Picha:Dhana ya Punyeto, Ushoga na Sexy toys(chanzo cha vibamia)

Gospel Preacher

JF-Expert Member
Jan 17, 2018
233
263
Habari zenu wana Jamii Forum, kama mfululizo wangu wa masomo, leo napenda kuwashirikisha jambo hili hatari.

Watu wengi wamejiingiza katika mambo wasiyoyajua kiundani na hii hupelekea matatizo makubwa kwenye maisha yao.

Punyeto: hii ni aina tendo la mapenzi ambalo mtu hujitengenezea mpenzi wake kichwani/akilini na kumaliza haja zake kwa kujichua/chezea kwa lengo la kuamsha hashki na kupelekea kukojoa shahawa (hususan jinsi ya kiume).

Anayejihusisha na punyeto hufanya mapenzi na mwanamke aliyemtengeneza kichwani kwenye mawazo na anaweza kuwa mchumba wako, wa mtu au hata mke wa mtu uliyemtamani na kuitengeneza taawira ya sura yake kichwani mwako. Hivyo anayepiga punyeto husikia raha kulingana na mtu mwenye mwanamke na hata pengine kumzidi kutokana na maandalizi yake.

Punyeto ni dhambi; Kwa kawaida hakuna neno la moja kwa moja linaloonyesha tendo la punyeto kwenye Bibilia isipokuwa tunatafasiri kitendo cha kumwaga shahawa nje ni sawa na punyeto maana hakuna ziendapo isipokuwa ni nje, hivyo unapopiga punyeto unatenda dhambi ya moja kwa moja kwa kujiwazisha mabaya, na kumwaga mbegu zako nje isivyostahili.
NB; HAKUNA ANAYEPIGA PUNYETO BILA KUWA NA "MENTAL PICTURE YA UKE AU MWANAMKE"

Mwanzo 38:8-10

Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao.
Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao.
Mwanzo
Neno hili alilolifanya likawa baya machoni pa Bwana, basi akamwua yeye naye.
Mwanzo.

PUNYETO KWA WANAWAKE

Jambo hili halikuwahi kuishi hapa Tanzania kwa miaka ya nyuma,lakini leo hii tunaona mpaka matangazo ya Sexy Toys Kwa wanao taka kununua (kwa wanawake) jambo hili nimelishangaa sana haswa Instagram, kwamba kuna watu wanauza, hii inapelekea kuleta chachu kwa dada,mama,wake na hata wapenzi wetu kutamani kuanza kutumia hizo sexual toys.

HATARI YA SEXY TOYS
Hii hupelekea mwanamke kama akiridhika na sexual toy, basi ni wazi hakuna mwanaume atakaye mtosheleza siku zote,ni mpaka alipate hilo toy hii hatari kwa ndoa za watu na mahusiano. Pia hupelekea mwanamke kuolewa rohoni, mume wa kiroho(pepo lenye umbo la kiume) kummiliki kutokana na toy hilo.

NB: CHANZO CHA NENO "KIBAMIA" KAMA ISHARA YA UUME MMDOGO NI SEXY TOYS, WANAWAKE WAMEJIKITA ZAIDI NA HAYA MAKITU SASA WAMETANUA SEHEMU ZAO ZA SIRI HIVYO UUME WA KAWAIDA HAUWEZI KUFUA DAFU. LAKINI KABLA HAYA MA SEXY TOYS KUINGIZWA NCHINI NENO "KIBAMIA " HALIKUWEPO.



HATARI YA PUNYETO
Punyeto ni hatari kwa afya ya mwili na roho ya mtu, kwa sababu ukiizoea sana hupelekea mental damage ktk upande wa mawazo, kwani utakuwa sugu wa mawazo ya uke au mwanamke na tendo la Mapenzi, hii itapelekea kutoridhishwa na mwanamke yyte isipokuwa yule wa kwenye mawazo yaani unaemuwaza kwa kufanya punyeto, (hata akiwa ni mkeo au mpenzi wako hutoridhika mpaka umfanyie kwenye mawazo).

Pia kwa upande wa rohoni punyeto hupelekea "Soul tie" yaani kifungo cha nafsi, nafsi yako itafungamana na mwanamke unaemfanyia mapenzi mawazoni, hivyo utakuwa unamuwaza ndio unaridhika, na mara nyingi watu wanaopiga punyeto wanawake wanaowawaza akilini huwa sio watu ila ni mapepo yanavaa umbo la kike na kutawala akili yako.

Kinacho fanyika ni kwamba mapepo wanajua unapoenda kuoga ndio muda nuafaka wa ww kupiga punyeto hivyo wanachofanya ni kukaa karibu na wewe na kuku vuvia mawazo ya punyeto na hata kama ukisahau mafuta ya punyeto yatakukumbusha na utayarudia tu.

Zakaria 3:1
Kisha akanionyesha Yoshua kuhani mkuu amesimama mbele ya malaika wa Bwana, na shetani akisismama mkono wake wa kuuma ili kushindana nae.

