Karibia na huu mwaka unaisha, watu wana usernames na Avatars za tofauti.
Wengine wana username na avatars nzuri, zinazovutia sana mpaka huwa nawawazia kuwa ndivyo walivyo.
Mfano Smile, Sweet, Charminglady, PF
Wengine wana usernames na avatars zinazotisha kiasi kwamba huwa nawawazia kuwa ndivyo walivyo.
Mfano Hamnazo, Gambas, Mlevi,
Kabla mwaka huu haujaisha, naomba tujuane kijamii forumn.
Kwa nini ulichagua hiyo username na avatar hiyo?
Naanza na mimi mzee wa kazi
LINCOLINMTZA
Username ni kwa sababu ya raisi wa Marekani aliyekuwa na busara sana bwana Abraham Lincoln
Abraham Lincoln - Wikipedia, the free encyclopedia
Avatar ni kwa sababu napenda watoto ambao ni taifa la kesho.
Wewe je?