WanaJF naomba msaada wa busara toka kwenu tafadhali!!

Toka umemaliza chuo mpaka sasa nini umekifanya kinachoweza ku-convince kwamba una dreams kubwa?

Nina ushauri mzuri sana kwako, lakini naamini with your ego, nitakuwa nampigia mbuzi gita.

Go on Mr.. just subside my Ego..!!! Nimekupa ruksa ya kunihukumu unavyotaka,,!!! Perhaps it might change somethng in me..!!

Na kuhusu nini nimefanya staki niende deep into the details,, NAWEZA thats all i can say..!!
 
Huyo mlezi mliotofautiana naye ni wakiume ama wakike,je ni njia ipi amekuambia upitie na ww unaona haifai? Weka wazi acha mafumbo c unahitaj msaada w mawazo?mabano yann unaweka,fungua mabano
 
Go on Mr.. just subside my Ego..!!! Nimekupa ruksa ya kunihukumu unavyotaka,,!!! Perhaps it might change somethng in me..!!

Na kuhusu nini nimefanya staki niende deep into the details,, NAWEZA thats all i can say..!!

This is the EGO am talking about, if you keep your door closed, am not opening mine.
 
Naweza nikakwambia a lot ndugu which have been successfully,, !!! One Notable... I started investment carrier when i was 14 in 2007 by very little less than even 50 USD and till now it has born millions of T-SH, thats what opened my way, and that has been a base of ma capital till now b'se i knew i wanted somthng in future..!!!
 
Toka umemaliza chuo mpaka sasa nini umekifanya kinachoweza ku-convince kwamba una dreams kubwa?

Nina ushauri mzuri sana kwako, lakini naamini with your ego, nitakuwa nampigia mbuzi gita.
Nami nlitaka kuuliza hilo hilo swali,maana kama ni passion yake basi hata alipokua secondary lazima alikua akijitahidi japo kupractice hicho anachokiamini,bado chuo pia angeweza japo kwa uchache sana lakini lazima kingeonekana tuu kuwa kinachomkwamisha ni muda,huwezi sema ni dream yako wakati hata ukipata muda ukiwa idle wala hata hujisumbui kuipursue.
 
Naweza nikakwambia a lot ndugu which have been successfully,, !!! One Notable... I started investment carrier when i was 14 in 2007 by very little less than even 50 USD and till now it has born millions of T-SH, thats what opened my way, and that has been a base of ma capital till now b'se i knew i wanted somthng in future..!!!

Explain that to your guardian, show him the evidence of your achievement, give him the plan for your things with valid supporting points.

Another thing, unaweza kukubali kufanya masters, uzuri masters haikubani kufanya business zako so unapiga two things at per, mpaka unamaliza masters utakuwa huu upande mwingine umepiga step inayotosha kumweonesha mlezi kwamba sasa biashara yako inakuhitaji fully, so you are taking leave on a promise kwamba utaendelea na phd biashara ikifikia sehemu ikaweza kusimama yenyewe.

This way mnaweza kurudi kwenye page moja na mpaka kufikia consensus on whatver will come next.
 
Raimundo,,, think not, mpaka tumefika tulipo i have been hiding all these things..!!! Know that i have done all thngs whch seems possible,,!!!
 
Noted and all the best.

I think the case is beyond my capabilities.
 
Follow your way!! Even though siijui bcoz u ddnt mention it. Jiamn laana haipat sku iz ondoa izo fikra potofu
 
Back
Top Bottom