Jeshi la DRC kuwakabili waasi wa FDLR

Jeshi la DRC kuwakabili waasi wa FDLR

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,569
Reaction score
53,583

130815212314_congolese_army_drc_640x360_bbc_nocredit.jpg

Wanajeshi wa DRC

Serikali ya Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo inasema kuwa iko tayari kundesha oparesheni ya kijeshi dhidi ya waasi wa kihutu mashariki mwa nchi hiyo.

Waasi hao walishindwa kutii matakwa yaliyowekwa na jamii ya kimataifa miezi sita iliyopita ya kuwataka kuweka chini silaha na kuondoka eneo hilo lililo kwenye mpaka na Rwanda.

Waasi hao wa kihutu wanaojulikana kama FDLR wamekuwa wakitumia eneo la mashariki mwa Congo kama ngome yao ya kuipiga vita serikali ya Rwanda huku wakikisiwa kuhusika kwenye mauaji ya halaiki nchini Rwanda mwaka 1994

Ni karibu waasi 300 tu waliojisalimisha kati ya waasi wanaokisiwa kuwa takriban 1500.

Jeshi la DRC kuwakabili waasi wa FDLR - BBC Swahili

FDLR kwani DRC nao wanajeshi la kuwashinda hao au ni jeshi la Rwanda kama kawaida ndo linakwenda kuwapiga?
 
Sio CoW tena!?

Tulia, sie wenyewe ndio tunajua jinsi ya kuicheza hii, ngoma inaanza na mwenye nchi halafu sie tunafunika. Hii inabidi tucheze siasa maana nyie na SADC yenu mngeanza kulialia ovyo.
 
Tulia, sie wenyewe ndio tunajua jinsi ya kuicheza hii, ngoma inaanza na mwenye nchi halafu sie tunafunika. Hii inabidi tucheze siasa maana nyie na SADC yenu mngeanza kulialia ovyo.

Nyie Wakenya mnapenda kujiongezea mzigo tu, kule Al Shabab wanawasumbua... hamjamaliza kule mmehamia huku, halafu na pote mna fail, jeshi la CoW haliwezi kushinda jeshi la SADC... Nakuhakikishia msijaribu kucheza na JWTZ, mfunike halafu SADC inawaangalia tu kama mnaingia uchochoroni mwenu!? Huyo Rwanda anawadanganya, ye ndio shida, haya ingieni kucheza ngoma isiyo yenu, mpigike vibaya sana...
 
Vita dhidi ya Alshabaab sio vya Wakenya, bali Afrika yote, kuna nchi nyingi zimehusika kule Somalia, ila Tanzania ndio imekunja mkia siku zote. Halafu Congo uamuzi umefanyika na hakuna kundi lolote linafaa kubaki huko, na muda usio mrefu watapata kichapo na kama yeyote wa SADC ataonyesha pua, naye pia itamkuta.

Amani na utulivu ndio njia mpya sasa, jamaa warudi kwao Rwanda na kujihusisha katika ujenzi wa nchi na bila masharti.
 
Kama Africa yote imehusika, iweje Wakenya waumie zaidi!? Milipuko mingi ya Al Shabab inafanywa Kenya... Kwani Congo wamewaita nyie CoW mkawasaidie!? Hamna ubavu wa kupiga jeshi la SADC likiongozwa na Tanzania, Amani na Utulivu Wakati Kagame anafanya ujinga, Jamaa warudi kwao ili ya kwamba Kagame awauwe vizuri!?
 
Gharama ya vita vya Somalia hatujaanza kulipa juzi, kwa miaka hiyo yote 20 tumeumia sana na inaeleweka
- Sie ndio tunao mpaka mrefu zaidi na hawa jamaa. Hawana uwezo wa kuenda kuvamia Burundi maana ni mbali.
- Nchi yetu ndipo walipo wengi, wazawa wapo laki tisa, 900,000 halafu wengi wamekuja kama wakimbizi.
- Hii imefanya rahisi kwa alshabaab kujificha ndani ya nchi baada ya wao kushindwa kupigana kijeshi.
- Na tutakomaa nao hadi hatima yake.

Hilo la kwamba SADC haiwezi pigika unalijua wewe na mahali ulipo nyuma ya computer yako, lakini ikifika mizinga ianze kuruka hewani, basi hapo ndio ngoma itafahamika.

FDLR wamekaa kuwahangaisha Wakongo na kila wakiongeleshwa wanadai Kagame atawanyonga wakirudi, wakubali kuweka silaha chini suluhisho la amani chini ya uongozi wa UN lipatikane.
 
Tanzania ndio King wa siasa za ukanda wa mashariki na kusini mwa Afrika.....hakuna plan isiyokuwa na mkono wetu na wakati mwingine mnacheza ngoma inayopigwa na Tanzania.......Kagame ameshanyooshwa......mirija aliyokuwa anatumia kujiimarisha imekatwa.......sasa anaangaika kuishawishi Ethiopia na Sudan ziwe sehemu ya Cow kutokana na nguvu zao kijeshi.....lakini anajua nguvu ya SADC ....na ushawishi wa Tanzania....
 
Big up! UTAIFA KWANZA KAMANDA WANGU!
 
Misifa ya kibwege hii isiyokuwa na ukweli wowote.
 
Tanzania ndio King wa siasa za ukanda wa mashariki na kusini mwa Afrika.....hakuna plan isiyokuwa na mkono wetu na wakati mwingine mnacheza ngoma inayopigwa na Tanzania.......Kagame ameshanyooshwa......mirija aliyokuwa anatumia kujiimarisha imekatwa.......sasa anaangaika kuishawishi Ethiopia na Sudan ziwe sehemu ya Cow kutokana na nguvu zao kijeshi.....lakini anajua nguvu ya SADC ....na ushawishi wa Tanzania....

Na hiyo bla bla bla...... hewa tupu tunajua FDLR ni mtoto wa Tanzania kama vile M23 kwa kagame. Hamtaki FDLR ife. katika website ya serikali mnawaita hawa magaidi freedom fighters my foot. Munusco imelemewa DRC wala hamna nia kwa sababu JK hataki mtoto wake afe!!!!
[h=1]FDLR surrender deadline is here but Dar, Pretoria don't want to know[/h]
ico_plus.png
SHARE
ico_bookmark.png
BOOKMARK
ico_print.png
PRINTRATING

fdlr.jpg
The central issue today is that troop contributors Tanzania and South Africa are showing no willingness to militarily dismantle the FDLR rebel group. PHOTO | TEA GRAPHIC
By Sasha Lezhnev and John Prendergast

Posted Saturday, December 27 2014 at 12:37

IN SUMMARY

  • While the FDLR offered to disarm in May 2014, behind the scenes it is doing the opposite. Six months of Enough Project field research uncovered that the rebels are regrouping, trading gold and charcoal for weapons, and mobilising political support.
  • Tanzania and South Africa, the countries that would be the largest members of the integration force, continue to make excuses for the FDLR.
  • Tanzania lists the FDLR as a freedom fighting organisation on its government website, and senior South African envoys have lobbied in negotiations for delays in counter-FDLR operations.

Tulia, sie wenyewe ndio tunajua jinsi ya kuicheza hii, ngoma inaanza na mwenye nchi halafu sie tunafunika. Hii inabidi tucheze siasa maana nyie na SADC yenu mngeanza kulialia ovyo.

Mbona mmefyata mikia? Si d-day ilikua tar 2 Jan 2015?
 
waltham said:
Na hiyo bla bla bla...... hewa tupu tunajua FDLR ni mtoto wa Tanzania kama vile M23 kwa kagame. Hamtaki FDLR ife. katika website ya serikali mnawaita hawa magaidi freedom fighters my foot. Munusco imelemewa DRC wala hamna nia kwa sababu JK hataki mtoto wake afe!!!!

..kwamba Tz inasaidia FDLR ni propaganda za Kagame na Rwanda.

..nakuhakikishia Tanzania ingekuwa inasaidia FDLR basi Kagame asingekuwa Raisi wa Rwanda leo hii.

..hakuna jeshi lolote lile liliopokea msaada wa Tanzania limewahi kushindwa katika uwanja wa mapambano.

..majeshi ya kusini mwa Afrika kama Zimbabwe, Namibia, na Mozambique, yote yamefundishwa hapa Tanzania kabla ya kwenda kukomboa nchi zao.

..Jeshi la Uganda, UPDF, lilianzishwa na kufundishwa na instructors wa Kitanzania. Makamanda wengi wa ngazi za juu wa jeshi la Uganda wamepitia mafunzo yao ktk chuo chetu cha kijeshi Monduli.

NB:

..hakuna website ya serikali ya Tanzania inayosema kwamba FDLR ni wapigania uhuru. Hao uliowa-quote mbona hawatoi hiyo link kupeleka wasomaji hapo ambapo FDLR imetambulishwa kama wapigania uhuru??

cc MTAZAMO, Swat
 
Last edited by a moderator:
Tulia, sie wenyewe ndio tunajua jinsi ya kuicheza hii, ngoma inaanza na mwenye nchi halafu sie tunafunika. Hii inabidi tucheze siasa maana nyie na SADC yenu mngeanza kulialia ovyo.

hahah...I like your guts, though kenya na Nchi marafiki zenu (let say COW) hamna jeshi imara lenye kupigana vita kali na wakawa na guarantee ya Ushindi. Nimeishi kwenye nchi hizi zote zinazounda EAC na nafahamu weakness na strength za kila nchi. anyway, tunachoongea hapa, kinabakia kwenye saver za JF, but alot have to be done to strengthen the military capacity of each members forming COW, if and only if they real mean it...! kuhusu jeshi la kongo, ndo kabisaa...the weakest military army ever happened in this World. My take, Dialogue is better than military solution
 
..kwamba Tz inasaidia FDLR ni propaganda za Kagame na Rwanda.

..nakuhakikishia Tanzania ingekuwa inasaidia FDLR basi Kagame asingekuwa Raisi wa Rwanda leo hii.

..hakuna jeshi lolote lile liliopokea msaada wa Tanzania limewahi kushindwa katika uwanja wa mapambano.

..majeshi ya kusini mwa Afrika kama Zimbabwe, Namibia, na Mozambique, yote yamefundishwa hapa Tanzania kabla ya kwenda kukomboa nchi zao.

..Jeshi la Uganda, UPDF, lilianzishwa na kufundishwa na instructors wa Kitanzania. Makamanda wengi wa ngazi za juu wa jeshi la Uganda wamepitia mafunzo yao ktk chuo chetu cha kijeshi Monduli.

NB:

..hakuna website ya serikali ya Tanzania inayosema kwamba FDLR ni wapigania uhuru. Hao uliowa-quote mbona hawatoi hiyo link kupeleka wasomaji hapo ambapo FDLR imetambulishwa kama wapigania uhuru??

cc MTAZAMO, Swat

Heshima yako mkuu, hata mimi nilikuwa nafikiria hivyo. Hivi kweli TZ aisaidie FDLR, Kagame awe anasogoa anavyojisikia? nafikiri ni muda mwafaka wa kusema enough is enough...sometime, inabidi tudai heshima kwa nguvu. nina uhakika, masaa 6 yanatosha kabisa kumwondoa PK madarakani...bahati mbaya, TZ siku hizi hatuna viongozi wapenda vita...
 
jeshi la DRC kwa kuliangalia tu utajua halina discipline. wanajeeshi wanavaa vilemba, wwanageuzia kofia na kuvaa mizula. ila sidhani kama ni busara kuwaruhusu Rwanda na Uganda kwenda Congo. kwanza wanashutuma za kuharibu amani huko na wamewahi weka majeshi na kuiba mali huko Kisangani.
 
..kwamba Tz inasaidia FDLR ni propaganda za Kagame na Rwanda.

..nakuhakikishia Tanzania ingekuwa inasaidia FDLR basi Kagame asingekuwa Raisi wa Rwanda leo hii.

..hakuna jeshi lolote lile liliopokea msaada wa Tanzania limewahi kushindwa katika uwanja wa mapambano.

..majeshi ya kusini mwa Afrika kama Zimbabwe, Namibia, na Mozambique, yote yamefundishwa hapa Tanzania kabla ya kwenda kukomboa nchi zao.

..Jeshi la Uganda, UPDF, lilianzishwa na kufundishwa na instructors wa Kitanzania. Makamanda wengi wa ngazi za juu wa jeshi la Uganda wamepitia mafunzo yao ktk chuo chetu cha kijeshi Monduli.

