Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,729
- 10,450
I am eagerly waiting sweetheart…Tutakuja yes na tutaenda magoroto as well sweetheart...
I am eagerly waiting sweetheart…Tutakuja yes na tutaenda magoroto as well sweetheart...
Alooooohh😆😆😆Hahaha Kuna muda hata Mimi mwenyewe hua najishangaaga na kujiachia mambo yangu mwenyewe...
Twende tukaselfike Boss Lady achana na ya huku yatakuumiza bureMkuu unanichekesha kama chizi huku ujue Anyway Mambo yao waachie wenyewe!!
Yasikuumize kichwa!!
Mie Atlas ananionea bure msukuma😂😂🤔🤔🤔! Anyway Tumeshakubaliana mambo yao tuwaachie wenyewe msukuma haya twende zetu selfika 🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️Twende tukaselfike Boss Lady achana na ya huku yatakuumiza bure
Haitakaa itokee sweetheart...Alooooohh😆😆😆
Endelea tu kujishangaa ila nisikukamate sweetheart
Thank you my love…Haitakaa itokee sweetheart...
It's you I want...
Itoshe tu kusema mna mapenzi ya kitoto Darlin. Na msije mkasema nawaonea wivu hapa ila ni ujinga mnaofanya ili tujue nyie ni wapenzi? Kwani nyie kwenye hii dunia ndio wa kwanza kupendana?.
Thread ya mtu mwingine mnaifanya ya kwenu? Anzisheni thread yenu ya kuchart wawili, Acheni ujinga.
Kwani PM ziliwekwa za nini?
Miaka ile jf ilikua na adabu, siku zile tuliheshimiana na hapa ndani palikua ni kusambaza upendo.
Jf ya sikuizo ilikua na usiri, tulikutana, tulijikula, tuligombana sana lakini bado tuliheshimiana na hatukua tukifunguliana uzi.
Anyway...
Nina mengi ya kusimulia, ila kwa leo ngoja niishie hapa.
Ebu kwanza nitumie PM yako ili tuonane babe..
shouzzzz bhana lolMkuu unanichekesha kama chizi huku ujue Anyway Mambo yao waachie wenyewe!!
Yasikuumize kichwa!!
Ailavu yu tuu...😘Babu nimekumiss
Tatizo lugha mwali, haya mauzungu yenu yaliletwa na majahazi huku tanganyika...😊Amesema miss u not love u
Ahsante na wewe uwe na Idd njema chiefMembers wote wa JF...
Mue na mialiko mema, mualikane ndiyo ubinadamu...
Muwe na Eid njema...