Ushoga na mapenzi kinyume cha maumbile:

Ushoga ni neno linalotumiwa sana kuonyesha urafiki, lakini kwa namna nyingine ni mtu wa jinsia ya kiume aliye amua kutumika kama mwanamke (yaani kufirwa)

Haiwezekani kuepo kwa mtu anaefirwa kama hakuna wafiraji, Bibilia imeonya waziwazi kuwa wafiraji hawataingia Mbinguni wala kuona ufalme wa Mungu

1 Wakorintho 6:9

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,

Hapo kuna utofauti wa maneno ya "wafiraji" na "walawiti"
Neno wafiraji hutumika sana ktk ndoa yaani watu walioana wakigeuzana nyuma huitwa kufira, lakini neno walawiti ni kufanya kinyume cha maumbile kwa wasio wanandoa na inaweza ikawa kwa kulazimisha au kwa hiari, husani tokea kwa mkubwa kwenda kwa mdogo,

1 Timotheo 1:10

na wazinifu, na wafiraji, na waibao watu, na waongo, nao waapao kwa uongo; na likiwapo neno lo lote linginelo lisilopatana na mafundisho yenye uzima;

Matendo haya yoote husababishwa na mashetani ambayo yanavaa maumbo na kuwa watu au hushawishi watu kwa kuwavuvia mawazo na hamu ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile.



Wapo wanadamu ambao bila kufanywa nyuma na kinyume cha maumbile hawawezi kuridhika na tendo, au kama akifanya mapenzi kawaida mwishowe lazima atake na kufirwa , jambo hili ni dhambi mbele za Mungu.

Kuna mashetani maalumu ambayo hufanya kazi ya kuwavuvia wanadamu ushetani wa kiwango hiki, pia wapo mashetani ambao huvaa miili na kuwa wanadamu na kushiriki matendo haya machafu, mashetani hawa huwa na tabia ya kuwaingilia watu kinyume cha maumbile na pia hata baadhi ya wanaume huota ndoto za kuingiliwa kinyume na maumbile wakiwa wamelala wao wakizani ni ndoto kumbe ni halisi.

Wapo wanaume ambao hutongoza wanawake wasio wajua na hata wanaowajua wao wakizani ni watu kumbe ni shetani katika umbo la mtu,
Mtu ni roho yenye nafsi hai ambayo inakaa ndani ya jumba linaloitwa mwili, hivyo mtu/mwanadamu anaweza kuishi nje ya mwili wake au ndani ya mwili wake (bila ridhaayake isipokuwa ni ridhaa ya mamlaka inayomtawala rohoni)

2Wakorintho 12:2-3

Namjua mtu mmoja katika Kristo, yapata sasa miaka kumi na minne, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua). Mtu huyo alinyakuliwa juu mpaka mbingu ya tatu.
Nami namjua mtu huyo, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua);

hivyo mashetani mengi huwatoa watu wanaowatawala na kuvaa miili yao na kuitendea kazi.
Dalili moja wapo ni mtu kuota ndoto unaelea kwenye maji mengi au kuota unaranda randa na ukiamka unahisi kama ulikwenda mahali kutembea kimwili kabisa.


MAMBO YA KUZINGATIA KAMA MAMBO HAYA YANAKUHUSU

Mungu alitupenda wanadamu tangu asili, akatupandalia wokovu kupitia Yesu Kristo mwanae wa pekee, lakini kwa mtu mkoja (adam) dhambi iliingia ulimwenguni hivyohivyo kwa mtu mmoja (Yesu aitwaye Kristo) wokovu uliingia ulimwenguni

Warumi 5:12-21

Kwa hiyo, kama kwa mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, na kwa dhambi hiyo mauti; na hivyo mauti ikawafikia watu wote kwa sababu wote wamefanya dhambi;
maana kabla ya sheria dhambi ilikuwamo ulimwenguni, lakini dhambi haihesabiwi isipokuwapo sheria;

walakini mauti ilitawala tangu Adamu mpaka Musa, nayo iliwatawala hata wao wasiofanya dhambi ifananayo na kosa la Adamu, aliye mfano wake yeye atakayekuja.
Warumi
Lakini karama ile haikuwa kama lile kosa; kwa maana ikiwa kwa kukosa kwake yule mmoja wengi walikufa, zaidi sana neema ya Mungu, na kipawa kilicho katika neema yake mwanadamu mmoja Yesu Kristo kimezidi kwa ajili ya wale wengi.

Wala kadiri ya yule mtu mmoja aliyefanya dhambi si kadiri ya kile kipawa; kwa maana hukumu ilikuja kwa njia ya mtu mmoja ikaleta adhabu; bali karama ya neema ilikuja kwa ajili ya makosa mengi, ikaleta kuhesabiwa haki.

Kwa maana ikiwa kwa kukosa mtu mmoja mauti ilitawala kwa sababu ya yule mmoja, zaidi sana wao wapokeao wingi wa neema, na kile kipawa cha haki, watatawala katika uzima kwa yule mmoja, Yesu Kristo.
Basi tena, kama kwa kosa moja watu wote walihukumiwa adhabu, kadhalika kwa tendo moja la haki watu wote walihesabiwa haki yenye uzima.

