WanaJF naomba msaada wa busara toka kwenu tafadhali!!

Mkuu kwa hapa hakuna neno la kutia kabsa maana ukweli ni kwamba Elimu ya darasani ikizid ni too much utachekewa kufanya makubwa ya ndoto zako.

Ila mlezi wako ni muhimu mno kwenye maisha yako ya sasa na baadae........ Naamini nia yake kwako ni kukuhakikishia usalama wa hali ya juu kwenye ubora wa maendeleo yako hapo baadae.

Anachoamini yeye ni mtazamo wa pande moja hajazingatia kuwa kuna A Born life skills ya mtu binafs....

Chakufanya muwekee mezan your life plan na fanya amazing some thing afunguke akili.

Elimu haichagui umri tell her/him kwamba subiri nifungue kitu flan then nitaendelea na ukitakacho wewe.

Thnkx kaka ,, i appreciate your comment bro,, welcome again and stay blessed..!!!
 
Usichoke kumuomba radhi mlezi wako hata kama hataki kukusikia, sina cha kukushauri maana tayari una mawazo yako ila ningekua mimi ningeendelea na chuo huku nafanya vitu vyangu.

Okey,, Shukran dada angu for yur comment,, and welcome again
 
Kwa maelezo yako.. Uwezo wako Bado mdogo.. At least go for masters coz Unawaza kama Una balehe ivi.. Kumbe graduate kabisa
 
Umeandika mengi ila husaidiko kama huandiko hizo njia...hukuwa na haja ya kuiweka kwenye comment huko
 
nakukumbusha tu man ... kupata A kwenye mitihani haimaanishi una akili kupita walezi wako... wameona mbali na hicho kiburi unacholeta nakuhakikishia utajuta sana mwishoni... amekukuta huna lolote huna chochote leo unaleta kiburi... kama ni mimi ndo sihangaiki na wewe kabisa uyaone mwenyewe!!!!
Huwezi mhakikishia kujuta humpangii future Mungu ndiye anatuvusha
 
Aha mambo ya jojn kisomo...aisee binafsi siamni kusoma masters phd ndio kufanikiwa.. First degree inatosha wewe kufanya wonders kabisa...labda niwe lecture ndio niwe soma soma....but kwa vile ni kufadhiliwa inakuwa ajabu anayekusomesha eti anatoa radhi sijuo anavua nguo anakuwa wa ajabu sana na nahisi hajasoma au mswahili....sana...si lazima kusoma ila unaweza soma huku unaandaa mambo yako...au jifelishe shule fanya iwe special mission ili uwe huru but haina maana hiyo....ila bado utata side ya huyo mtu ikoje. Inakuwaje anforc usome yote hayo.. Kuajiriwa ni issue tu uwe na masters au degree au phd...be in the system ndio usome
 
OK...!! iko hivi,, Anataka niwe msomi kwa kiwango cha juu sana na ndo mana alifanya uwekezaji mkubwa mno kwenye elimu yangu..!!!

Nnavoongea nimemaliza chuo kikuu nikiwa na Bachelor,, Mzozo ulianza punde tu nlipomaliza form 6,, Akanitaka nisome course ambayo kwangu mimi haikua on my interest,, nilikubali ingawa kwa shingo upande na of coz nilimaliza ingawa sikuweza kupeform kwa kiwango cha juu sana kwa sbb frankly speaking haikua moyoni kwangu..!!!

Shida kubwa inakuja pale anapotaka niendelee na masters, phd,na mazagazaga mengine ili baadae niwe na uhakika wa maisha kwa kupata ajira ya uhakika( ndivyo anavyoamini na nnafikir 3/4 ya wengi wenu mnaamini hivyo) sjawahi amini ktka elimu kubwa hata sku moja, cjawahi amini ktk ajira hata cku moja,,!!! Na kama nikiamua kufuata that profession yake ina maana ntaishi maisha yangu yote kufanya kitu kisicho jengeka ndani yangu..!!

Nimekua naamini ktk experience kwa zaid ya 80% kuliko hii elimu ya shule..!! Nahisi inatosha, its enough..!! Na moyo wangu haupo kbxa ktk ajira,, nina ideas ambazo ninaweza kuziprove working kwa zaidi ya 70%,,, I can employ myself na kutimiza haja ya moyo wangu,,, hicho ndo moyo wangu unataka,, km nlivowaambia hapo juu i dream one day kuwa mbali xana, na kwa kua mbali nahitajika kuanza mapema in ma youth, na siyo kufanya part time, i need to really focus with all ma mind..!!! I can do it without him but thats not my primary aim,, My AIM is to do it in any situation...!!!

Naamini njia yake haina nia mbaya hata kidogo 100%,, lakini ina serious effect katika maisha yangu mimi, inantengeneza kuwa mtu mwingine kabxa ambaye sitakua base yeyote ktk iyo njia, Sitafika mbali najua kwa sbb sijawahi ht sku kufkir ntakua ivyo ama ntaishi hivyo..!!!

kwa iyo it's okey mtanihumu na kuninyoshea kidole lkn mjue kwamba si kitu kilichojengeka within a year NO,, it's not less than 20 yrs kutokana na malezi nliyopata kabla ya yeye kunipa zawadi ya malezi yake..!!

