miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,976
kama unaamini njia yako ni sahihi na itafanikiwa komaa.. ilakama huna uhakika rudi kwa mlezi wako akuelekeze ..
Uchoyo huo...km unaninyima info hivyo vingine c itakuwa balaaYa ndani sana ayo Banah!!!!!!
Sana...pm ni mwanzo tu mbona
Tena makubwaHeee!!!!! Bahati iliojeee Hiii Nimetunikiwa leo......Kwaiyo Baada ya PM Kuna Mengine yatafuata????
Toka umemaliza chuo mpaka sasa nini umekifanya kinachoweza ku-convince kwamba una dreams kubwa?
Nina ushauri mzuri sana kwako, lakini naamini with your ego, nitakuwa nampigia mbuzi gita.
Uchoyo huo...km unaninyima info hivyo vingine c itakuwa balaa
HayaSi Sehemu yake hii, na Tumsaidia Mwezetu kwanza Mawazo........
Go on Mr.. just subside my Ego..!!! Nimekupa ruksa ya kunihukumu unavyotaka,,!!! Perhaps it might change somethng in me..!!
Na kuhusu nini nimefanya staki niende deep into the details,, NAWEZA thats all i can say..!!
Tena makubwa
Ila nanyi mmejitahidi kuchakachua thread ya mwenzenuHutak nijue....
This is the EGO am talking about, if you keep your door closed, am not opening mine.
Nami nlitaka kuuliza hilo hilo swali,maana kama ni passion yake basi hata alipokua secondary lazima alikua akijitahidi japo kupractice hicho anachokiamini,bado chuo pia angeweza japo kwa uchache sana lakini lazima kingeonekana tuu kuwa kinachomkwamisha ni muda,huwezi sema ni dream yako wakati hata ukipata muda ukiwa idle wala hata hujisumbui kuipursue.Toka umemaliza chuo mpaka sasa nini umekifanya kinachoweza ku-convince kwamba una dreams kubwa?
Nina ushauri mzuri sana kwako, lakini naamini with your ego, nitakuwa nampigia mbuzi gita.
Naweza nikakwambia a lot ndugu which have been successfully,, !!! One Notable... I started investment carrier when i was 14 in 2007 by very little less than even 50 USD and till now it has born millions of T-SH, thats what opened my way, and that has been a base of ma capital till now b'se i knew i wanted somthng in future..!!!
Explain that to your guardian, show him the evidence of your achievement, give him the plan for your things with valid supporting points.
Another thing, unaweza kukubali kufanya masters, uzuri masters haikubani kufanya business zako so unapiga two things at per, mpaka unamaliza masters utakuwa huu upande mwingine umepiga step inayotosha kumweonesha mlezi kwamba sasa biashara yako inakuhitaji fully, so you are taking leave on a promise kwamba utaendelea na phd biashara ikifikia sehemu ikaweza kusimama yenyewe.
This way mnaweza kurudi kwenye page moja na mpaka kufikia consensus on whatver will come next.
Raimundo,,, think not, mpaka tumefika tulipo i have been hiding all these things..!!! Know that i have done all thngs whch seems possible,,!!!