Kwa sababu kama kwa kuasi kwake mtu mmoja watu wengi waliingizwa katika hali ya wenye dhambi, kadhalika kwa kutii kwake mmoja watu wengi wameingizwa katika hali ya wenye haki.
.
Lakini sheria iliingia ili kosa lile liwe kubwa sana; na dhambi ilipozidi, neema ilikuwa nyingi zaidi;
,ili kwamba, kama vile dhambi ilivyotawala katika mauti, vivyo hivyo kwa njia ya haki neema itawale hata uzima wa milele kwa Yesu Kristo Bwana wetu.

Hivyo inakupasa ufuate sala hii ya toba bila kujali dini wala dhehebu lako.

....Baba katika Jina la Yesu Kristo wa Nazareth, ninaomba msamaha kwa matendo yangu machafu na dhambi nilizokutenda kwa kujua au kutokujua, ninatubu uovu wangu wote kwa jina la Yesu, Mungu naomba nafasi tena katika ufalme wako,namuomba Roho Mtakatifu anisaidie kuishi sawasawa na mapenzi yako kwa jina la Yesu.

Baba wa Minguni,nina tubu juu ya matumizi yasiyoya asili ya sehemu zangu za mwili na za.......mpenzi/mchumba/mke/mume wangu kwa jina la Yesu, ninaomba damu ya Yesu inisafishe udhalimu wangu huu kwa jina la Yesu Kristo, ninajitenga na kila maagano ya Mapenzi niliyoingia bila kujua kwa damu ya Yesu.

Ninaamuru mapepo wote wanaonishikilia katika dhambi waniachie kuanzia sasa kwa Damu ya Yesu Kristo Bwana na Mwokozi wangu. Najitangazia uzima na uhuru mkamilifu mimi (....jina lako.........)
Kwa jina la Yesu . Amen
......

MUNGU SIO MWEPESI WA HASIRA:
Unaweza ukawa umwyatenda hayo muda mrefu na ukawa hai hivyo unazani kama Mungu amekupendelea sana lakini si kweli, Mungu anahuruma sana juu yako.

Zaburi 103:3-8

Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote,
Alimjulisha Musa njia zake, Wana wa Israeli matendo yake.
Bwana amejaa huruma na neema, Haoni hasira upesi, ni mwingi wa fadhili
********************
MUNGU AWATUNZE NYOTE KWA JINA LA YESU KRISTO.
Kama unahitaji msaada wa Maombi ni bure wasiliana na nami, 0655112023
Nipo hapa kama una swali lolote..nitajibu nikiweza
Lengo ni kusaidia kwa kile Mungu alichokipanda kwangu ili kuwasaidia watu...
Falsafa yangu...
"Nirahisi kushinda dhambi ukiwa umeokoka kwa sababu ya neema ya Kristo kuliko ukiwa haujaokoka kwa sababu bado upo chini ya sheria"

tapatalk_1536392987517.jpeg
tapatalk_1536391194922.jpeg
tapatalk_1536391188499.jpeg
 

Attachments

  • tapatalk_1536392987517.jpeg
    tapatalk_1536392987517.jpeg
    37.6 KB · Views: 112
Nimepiga Punyeto miaka 24 na hadi sasa nina Mtambo. Ujue watu wanadhani kuwa punyeto ni mbaya kumbe wao ndio hukosea masharti ya hii huduma.

Mfano mtu kama Afande Selle yule Majani yamemkataa ila sio wote majani huwakataa kama yeye ndivyo ilivyo kwenye Punyeto pia.
 
Kama afisa habari was CHAPUTA mitandaoni, natanfgaza kua Na kikao cha dharura Leo mchana chitchat. madam in kuhusu huyu member anayetusema vibaya.
by Mafuvu. chupata chairperson
 
Mwenyekiti wa CHAPUTA nitaongea na waandishi wa habari saa 9,ninapinga uchochezi huu
 
Nmependa uzi wako ulivyo na utajiri wa vyanzo vya maarifa ambavyo vinakubalika sana ulimwenguni
 
Ni kweli mkuu
Nimepiga Punyeto miaka 24 na hadi sasa nina Mtambo. Ujue watu wanadhani kuwa punyeto ni mbaya kumbe wao ndio hukosea masharti ya hii huduma.

Mfano mtu kama Afande Selle yule Majani yamemkataa ila sio wote majani huwakataa kama yeye ndivyo ilivyo kwenye Punyeto pia.
 
Ni kweli mkuu
Nimepiga Punyeto miaka 24 na hadi sasa nina Mtambo. Ujue watu wanadhani kuwa punyeto ni mbaya kumbe wao ndio hukosea masharti ya hii huduma.

Mfano mtu kama Afande Selle yule Majani yamemkataa ila sio wote majani huwakataa kama yeye ndivyo ilivyo kwenye Punyeto pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom