na mtu mwingine.
Ndo malkia wangu jina lake pia naitwa Queen au Regina kwa lugha nyingine.
Mupirocin Safi sana LIKE...............Maadam anapendeza machoni pako nani mwingine wa kumtoa kasoro mbele zako? Furahia kichuna chako period!!! Rafiki yangu anamwita wa kwake "Miss world wangu"
 
Last edited by a moderator:
Wanajf wote wa Dar ni mgeni wenu leo naomba mnipokee nitakuwepo huko kwa siku 3, sihitaji totos coz mke wangu mzuri na sex kuliko mwanamke yeyote duniani. Natarajia mapokezi mazuri.

Hiyo red imeudhi watu (sijui ni inferiority complexy au..). Kama unatoka Dodoma unaenda Mwanza unaweza kuwaeleza kimtindo wenyeji wako kwamba una allergy na samaki kwa hiyo hutumii, kwa sababu ndio chakula cha kwanza kukukaribisha. Bora kuwa mkweli.

By the way karibu uwanja wa fisi.........hapa kila kitoweo na kinywaji wapata ...tunajali utamaduni wetu na kipato cha Mtanzania
 
Wanajf wote wa Dar ni mgeni wenu leo naomba mnipokee nitakuwepo huko kwa siku 3, sihitaji totos coz mke wangu mzuri na sex kuliko mwanamke yeyote duniani. Natarajia mapokezi mazuri.

Kaka kama mke wako mzuri kuliko wanawake wote duniani? Je mamako nae amfikii au mamake kwa sababu zamani babako alikuwa anasema mkewe ni mzuri kuliko wote duniani au mkeo kaja kumfunika?
 
Back
Top Bottom