WanaJF naomba msaada wa busara toka kwenu tafadhali!!

Dogo ana dalili zote za mtu anaejiskia sana!sioni nikwanini asiweke wazi ayafanyayo ikiwa anataka usawa wa ushauri!

NO NO NO!!! kaka kama ningekua wakujiskia na kuamini katika kiburi changu ningekuja kwenu kweli watu hata nisiowajua?? Jaribu kurudi nyuma kidogo kaka nimejibu swali lako
 
Ungesema izo njia mbili ndo upate ushaur vzur af sijui unataka ushaur gan coz unamaamuz tayari
 
Kama ndo vile ulivyomaanisha kule chini kwenye ufafanuzi basI jitahidi tu uwe unatumia kiswahili maana ulichofafanua na ulichoandika mwanzo vinamkanganyo na makakasi kidogo

Ushauri pekee ni kwamba
Fanya kile ambacho kipo ndani yako maana ndo kinachoweza kustawi na kina misingi imara

Hakuna akujuae zaidi ya wewe mwenyewe
Watu wengi tunakoseaga familia au watu wanaotuzunguka mara nyingi wanatuelekezaga vyema na muda mwingine wanatupotosha maana wanadhania wanatujua zaida ya tujijuavyo. Simamia ndoto zako umri unakuruhusu na pia wakati wa kujenga future yako ni sasa aisee

Ukitaka kufanikiwa jitahidi kujiondoa karibu na watu uwapendao au ambao hautaki kuwaumiza hisia zao maana usipofanya hivyo utajikuta hausogei wala haukuzi ndoto zako

Na kurekebisha kidogo
Ukifanya jambo upendalo toka moyoni mwako sio tu unakamilisha ndoto zako bala unatimiza kusudi la MUNGU alilikuwekea ndani yako
Ukifanya kitu ambacho moyo wako unapenda inaonyesha dhaili kwamba unafanya kusudi uliloletwa duniani

MUNGU akusimamie na akupe hekima katika hali uliyonayo sasa ili usijekufanya maamuzi yoyote ambayo yatakuja kufanya ujutie baadae

Barikiwa sana

By shedymwai

Mungu akubariki sana SHEDYMWAI...!!! you fill my soul with the courage i already lost it b4 bro..!!!
 
Ungesema izo njia mbili ndo upate ushaur vzur af sijui unataka ushaur gan coz unamaamuz tayari

Nishajibu swali hili b4 dada kipoz,, lkn kwa faida yangu na wote waliotayari kutoa ushauri ntaicopy hii comment tena..... !!! hii hapo chini.

OK...!! iko hivi,, Anataka niwe msomi kwa kiwango cha juu sana na ndo mana alifanya uwekezaji mkubwa mno kwenye elimu yangu..!!!

Nnavoongea nimemaliza chuo kikuu nikiwa na Bachelor,, Mzozo ulianza punde tu nlipomaliza form 6,, Akanitaka nisome course ambayo kwangu mimi haikua on my interest,, nilikubali ingawa kwa shingo upande na of coz nilimaliza ingawa sikuweza kupeform kwa kiwango cha juu sana kwa sbb frankly speaking haikua moyoni kwangu..!!!

Shida kubwa inakuja pale anapotaka niendelee na masters, phd,na mazagazaga mengine ili baadae niwe na uhakika wa maisha kwa kupata ajira ya uhakika( ndivyo anavyoamini na nnafikir 3/4 ya wengi wenu mnaamini hivyo) sjawahi amini ktka elimu kubwa hata sku moja, cjawahi amini ktk ajira hata cku moja,,!!! Na kama nikiamua kufuata that profession yake ina maana ntaishi maisha yangu yote kufanya kitu kisicho jengeka ndani yangu..!!

Nimekua naamini ktk experience kwa zaid ya 80% kuliko hii elimu ya shule..!! Nahisi inatosha, its enough..!! Na moyo wangu haupo kbxa ktk ajira,, nina ideas ambazo ninaweza kuziprove working kwa zaidi ya 70%,,, I can employ myself na kutimiza haja ya moyo wangu,,, hicho ndo moyo wangu unataka,, km nlivowaambia hapo juu i dream one day kuwa mbali xana, na kwa kua mbali nahitajika kuanza mapema in ma youth, na siyo kufanya part time, i need to really focus with all ma mind..!!! I can do it without him but thats not my primary aim,, My AIM is to do it in any situation...!!!

