Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,506
- 51,111
- Thread starter
- #241
Hii imekaa vibayaKwa nilicho kishuhudia leo kwenye seminar ya wasimamizi wa vituo vya uchaguzi ni dhahiri CCM wanashirikiana na TISS kuiba kura
DSO/RSO wanasema
1.Marufuku mawakala kuingia na simu
2.Marufuku wasimamizi wasaidizi kuingia na simu
3.Marufuku kalani mwongozaji kuingia na simu
4.Marufuku wakala kuingia na kalam yake
5.Marufuku wakala kuondoka na karatasi ya matokeo
Wapinzani tumeshapigwa tayari!Yaani nimekuta kwanini niliumia kwenye hiyo seminar Ilikuwa kidogo tu nirushe ngumi