MADODOKI NA WALE WANAO FUA NGUO ZENYE BULAD KWA MFANO PICHU N.K. KATKA NDOO WANAZO CHANGIA KUKOGEAUkimwi haumbukizwi kwa ngono tu.....hata kuchangia vitu vyenye ncha kali na mgonjwa mwenye Ukimwi
Tena Giza Nene kabisa....Hahahaha watu bado wako gizani pole sana mtoa mada
Kama hauna shida mbona unamshauri asiambukize wengine?Poleni sana mkuu kwa huo mtihani ulioingia kwenye familia yenu.
Mimi nimeshauguza hao wagonjwa kwenye familia yetu mpaka sasa hivi sina hofu sana na huo ugonjwa. Nina dada mdogo wangu wa kike na yeye anao sasa hivi inakaribia miaka sita ila afya yake bado ipo imara tu.
Mshauri tu mdogo wako asiwe na hasira na kuwaambukiza wengine kwani kama imetokea hivyo ni sawa na ajali tu na huo ugonjwa sasa hivi sio ishara ya kifo kwani watu wanaishi na wanazaa na familia inakuwa salama kabisa.
Sio kweliMADODOKI NA WALE WANAO FUA NGUO ZENYE BULAD KWA MFANO PICHU N.K. KATKA NDOO WANAZO CHANGIA KUKOGEA
Poleni sana UKIMWI UPO na familia nyingi zinapitia changamoto hiyo..muhimu amejua mapema amrudie Mungu maana ndiye daktari bingwa namba moja,afuatilie ushauri aliopewa na daktari ,anywe dawa kwa wakati,ale vyakula makundi yote ,anywe maji ya kutosha angalau yasipungue lita tatu kwa siku,afanye mazoezi,azingatie kanuni zote za afya,asijiingize kwenye mawazo au vitu vitakavyomchukulia muda bila utatuzi,familia isimtenge iwe karibu na kujua analopitia,asijiingize kwenye ngono kama ana mwenza basi kinga ni muhimu Mungu awasaidie maana ni jambo litakalochukua muda kwake kulikubali muwe waanglifu mnapolizungumzia suala lake kuhusu maambukizi...ale mbogamboga,matunda kwa wingi apunguze sana nyama,vyakula vya makopo,mafuta mengi,pombe,sigara,kahawa...kwa uchache huo na mengine mengi atapata ushauri akihudhuria klinic za dawa na atakutana na wengi wanaopitia changamoto hiyo..asiogope wala msiogope Mungu anampenda ndio maana amejua sasa akifuatilia ataishi maisha marefu na atakua msaada kwa wengine kumbuka Zaburi 103:3...ndiye anayenisamehe uovu wangu wote,na kuniponya magonjwa yangu yote..Amen
Sio kweli nn? .........Fafanua na utoe mawazo Yako usiishie Kusema tu sio KweliSio kweli
usibishe tuuu.ningekua napenda kuandika andika ningekuja na fact halafu ukajijaribie wewe mwenyewe na ulete mrejeshoSio kweli
Msafara wa mamba kenge hawakosekani.Kama hauna shida mbona unamshauri asiambukize wengine?
Kitaa wapi huko wanetu wawe chonjo?Hawa mademu wanaangalia pochi sana
Ndio maana wanapotea
Huku kitaa kuna madalali Fulani wa magari wameungua kila siku wanabadilisha mademu ,mademu wanadanganyika na magari
Na kuna mwingine dereva taxi anawamaliza sana
Mungu awalinde vijana..
Na hizi michepuko doh
Kweli...Ukimwi haupo !
Mimi kila nikiangalia wapita njia wote sioni dalili ya mtu mwenye utofauti na mwingine k'muonekano ili nijisemee moyoni kua huyu atakua na ngoma.
Kwa hio mi naamini ukimwi ni ugonjwa wa kufikirika ....
Ni mtazamo tu