Naamini njia yake haina nia mbaya hata kidogo 100%,, lakini ina serious effect katika maisha yangu mimi, inantengeneza kuwa mtu mwingine kabxa ambaye sitakua base yeyote ktk iyo njia, Sitafika mbali najua kwa sbb sijawahi ht sku kufkir ntakua ivyo ama ntaishi hivyo..!!!

kwa iyo it's okey mtanihumu na kuninyoshea kidole lkn mjue kwamba si kitu kilichojengeka within a year NO,, it's not less than 20 yrs kutokana na malezi nliyopata kabla ya yeye kunipa zawadi ya malezi yake..!!

Naweza sema ndoto yangu imenikuza lkn sio mimi kuikuza ndoto..!!! Imeniongoza kila wakati kufanya niliyofanya, imenipa motisha wa kufanya anayoyaona ni mazuri kwangu till now... !!!
 
mkuu ili upate ushauri au msaada mzuri zaidi ungejaribu kuweka wazi hizo njia mbili tofauti, yaani hyo anayokushauri mlezi wako na hiyo ya kwako, kama inawezekana. naimani hapo kwa experience za watu tofauti humu utapata msaada mzuri tu, mim ni moja ya watu niliosaidiwa sana na JF lakini nilikuwa muwazi
Kweli, bila kuzibainsha hizo njia mbili tofauti za mawazo baina yao maelezo yake yote bado yamo kwenye blacket yatatufanya na sisi kupoteza muda kujadili maradhi badala ya ku-diagnose kiini cha ugonjwa.
 
Dogo ww ulie sijui tabora au wap vile ni hivi,,,naona kama uzi woooote unajisifia sifia tu bila kubance story kwa kitu mlichotofautiana,,sasa sifa zote unazojipa unashindwaje kutatua ktu kdgo kam hiki ilihali unasema una jiamin na unaweza kila kitu kinachokuhusu wewe?? Msaada unaotaka upo ndan ya uwezo wako so unataka nin tena huku?? Au umesahau ulichoanza kukiandika wakat unasema huwez asilan kufuata anachotaka yy ila utafanya jinsi unavyotaka kwa njia yako maana ndio sahihi?? Ila kama upo kwa kipind kigum pole ila ndio ukomavu wa fikra huo..

NB: yyte aliefanikiwa maisha au cchote kile,hakuganikiwa kwa sababu mafanikio aliyakuta njiani akayabeba,,lah alikosea sana na akawekeza akili zaid kwa wazo lililobora tofauti na wazo la jana ndio akapata mafanikio... Umejisifu sana we ni mtu wa namna gani lakin umesahau kumsifu na anaekukimbiza. Pole karibu tulewe kdgo
 
we usichoshe wana jamvi hapa ushachukua maamuzi tayari sasa ushauriwe nini tena, au unataka upate support nyingi kuwa your light au, we kitumbua kweli
 
OK...!! iko hivi,, Anataka niwe msomi kwa kiwango cha juu sana na ndo mana alifanya uwekezaji mkubwa mno kwenye elimu yangu..!!!

Nnavoongea nimemaliza chuo kikuu nikiwa na Bachelor,, Mzozo ulianza punde tu nlipomaliza form 6,, Akanitaka nisome course ambayo kwangu mimi haikua on my interest,, nilikubali ingawa kwa shingo upande na of coz nilimaliza ingawa sikuweza kupeform kwa kiwango cha juu sana kwa sbb frankly speaking haikua moyoni kwangu..!!!

Shida kubwa inakuja pale anapotaka niendelee na masters, phd,na mazagazaga mengine ili baadae niwe na uhakika wa maisha kwa kupata ajira ya uhakika( ndivyo anavyoamini na nnafikir 3/4 ya wengi wenu mnaamini hivyo) sjawahi amini ktka elimu kubwa hata sku moja, cjawahi amini ktk ajira hata cku moja,,!!! Na kama nikiamua kufuata that profession yake ina maana ntaishi maisha yangu yote kufanya kitu kisicho jengeka ndani yangu..!!

Nimekua naamini ktk experience kwa zaid ya 80% kuliko hii elimu ya shule..!! Nahisi inatosha, its enough..!! Na moyo wangu haupo kbxa ktk ajira,, nina ideas ambazo ninaweza kuziprove working kwa zaidi ya 70%,,, I can employ myself na kutimiza haja ya moyo wangu,,, hicho ndo moyo wangu unataka,, km nlivowaambia hapo juu i dream one day kuwa mbali xana, na kwa kua mbali nahitajika kuanza mapema in ma youth, na siyo kufanya part time, i need to really focus with all ma mind..!!! I can do it without him but thats not my primary aim,, My AIM is to do it in any situation...!!!

Naamini njia yake haina nia mbaya hata kidogo 100%,, lakini ina serious effect katika maisha yangu mimi, inantengeneza kuwa mtu mwingine kabxa ambaye sitakua base yeyote ktk iyo njia, Sitafika mbali najua kwa sbb sijawahi ht sku kufkir ntakua ivyo ama ntaishi hivyo..!!!

kwa iyo it's okey mtanihumu na kuninyoshea kidole lkn mjue kwamba si kitu kilichojengeka within a year NO,, it's not less than 20 yrs kutokana na malezi nliyopata kabla ya yeye kunipa zawadi ya malezi yake..!!

Naweza sema ndoto yangu imenikuza lkn sio mimi kuikuza ndoto..!!! Imeniongoza kila wakati kufanya niliyofanya, imenipa motisha wa kufanya anayoyaona ni mazuri kwangu till now... !!!
Kwa maelezo haya huna unachoomba kama ushauri kutoka kwa wanajamvi humu. Maamuzi tayari unayo.

Funga huu uzi endelea na ndoto zako, kukipambazuka utaamka na kugundua ulikuwa unaota!
 
Kwa maelezo haya huna unachoomba kama ushauri kutoka kwa wanajamvi humu. Maamuzi tayari unayo.

Funga huu uzi endelea na ndoto zako, kukipambazuka utaamka na kugundua ulikuwa unaota!

hahah!!! it's alright big boy...!! asante sana kwa mchango wako,, lkn wapo wanaoweza sema chochote hata kama sio kunisupport angalau kunizodoa, wataifanya akili yangu ikae sawa,, kama wew..!! Naamini ntafikiria mara 10 zaid ya mwanzo b4 yur comment,,,.!!
 
Mimi ni kijana wa kitanzania, umri wangu ni kati ya miaka 24. Historia yangu ya maisha ni complex na rough kidogo lakini namshukuru Mungu bado naendelea kufaidi pumzi ya bure bila malipo,,...!!

Mwaka 2010 nilimaliza elimu yangu ya secondary na nashukuru nilifanya vizuri kabixa ( daraja la kwanza kwa point za juu mno.) na nikaendelea na high school nako nikafanya vizur pia ( daraja la pili la mwanzo.) 2013.

Siku zote huwa najiona katika kundi la watu wenye ndoto kubwa sana maishani, na sijawahi hata sku moja kuishawishi akili na moyo wangu kwamba haiwezekani.,,

Sio kwa sababu nimeweza kukariri maandishi then nikaulizwa swali na Necta nikajibu, Ndalichako akaona naweza.. HAPANA!!! hiyo haijawahi kunipa kiburi ht cku moja na kunifanya nikajiona niko tofauti na fulani...!!

Uwezo wa angalau kujiona naweza, ku imagine my future na kuishape future yangu namna nnavotaka iwe, cku zote ndo imekua motisha ya mimi kujiona NAWEZA... Bila hata kuhusisha hii miscellaneous education tunayoitokea Jasho miaka zaidi 17 hapa TZ.,

Nina mlezi aliyenifikisha nilipo ingawa si ndugu yangu na wala hatuhusiani kwa damu kwa vyovyote..!! kama msamaria mwema aliamua kunilea km mwanae, akanilisha, kanivika, kanilaza, kanipa elimu bora anayoamini ingeweza nisaidia..!!

Si nia yangu kueleza kwa undani sana mzazi/wazazi wangu walikua wapi all the way back..!! Sababu ya mimi kuja hapa kuomba busara zenu ni kwamba AM DOOMED RIGHT NOW,, Moyo wangu una huzuni kiasi kwamba nashidwa kujua lipi nifanye,,

Kwa sababu ya historia yangu nyuma cku zote nimekuwa mtu wa kufanikisha lolote lile ninaloamini lina manufaa kwangu. Hakuna mtu au kitu kilichoweza kusimama katikati ya njia niloamini inaweza kunifikisha mbali na hakuna aliyewahi kunisukuma nifanye kitu chenye manufaa kwangu mwenyewe..!!!..!!! Nilikua sterling na hero wa maisha yangu mwenyewe,,!!

Mkanganyiko unakuja pale mtu ninayemwamini, na aliyenifikisha hapa nilipo kujaribu kuweka kizuizi kwenye njia ninayoamini ni sahihi kunivusha next step.,, Tumetofautiana kimtazamo, hiyo ndo shida kubwa,,!! anataka na ananilazimisha niwe mtu wa aina flani na mimi mwenyewe nataka niwe flani tofauti na matakwa yake...!!

Njia hizi mbili ( yake na yangu) ni tofauti kabixa, ni sawa na kusema moja inaenda kushoto nyingine kulia..!! na zinatengeneza watu wawili tofauti kabixa, Ni njia ambazo ukiamua kuifuata moja bas utaiacha nyingine maisha yako yote, Na ukiamua kuchagua moja na ukaiishi huwezi kuwa opposite kwa vyovyote vile...!!

Kwa kifupi anataka niishi katika ndoto zake yeye..!! ( not to live in ma dreamz ), And thats one thing i can't allow it to happen NEVER,,!! Even once in a lifetime...!! "Kutoa msaada wa kumlea mtu haimaanishi umemnunua" ndicho nnachoamini..!! sijui kama niko wrong hapo..!! Still atakua independent person in all the means...

Tumefikia hatua mbaya sana na huyu mlezi wangu,, kiasi cha kutoongea mwaka mzima,,kiasi cha kuvualiana nguo na kupeana laana,, yani kwa kifupi ni stage mbaya sana nashindwa niiweke vip mnielewe...!!

Sina Amani kabixa na maisha nnayoishi sasa, sipendi kuishi niishivyo nataka Amani ya moyo, nataka furaha ya maisha.., Maamuzi yangu yananichapa viboko ss.,, Sio kwa sababu ni mabaya kwangu lkn kwa sabab hayajaafikiwa na mtu aliyekubeba kwa muda flan akakufikisha mahali, bado anataka akubebe lakini wew unataka utembee kwa miguu yako...!!

Wanadamu huwa ni watu wanaojudge wanachokiona na sio uhalisia jinsi ulivyo..!! hebu fikiria mtu yeyote anayeijua historia yangu anapoona nafanya mambo in my own interest,, not to the interest ya mlezi wangu mimi, lazima ataniona sina shukran 100%...,,

Mtaniona sina ubinadamu,, na pengine sina kweli.,, kwa sababu ya tabia yangu ya kufanya vitu nnavoamini ndani yangu kwamba ni sahihi na sio kutembea ndani ya mawazo na dreams za mtu mwingine tofauti..!!!

Kuna profession tofauti humu ndani, wanasheria, wanasakolojia, walezi pia, watu wenye mapenzi mema, na watu waliopitia mengi zaid yangu in life.... Pengine wanaweza kua msaada sana kwangu, sio kwa kunisupport tu ktka maamuzi yangu lkn wanaweza kutoa mwelekeo wa nn cha kufanya in this situation ingawa tayari moyo wangu umeamua na kuuzuia it's out of my control..!!!

Na ingawa nimeamua kuifata njia yangu napoteza ujasiri now,, Nahisi kama confidence inanikimbia kwa haraka sana,, ni kama moyo wangu umevunjika,, Najua siwezi kufata njia yake mpaka sasa lkn pia kutoaniamini na hii vita aloianzisha na mimi inanimaliza,, nashindwa kushika na kutembea ktka njia yangu perfectly,,

it's like am loosing hope!!.HELP ME PLZ!!!
I have friends and a lover but it's like Am lonely in a dense forest, hunted by something very dangerous...!!!

Naamini kwa kiasi kikubwa wengi wetu tunaishi ktka jamii moja ya kitanzania, mkoa mmoja, mji mmoja, na pengine hata mtaa mmoja,, Nyinyi ndo mtakua wa kwanza kuninyooshea mimi kidole, na macho yenu ndo yatakua ya kwanza mimi kuyakimbia,, Ndo mana nimekuja kwenu,, "Judge me the way you think i deserve to be judged in this situation."

UPDATED : njia ninayotaka niifuate mimi na njia ya mlezi wangu anayotaka niifuate nimeijibu kwenye comment zangu hapo chini,, page ya pili, ili thread isiwe ndefu sana ikawapa uvivu wakusoma...!!
Weka wazi tofauti ya kimawazo iliyojitokeza baina yako na mlezi wako. Isipokuwa haraka haraka kwa macho ya kiutu uzima na kutokana na aina ya lugha zako nk nakuona kuwa wewe mleta mada unasumbuliwa na roho ya MASIKINI JEURI , na huko nyuma ulifunika kombe ili upate mradi wako sasa kwa kuwa umepata hitaji la moyo wako unadai PERSONAL IDENTITY bila kutumia hekima. Huyo mlezi wako kama aliweza kuchukuliana na wewe kwa gharama zote from zero grounds up to that heights halafu leo ghafla akugeuke mpaka kukutolea laana haiingii akilini, kuna kila dalili wewe una shukrani za punda.
 
