WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Miaka ile jf ilikua na adabu, siku zile tuliheshimiana na hapa ndani palikua ni kusambaza upendo.

Jf ya sikuizo ilikua na usiri, tulikutana, tulijikula, tuligombana sana lakini bado tuliheshimiana na hatukua tukifunguliana uzi.

Anyway...

Nina mengi ya kusimulia, ila kwa leo ngoja niishie hapa.

Ebu kwanza nitumie PM yako ili tuonane babe..
hawa waleo hawana adabu kabisaa,wakipewa wanatangaza wenzao tulikuwa tunakula kimyakimya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom