Wanajf niokolee ndoa yangu.

ila haya mambo ya jini mahaba mie siamini,huwa nayahusisha na magonjwa ya kisaikolojia.
Siyo lazima ujuwe kila kitu,...... wewe unajuwa hiki na mwingine anajuwa kile, ndio maana hakuna mtu mmoja akawa yeye daktari, mchumi, mhasibu na mkandarasi.

Ni busara ukawaacha wenye ufahamu wampe ushauri stahiki, na usidhani huyo pepo mchafu huwa anawachezea wanawake tu, bali yuko hata huyo jini mahaba anayewakojoresha wanaume na madhara yake Wanaume wengi hupoteza uwezo wa nguvu za kiume, hizi sio hadithi za kijiweni wala kufurahisha baraza.
 
dah, hii ni challenge problem...; but yeye mwenyewe kisha-suggest solution: work on it
 
Pole sana mkuu! Ni changamoto sana hii makitu

hapo kama alivosema Matola apo juu inawezekana bado kuna ilo jini linamuathiri kivingine,(kama kweli yapo ya mahaba, huwa siamini hii makitu) au kama siyo basi atakuwa ameathirika kisaikolojia na huenda akahitaji nasaha kutoka kwa mtaalam wa mambo ya saikolojia

Hivi kwa hapa Dar, ni wapi kuna huduma hiyo?
 
Pole sana,

Kuna wanawake wengine kabla ya ndoa walizoea kale ka mchezo ka kuruka ukuta (tigo), kwa hiyo anapoona wewe hushughuliki na huko, basi anaweza kuwa analeta visa kama hivyo. Halafu huwezi kumuuliza mwanamke eti nikushike wewe unasikia msisimko, hilo ni kujumu lako kutafuta hisia za mke wako, ongeza mautundu mzee. Unaweza kukuta unashindwa kupewa direct spech kwamba huko nyuma alikuwa na jamaa anamshughulikia vizuri sawa na matakwa yake sasa badala yake anatumia lugha ya jini mahaba (Funguka mkuu...).
 
NAMBA TATU YA kONGOSHO NI MUHIMU UIFANYIE KAZI

Ila Kama ni Majini mahaba , Hakuna kujali chochote NENDENI AKAOMBEWE TU

Usifungwe na kitu ukahatarisha Ndoa yako, Chukua Hatua
 
....whatever you are doing to her is and was very wrong...
alivumilia kipindi chote kwakuwa labda alitaraji utaelewa, utajifunza na
kurekebisha ili naye ajiskie anafurahia tendo la ndoa...

...uvumilivu umemshinda,...japo anakupenda. Jichungue mwenyewe, unamuandaa vipi,
nk,....nk,....nk...."sio baiskeli hiyo" wala sio pa "kuchimbia dawa" tu ukipona huyoooo..

..hakuna jini wala kibwengo hapo, fumbo hilo..tegua.
 
Hajui mafumbo huyu....."tegua fumbo hilo.....", mimi nilikuwa na shida na demu mmoja; nikamuuliza kulikoni, akanijubu inabidi niongeze ujuzi.....nilichoka na kumwaga manyanga. Baada ya kipindi kupita nikamsimulia demu mmoja hicho kisa, basi alicheka sana....akaniambia wewe hukuelewa ujuzi gani uanatakiwa kufanya.....akaniambia huyo mwenzio alizoea kuliwa t...o, kwa hiyo alikuwa anakuona husomeki, na kweli niliporecall...nilipata jibu. Sina maana umwache mke wako, lakini kuna jambo limefika hapo.....HAKUNA MAJINI MAHABA WALA NINI?. Wewe unataka uambiwe ufanye kama fulani (ndio ana-replace JINI)..mwenzio.
 
Eti? amekuruhusu uende nje? Mwanamke hata awe na majini sabini hawezi kukuruhusu kwenda nje kama ana feeling na wewe, angeomba ushirikiano wa kitiba na si zaidi ya hapo. Hapo hakuna jini bali kuna ujumbe.

Moja kati ya mawili.

1) Mchunguze waifu wako kwa tahadhari kubwa sana huenda ana mtu nje ya ndoa. Hii ni kwasababu saikolojia ya mwanamke kama amekuchoka na ana mwengine nje basi ni mwepesi wa kutafuta excuse hata ile inayoondosha pazia la mapenzi na wivu na amini nakwambia hiyo kutoka nje baadae itakuja kutumika against you, ni tego ambalo linategwa ili uje kusulubiwa na kutimuliwa na she will be able to prove her Innocence, (hawa ndio wanawake).

2) Kama sio namba moja hapo juu basi possibility ya pili ni kama alivyoongea Mbu hapo juu, msome vizuri.

Tahadhari na chukua hatua.
 
