WanaJF nawakumbusha UKIMWI upo,tuwe makini kwa hili

Poleni sana UKIMWI UPO na familia nyingi zinapitia changamoto hiyo..muhimu amejua mapema amrudie Mungu maana ndiye daktari bingwa namba moja,afuatilie ushauri aliopewa na daktari ,anywe dawa kwa wakati,ale vyakula makundi yote ,anywe maji ya kutosha angalau yasipungue lita tatu kwa siku,afanye mazoezi,azingatie kanuni zote za afya,asijiingize kwenye mawazo au vitu vitakavyomchukulia muda bila utatuzi,familia isimtenge iwe karibu na kujua analopitia,asijiingize kwenye ngono kama ana mwenza basi kinga ni muhimu Mungu awasaidie maana ni jambo litakalochukua muda kwake kulikubali muwe waanglifu mnapolizungumzia suala lake kuhusu maambukizi...ale mbogamboga,matunda kwa wingi apunguze sana nyama,vyakula vya makopo,mafuta mengi,pombe,sigara,kahawa...kwa uchache huo na mengine mengi atapata ushauri akihudhuria klinic za dawa na atakutana na wengi wanaopitia changamoto hiyo..asiogope wala msiogope Mungu anampenda ndio maana amejua sasa akifuatilia ataishi maisha marefu na atakua msaada kwa wengine kumbuka Zaburi 103:3...ndiye anayenisamehe uovu wangu wote,na kuniponya magonjwa yangu yote..Amen
 
  • Thanks
Reactions: wax
Poleni sana mkuu kwa huo mtihani ulioingia kwenye familia yenu.

Mimi nimeshauguza hao wagonjwa kwenye familia yetu mpaka sasa hivi sina hofu sana na huo ugonjwa. Nina dada mdogo wangu wa kike na yeye anao sasa hivi inakaribia miaka sita ila afya yake bado ipo imara tu.

Mshauri tu mdogo wako asiwe na hasira na kuwaambukiza wengine kwani kama imetokea hivyo ni sawa na ajali tu na huo ugonjwa sasa hivi sio ishara ya kifo kwani watu wanaishi na wanazaa na familia inakuwa salama kabisa.
Kama hauna shida mbona unamshauri asiambukize wengine?
 
Poleni sana UKIMWI UPO na familia nyingi zinapitia changamoto hiyo..muhimu amejua mapema amrudie Mungu maana ndiye daktari bingwa namba moja,afuatilie ushauri aliopewa na daktari ,anywe dawa kwa wakati,ale vyakula makundi yote ,anywe maji ya kutosha angalau yasipungue lita tatu kwa siku,afanye mazoezi,azingatie kanuni zote za afya,asijiingize kwenye mawazo au vitu vitakavyomchukulia muda bila utatuzi,familia isimtenge iwe karibu na kujua analopitia,asijiingize kwenye ngono kama ana mwenza basi kinga ni muhimu Mungu awasaidie maana ni jambo litakalochukua muda kwake kulikubali muwe waanglifu mnapolizungumzia suala lake kuhusu maambukizi...ale mbogamboga,matunda kwa wingi apunguze sana nyama,vyakula vya makopo,mafuta mengi,pombe,sigara,kahawa...kwa uchache huo na mengine mengi atapata ushauri akihudhuria klinic za dawa na atakutana na wengi wanaopitia changamoto hiyo..asiogope wala msiogope Mungu anampenda ndio maana amejua sasa akifuatilia ataishi maisha marefu na atakua msaada kwa wengine kumbuka Zaburi 103:3...ndiye anayenisamehe uovu wangu wote,na kuniponya magonjwa yangu yote..Amen
 
Saa zingine Mungu anatuonya kwa gharama kubwa sana kwa namna hii, Ukimwi upo ndugu zangu halafu umekaa pabaya sana. Mungu atusaidie. Jambo kama hili mwaka Juzi dada yetu kipenzi housegirl alipata maambukizi ya UKIMWI, kiukweli swala la UKIMWI lisikieni kwa wengine. Mungu atusaidie tushinde Majaribu. Mwaka 2017 Fanya Maamuzi ya Busara!
Maamuzi ya Busara KUOA/KUOLEWA au EPUKA KABISA NGONO MPAKA NDOA.
Mungu atusaidie na tujiepushe na Magroup yenye tabia za kishawishi.
Happy New Year 2017.
 
ukimwi haupo!!

UPUNGUFU WA KINGA MWILINI-hutokea kwa baadhi ya watu ambao wana lishe mbovu.

ukimwi sio ugonjwa,na hakuna VIRUSI vya ukimwi!

Kinga zikipungua ndo mtu anapata magonjwa kama MARALIA,TB,HOMA n.k

cc#Deception
 
Ukimwi haupo !

Mimi kila nikiangalia wapita njia wote sioni dalili ya mtu mwenye utofauti na mwingine k'muonekano ili nijisemee moyoni kua huyu atakua na ngoma.

Kwa hio mi naamini ukimwi ni ugonjwa wa kufikirika ....

Ni mtazamo tu
 
Hawa mademu wanaangalia pochi sana
Ndio maana wanapotea

Huku kitaa kuna madalali Fulani wa magari wameungua kila siku wanabadilisha mademu ,mademu wanadanganyika na magari

Na kuna mwingine dereva taxi anawamaliza sana

Mungu awalinde vijana..
Na hizi michepuko doh
Kitaa wapi huko wanetu wawe chonjo?
 
Ukimwi haupo !

Mimi kila nikiangalia wapita njia wote sioni dalili ya mtu mwenye utofauti na mwingine k'muonekano ili nijisemee moyoni kua huyu atakua na ngoma.

Kwa hio mi naamini ukimwi ni ugonjwa wa kufikirika ....

Ni mtazamo tu
Kweli...
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom