Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Ewaa KalumbuSi umalizie tu uyole mwee
Ewaa KalumbuSi umalizie tu uyole mwee
WatauwanaItakuwa ni bonge la meeting

Nimekutafuta kwa ile namba yako siipati nadhani umeibadilisha . Nitafute pleaseHataree
Swala la kupanga nakuachia wewe boss wangu.itapendeza sana tukionana aise 😉
Wewe utakutana na mimi sasa
Kumbe ulianzia hapa.
Kunguru Kanyea ugali wa masela😅Kumbe ulianzia hapa.
Nifute akilini mwako 🚶🏻♀️
Support. Mi niko kwenye jiji la kizaramoSiyo kwa ubaya bali kwa mema tu...tupange ratiba ya kuonana hata Mara mbili kwa mwaka....tunaonana kwa ajili ya kufurahi,kubadilishana mawazo,kubadilisha mazingira,kupeana michongo na vingine vingi visivyo na madhara.
Tusibaguane wala kuweka matabaka ...Mali ni zetu lakini uhai si Mali yetu bas muda huu tupo hai tutengeneze aman na upendo sisi kwa sisi.Tanzania ni yetu bas tusitengane wandugu.NAWAPENDA SANA!