Dogo ww ulie sijui tabora au wap vile ni hivi,,,naona kama uzi woooote unajisifia sifia tu bila kubance story kwa kitu mlichotofautiana,,sasa sifa zote unazojipa unashindwaje kutatua ktu kdgo kam hiki ilihali unasema una jiamin na unaweza kila kitu kinachokuhusu wewe?? Msaada unaotaka upo ndan ya uwezo wako so unataka nin tena huku?? Au umesahau ulichoanza kukiandika wakat unasema huwez asilan kufuata anachotaka yy ila utafanya jinsi unavyotaka kwa njia yako maana ndio sahihi?? Ila kama upo kwa kipind kigum pole ila ndio ukomavu wa fikra huo..

NB: yyte aliefanikiwa maisha au cchote kile,hakuganikiwa kwa sababu mafanikio aliyakuta njiani akayabeba,,lah alikosea sana na akawekeza akili zaid kwa wazo lililobora tofauti na wazo la jana ndio akapata mafanikio... Umejisifu sana we ni mtu wa namna gani lakin umesahau kumsifu na anaekukimbiza. Pole karibu tulewe kdgo

Kaka haikua nia yangu kujisifu,,samahani sana kwahilo kama nimewaboa lakini katika kufkir kwamba nnatoa ya moyoni na akilini ili mnielewe pengine nimeishia kujisifu..!!! Lengo langu kubwa ilikua ni kufikisha ujumbe nlotaka ufike kwenu..!!! Kupangilia mawazo yako ili watu wengine waelewe kama unavyoelewa yaweza kua ni tatizo kwangu,,, kila kitu kina ufundi wake ,, pengine sijabarikiwa upande huo,,, Very sorry bro,,

Lakini nimeuelewa ushaur wako shukran..!!!
 
Weka wazi tofauti ya kimawazo iliyojitokeza baina yako na mlezi wako. Isipokuwa haraka haraka kwa macho ya kiutu uzima na kutokana na aina ya lugha zako nk nakuona kuwa wewe mleta mada unasumbuliwa na roho ya MASIKINI JEURI , na huko nyuma ulifunika kombe ili upate mradi wako sasa kwa kuwa umepata hitaji la moyo wako unadai PERSONAL IDENTITY bila kutumia hekima. Huyo mlezi wako kama aliweza kuchukuliana na wewe kwa gharama zote from zero grounds up to that heights halafu leo ghafla akugeuke mpaka kukutolea laana haiingii akilini, kuna kila dalili wewe una shukrani za punda.

Kaka mkubwa !!! asante sana kwa mchango wako,,, !!! Lakini SHUKURANI ni UTU kaka, Katika kupima utu wa mtu kila mtu anaweza akagrade anavyoona inafaa..!!! kuna mwingine atakupa 10%, mwingine 30%, 50% wengine watakupa 100% kabisa,,, Ni mtazamo wa mtu mmoja mmoja...!!!( individual perception) Namna na kiwango cha shukrani yangu ktka hili inaweza ikatofautiana sana na ya kwako na ya yule pia,,!!!

I may risk my life kwa lengo la kutoa msaada na shukrani kwake,, ingawa yeye hatakubaliana nami,,!!! Unaweza ukamskiliza na wote mkadumbukia shimoni na hiyo pia ni shukrani kwake,, umemtegea skio unamskilza na kumfuata..!!

Naelewa kaka,, alikonitoa ni mbali sana had kunifkisha hapa,, lakini tunaweza tukatofautiana kimtazamo katika kulipana fadhila...!!! sina nia mbaya na yeye,, sijawahi kumwazia mabaya ila MITAZAMO yetu katika hilo jambo hapo juu ndio inatutofautisha...!!
Naomba unielewe vizur katika hilo..
 
Uwezi kuomba ushauri bila ya kueleza mtatizo yako. Ya weke wazi hakuna atakaekufatilia.

Nimefafanua sana sana hapo nyuma kaka,, jaribu kusoma kwa makini kidogo na kufatilia mjadala from the beggining...!!

Asante kwa utayari wako..
 
Kweli, bila kuzibainsha hizo njia mbili tofauti za mawazo baina yao maelezo yake yote bado yamo kwenye blacket yatatufanya na sisi kupoteza muda kujadili maradhi badala ya ku-diagnose kiini cha ugonjwa.

Kiini na chanzo nimekiweka ktka moja ya comment zangu hapo nyuma kk,, Asante.
 
Sasa wewe unakuja kutuchonganisha sisi na walezi wako walio kulea, watoto wa siku hizi akili mliozonazo ni za kufaulu mitinahi ya kukariri ya NECTA na kuvaa nguo tu
 
Back
Top Bottom