Heshima kwenu, nina mke ambye 2lifunga ndoa agosti 2010, tukiwa ktk tendo la ndoa mwnzangu haisi hamu ya tendo kabsa, na kuhisi maumivu. ila yeye anadai zamani alikuwa akitokewa na jini mahaba ktk ndoto huku wakifanya mapenz na alikuwa akipata raha zote za kike. hv sasa zile ndoto haoti tena yapata mwka wa kumi sasa. kwa kuwa yeye hapati mshawasha wa tendo anadai bora nitafute mwnmke wa nje ili anirishe. naomba mwenye fununu ya tiba anisaidie ili nisimpoteze mke wangu tafadhali. 0714 408238. msaada wandugu.

waacheni wafu wazike wafu wao
 
Dah pole sana shemeji lakini please kabla hujaconclude kuhusu hayo uitayo jini hebu kaa chini kwanza. Mengi yeshasemwa hapa ila ninaomba pia uchunguze unajua sometimes malezi tunayopewa na wazazi wetu huchangia sana.....................ukilelewa kwa kufundishwa kuwla tendo la ngono ni shambi, chafu linaumiza usipochanganya na za kwako lazima litakuathiri baadae. Au ukifunzwa kuwa tendo hilo ni kwa ajili ya kuwafurahisha wanaume tu..................unajikuta unaishi double lives...le ambayo mume anakutendea nawe hujihusishi kutokana na malezi na ile ambayo wewe kama wewe unaitamani....matokeo yako unaiota ile ya kwako, unafantasize na kumtengeneza jini mahaba wako.

Kaeni chini na mzungumze.
 
kuna mtu wa tiba amejitokeza na kujitolea kumtibu wife, ndani ya cku tano nitaona matokeo yake, kasema kama yakiwa mazuri ndo nimpe asante yake, na kama itakuwa bado kupona bac nicmpe kitu. nawashkuru wanajf kwa ushauri wenu, naahidi ndani ya cku tano nitawajuza. aksanteni sana.
 
Kwa hiyo unakwenda kumuachia mke wako kwa siku 5; KWELI WEWE ***** MTOZENI...!!!
 
dah, pole ssana ndugu. hebu mtafute mzizimkavu, yule anajua tiba nyingi za asili. jaribu kumPM
 
Kwa hiyo unakwenda kumuachia mke wako kwa siku 5; KWELI WEWE ***** MTOZENI...!!!

Huu pia ni ushauri, japo cku zote kuna advise wanatoa thinkers na sometimes wanatoa empty mindhead kama ww. asante.
 
Heshima kwenu, nina mke ambye 2lifunga ndoa agosti 2010, tukiwa ktk tendo la ndoa mwnzangu haisi hamu ya tendo kabsa, na kuhisi maumivu. ila yeye anadai zamani alikuwa akitokewa na jini mahaba ktk ndoto huku wakifanya mapenz na alikuwa akipata raha zote za kike. hv sasa zile ndoto haoti tena yapata mwka wa kumi sasa. kwa kuwa yeye hapati mshawasha wa tendo anadai bora nitafute mwnmke wa nje ili anirishe. naomba mwenye fununu ya tiba anisaidie ili nisimpoteze mke wangu tafadhali. 0714 408238. msaada wandugu.

Wala usipate shida kaka mke wako atarejea katika hali yake ya kawaaida na ataifurahia ndoa yake anahitaji maombi tu hilo jini halijatoka ni PM nitakupa namba ya mchungaji atakayemuombea mkeo na tatizo litakwisha huna haja ya kwenda nje ya ndoa hata kama mke kakuruhusu utakuwa unachuma dhambi kwa Mungu
 
Heshima kwenu, nina mke ambye 2lifunga ndoa agosti 2010, tukiwa ktk tendo la ndoa mwnzangu haisi hamu ya tendo kabsa, na kuhisi maumivu. ila yeye anadai zamani alikuwa akitokewa na jini mahaba ktk ndoto huku wakifanya mapenz na alikuwa akipata raha zote za kike. hv sasa zile ndoto haoti tena yapata mwka wa kumi sasa. kwa kuwa yeye hapati mshawasha wa tendo anadai bora nitafute mwnmke wa nje ili anirishe. naomba mwenye fununu ya tiba anisaidie ili nisimpoteze mke wangu tafadhali. 0714 408238. msaada wandugu.

What the hell is that? Kutafuta mwanamke wa nje?
 
Ndugu yangu, nakushauri kama una imani ya kikristo, tafuta mchungaji awafanyie maombi. Mie nimewahi kuambiwa na dada mmoja kuhusu hayo mambo na alikuwa na huyo pepo, alinipenda ila akanambia anatamani kuwa nami ila hawezi ana hilo pepo la mahaba na limempa masharti ya kutokuwa na mwanaume. Nilimkimbia kama ukimwi ninavyouepuka. Ila alipata mume akaombewa na anaishi katika Yesu kristo wa Nazareth.
Kama una imani nyingine sijui cha kukushauri, mke ushaoa, na kama ana jini mahaba ndo linampa mahaba mpaka akuone wewe mchungu naomba ufahamu hata hao watoto they belong to the Lucifer, inabidi uwafanyie sala ya kutosha. Otherwise, piga chini, sasa mtu ana jini lake linampa maraha we hata hupewi, wahangaika nini? Fukuza na majini yake akayafuge hata kumi yampe maraha. Thats all.
 
Back
Top Bottom