Naweza sema ndoto yangu imenikuza lkn sio mimi kuikuza ndoto..!!! Imeniongoza kila wakati kufanya niliyofanya, imenipa motisha wa kufanya anayoyaona ni mazuri kwangu till now... !!!
Mlezi wako ameona mbali, ukishupaza shingo utavunjika na asiwepo wa kukuponya tena. Utapungukiwa nini ukisoma mpk huko anakokwambia. Kwa taarifa yako tu, unahitaji hiyo elimu na wakati wa kuipata ni sasa kabla haujajuta. Hizo ndoto zinazozuia mafanikio katika njia inayofanikisha wengine zinaweza kuwa ndio anguko lako, shetani anakutafuta akumalize.
Katubu kwa Mungu na mlezi wako na ufuate ushauri wake tu, sote tulikuwa na ndoto ila tuko sehemu sahihi kwa sababu hazikuwa ndoto njema na tulikubali kushaurika. Haupo nje ya dunia, na kuna wenzio wameona zaidi yako.
 
Nishajibu swali hili b4 dada kipoz,, lkn kwa faida yangu na wote waliotayari kutoa ushauri ntaicopy hii comment tena..... !!! hii hapo chini.

OK...!! iko hivi,, Anataka niwe msomi kwa kiwango cha juu sana na ndo mana alifanya uwekezaji mkubwa mno kwenye elimu yangu..!!!

Nnavoongea nimemaliza chuo kikuu nikiwa na Bachelor,, Mzozo ulianza punde tu nlipomaliza form 6,, Akanitaka nisome course ambayo kwangu mimi haikua on my interest,, nilikubali ingawa kwa shingo upande na of coz nilimaliza ingawa sikuweza kupeform kwa kiwango cha juu sana kwa sbb frankly speaking haikua moyoni kwangu..!!!

Shida kubwa inakuja pale anapotaka niendelee na masters, phd,na mazagazaga mengine ili baadae niwe na uhakika wa maisha kwa kupata ajira ya uhakika( ndivyo anavyoamini na nnafikir 3/4 ya wengi wenu mnaamini hivyo) sjawahi amini ktka elimu kubwa hata sku moja, cjawahi amini ktk ajira hata cku moja,,!!! Na kama nikiamua kufuata that profession yake ina maana ntaishi maisha yangu yote kufanya kitu kisicho jengeka ndani yangu..!!

Nimekua naamini ktk experience kwa zaid ya 80% kuliko hii elimu ya shule..!! Nahisi inatosha, its enough..!! Na moyo wangu haupo kbxa ktk ajira,, nina ideas ambazo ninaweza kuziprove working kwa zaidi ya 70%,,, I can employ myself na kutimiza haja ya moyo wangu,,, hicho ndo moyo wangu unataka,, km nlivowaambia hapo juu i dream one day kuwa mbali xana, na kwa kua mbali nahitajika kuanza mapema in ma youth, na siyo kufanya part time, i need to really focus with all ma mind..!!! I can do it without him but thats not my primary aim,, My AIM is to do it in any situation...!!!

Naamini njia yake haina nia mbaya hata kidogo 100%,, lakini ina serious effect katika maisha yangu mimi, inantengeneza kuwa mtu mwingine kabxa ambaye sitakua base yeyote ktk iyo njia, Sitafika mbali najua kwa sbb sijawahi ht sku kufkir ntakua ivyo ama ntaishi hivyo..!!!

kwa iyo it's okey mtanihumu na kuninyoshea kidole lkn mjue kwamba si kitu kilichojengeka within a year NO,, it's not less than 20 yrs kutokana na malezi nliyopata kabla ya yeye kunipa zawadi ya malezi yake..!!

Naweza sema ndoto yangu imenikuza lkn sio mimi kuikuza ndoto..!!! Imeniongoza kila wakati kufanya niliyofanya, imenipa motisha wa kufanya anayoyaona ni mazuri kwangu till now... !!!
Fanya masters uku unaendelea kufanya unachotaka yeye hakuamin ndo maana anang'ang'ania usome sasa unatakiwa umprove wrong ili aweze kukuamin akuache ufanye mambo yako
 
Aha mambo ya jojn kisomo...aisee binafsi siamni kusoma masters phd ndio kufanikiwa.. First degree inatosha wewe kufanya wonders kabisa...labda niwe lecture ndio niwe soma soma....but kwa vile ni kufadhiliwa inakuwa ajabu anayekusomesha eti anatoa radhi sijuo anavua nguo anakuwa wa ajabu sana na nahisi hajasoma au mswahili....sana...si lazima kusoma ila unaweza soma huku unaandaa mambo yako...au jifelishe shule fanya iwe special mission ili uwe huru but haina maana hiyo....ila bado utata side ya huyo mtu ikoje. Inakuwaje anforc usome yote hayo.. Kuajiriwa ni issue tu uwe na masters au degree au phd...be in the system ndio usome
ubarikiwe..
 
Listen to your inner voice bredrin it somehow already know what you truly want to become

You are not your parents you are you.

If you are stressed so much go next shop and buy some weed and smoke the shit

One perfect love broh

Count your blessings not your stress
 
Back
Top Bottom