WanaJF naomba msaada wa busara toka kwenu tafadhali!!

nakukumbusha tu man ... kupata A kwenye mitihani haimaanishi una akili kupita walezi wako... wameona mbali na hicho kiburi unacholeta nakuhakikishia utajuta sana mwishoni... amekukuta huna lolote huna chochote leo unaleta kiburi... kama ni mimi ndo sihangaiki na wewe kabisa uyaone mwenyewe!!!!
 
Ok, nashkur kwa msaada wako.... Lkn kama umesoma maelezo yangu vizur hapo juu,,, cjawahi kuza kichwa hata cku kwa sbb hiyo...!!! i don't value ma educatn so far, but i value whats growing in ma inside..
 
"Uwezo wa angalau kujiona naweza, ku imagine my future na kuishape future yangu namna nnavotaka iwe, cku zote ndo imekua motisha ya mimi kujiona NAWEZA... Bila hata kuhusisha hii miscellaneous education tunayoitokea Jasho miaka zaidi 17 hapa TZ.,

Kwa kifupi anataka niishi katika ndotto zake yeye..!! ( not to live in ma dreamz ), And thats one thing i can't allow it to happen NEVER,,!! Even once in a lifetime...!! "Kutoa msaada wa kumlea mtu haimaanishi umemnunua" ndicho nnachoamini..!! sijui kama niko wrong hapo..!! Still atakua independent person in all the means..."

******************************************************************************

Dogo kulingana na hayo nameno kwenye aya hizo hapo juu inaonesha zahiri kuwa unakiburi na majivuno; huu ni upumbavu wa kiwango cha zege.

Hebu tuambie nini hasa unakiweza? kuwaonesha walezi wako kiburi; bila hata aibu unatuambia una zaidi ya mwaka hauongei nao, pumbavu kabisa.

Hapo kwenye red color inaonesha dhahili ni jinsi gani ulivyo na dhalau. Wazazi wako wana hasara sana.

hivi huyo anae kusomesha, hizo pesa kama hana kazi nazo si bora angeziweka kwenye kichuguu zikaliwa na mchwa kuliko kukusomesha !
 
It's OK kama umeniona nna dharau,,, lengo langu halikua kuiuza dharau yangu humu na kubisha kama nnayo ama La,,,elewa lengo langu hayo mengine makandokando tu,,, !!!
 
Duh!nmejaribu tuu kupata picha in general kweli uko katika kipindi kigumu sana!I've been there,ingawa sijajua hasa hizo njia mbili ni zipi maana umeifunga sana hii nashindwa kuelewa kama ni kiupande wa imani(dini),au sijui labda mwenza(mke/mume),au labda professionalism...au sijui nini hata nashindwa kukisia ni upande upi hasa,kama ukiweza japo kuifunua kidogo itasaidia watu kutoa ushauri wao kwa uhakika.

OK...!! iko hivi,, Anataka niwe msomi kwa kiwango cha juu sana na ndo mana alifanya uwekezaji mkubwa mno kwenye elimu yangu..!!!

Nnavoongea nimemaliza chuo kikuu nikiwa na Bachelor,, Mzozo ulianza punde tu nlipomaliza form 6,, Akanitaka nisome course ambayo kwangu mimi haikua on my interest,, nilikubali ingawa kwa shingo upande na of coz nilimaliza ingawa sikuweza kupeform kwa kiwango cha juu sana kwa sbb frankly speaking haikua moyoni kwangu..!!!

Shida kubwa inakuja pale anapotaka niendelee na masters, phd,na mazagazaga mengine ili baadae niwe na uhakika wa maisha kwa kupata ajira ya uhakika( ndivyo anavyoamini na nnafikir 3/4 ya wengi wenu mnaamini hivyo) sjawahi amini ktka elimu kubwa hata sku moja, cjawahi amini ktk ajira hata cku moja,,!!! Na kama nikiamua kufuata that profession yake ina maana ntaishi maisha yangu yote kufanya kitu kisicho jengeka ndani yangu..!!

Nimekua naamini ktk experience kwa zaid ya 80% kuliko hii elimu ya shule..!! Nahisi inatosha, its enough..!! Na moyo wangu haupo kbxa ktk ajira,, nina ideas ambazo ninaweza kuziprove working kwa zaidi ya 70%,,, I can employ myself na kutimiza haja ya moyo wangu,,, hicho ndo moyo wangu unataka,, km nlivowaambia hapo juu i dream one day kuwa mbali xana, na kwa kua mbali nahitajika kuanza mapema in ma youth, na siyo kufanya part time, i need to really focus with all ma mind..!!! I can do it without him but thats not my primary aim,, My AIM is to do it in any situation...!!!

Naamini njia yake haina nia mbaya hata kidogo 100%,, lakini ina serious effect katika maisha yangu mimi, inantengeneza kuwa mtu mwingine kabxa ambaye sitakua base yeyote ktk iyo njia, Sitafika mbali najua kwa sbb sijawahi ht sku kufkir ntakua ivyo ama ntaishi hivyo..!!!

kwa iyo it's okey mtanihumu na kuninyoshea kidole lkn mjue kwamba si kitu kilichojengeka within a year NO,, it's not less than 20 yrs kutokana na malezi nliyopata kabla ya yeye kunipa zawadi ya malezi yake..!!

Naweza sema ndoto yangu imenikuza lkn sio mimi kuikuza ndoto..!!! Imeniongoza kila wakati kufanya niliyofanya, imenipa motisha wa kufanya anayoyaona ni mazuri kwangu till now... !!!
 
OK...!! iko hivi,, Anataka niwe msomi kwa kiwango cha juu sana na ndo mana alifanya uwekezaji mkubwa mno kwenye elimu yangu..!!!

Nnavoongea nimemaliza chuo kikuu nikiwa na Bachelor,, Mzozo ulianza punde tu nlipomaliza form 6,, Akanitaka nisome course ambayo kwangu mimi haikua on my interest,, nilikubali ingawa kwa shingo upande na of coz nilimaliza ingawa sikuweza kupeform kwa kiwango cha juu sana kwa sbb frankly speaking haikua moyoni kwangu..!!!

Toka umemaliza chuo mpaka sasa nini umekifanya kinachoweza ku-convince kwamba una dreams kubwa?

Nina ushauri mzuri sana kwako, lakini naamini with your ego, nitakuwa nampigia mbuzi gita.
 
Ndio maana nmefungua mlango uje kwangu unaleta pozii....hivi dunia ya leo wanaume wangapi wanakukaribisha home kiurahisi hivyo?!

Heshima mwanamke aje kwa mwanaume
Hahahahahahahahaha, Unataka niambia nimepata bahati ya kukaribishwa kwenye PM yako????
 
Back
Top Bottom