NB:

..hakuna website ya serikali ya Tanzania inayosema kwamba FDLR ni wapigania uhuru. Hao uliowa-quote mbona hawatoi hiyo link kupeleka wasomaji hapo ambapo FDLR imetambulishwa kama wapigania uhuru??

cc MTAZAMO, Swat
[h=1]EXCLUSIVE: Tanzania Hosts More Meetings For FDLR With ICTR Convicts[/h]

  • [*=center]
    [*=center]
    [*=center]27

    EmailShare
    [*=center]
    [*=center]
    [*=center]
Tanzania President Jakaya Kikwete speaks to Rev Christopher Mtikila at an event in Dar es Salaam
After hosting former premier Faustin Twagiramungu, then the Rwanda National Congress (RNC) the Tanzania's elite establishment has linked up the FDLR rebels with convicts of the International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR) including ex-army commander Brig Gen Gratien Kabiligi.
News of Rwanda has obtained more intriguing details of different meetings hosted in Dar es Salaam involving the Democratic forces for the liberation of Rwanda (FDLR), a militia group based in DR Congo with their former commanders in Europe and Tanzania. The meetings are not hosted by the State of Tanzania, but a network of political elites with vested interests in the FDLR.
While Faustin Twagiramungu had left Tanzania for Lyon, France on the 23rd January, two FDLR senior leaders were in Dar es Salaam and stayed there during the days which followed. As News of Rwanda has reported before, the men who were in Tanzania are FDLR executive secretary Lt Col Wilson Irategeka and Col Hamadi, the operations commander.
Our investigations team is yet to find out when Brig Gen Gratien Kabiligi arrived in Tanzania, but have established that he had meetings at secret locations in Dar es Salaam with the above FDLR commanders. The meetings took place on Friday 24th January, then Saturday and the days of the following week.
God's man of carnage
Brig Gen Kabiligi was arrested in 1997 and his trial before the ICTR started in 2002. He was acquitted on December 18, 2008 by the controversial judge Theodor Meron who has been accused of deliberately releasing genocide suspects at ICTR and ICTY. Since then, Kabiligi lived in a safe house in Arusha, Tanzania, waiting for resettlement in another country. He eventually did however get allowed in by France.
The meetings between Kabiligi and the FDLR men were brokered, planned and hosted by Reverend Christophe Mtikila with the full blessing of the Tanzanian elite establishment. Brig Gen Kabiligi was the Chief of Military Operations within the High Command of the ex-Rwandan army which metamorphosised into the current FDLR.
Reverend Mtikila is no stranger to Rwandan affairs. He is a vocal Tanzanian evangelist-politician who has hosted FDLR commanders on several occasions. Rev Mtikila is the Chairman of Democratic Party (DP), a small political grouping with representation in parliament. News of Rwanda has established that he is the figure who facilitates the acquisition of Tanzanian passports for FDLR commanders to travel out of DR Congo jungles.
Major opposition parties have charged that the virulently vocal Mtikila is used by the ruling elite to disorganize them. (News of Rwanda is preparing a separate investigation about Rev Mtikila's network that has been hosting and facilitating FDLR and genocide suspects on the run).
ICTR convicts in Tanzania safe houses
These latest meetings are not isolated events, according to our investigation. The Tanzanian ruling elite has provided new homes with full police protection at the expense of the Tanzanian taxpayer, to about 6 Rwandan men who slaughtered Tutsis back home. What the ordinary Tanzanians have not been told is that all countries have declared these men persona non grata.
The man include: Andre Ntagerura, a member of the Interim government in 1994, as well as Justin Mugenzi and Prosper Mugiraneza – who were all ministers in the brief government which rolled out the genocide against Tutsis across the country as they themselves fled to Zaire.
The other men who have been provided safe houses by the Tanzanian ruling elite are Andre Rwamakuba, a minister in the same government, as well as Casmir Bizimungu and Jerome Bicamumpaka.
All these men were controversially acquitted by the ICTR at different times. As show of displeasure with the acquittals, the men have asked for visa from different countries, but have all been turned down. They are now famously known as the "unwanted" in the news media.
Who is Brig Gen Gratien Kabiligi?

Before the full-scale genocide against Tutsis was launched across the Rwanda, Brig Gen Gratien Kabiligi was the commanding general of military operations of the entire army. Units in Kigali and across all the hills of Rwanda, as well as the elite commandos were under his direct command. Kabiligi worked with Col Theoneste Bagosora, the man convicted and branded by the ICTR as the "brand of the genocide".
Kabiligi had actual knowledge of the security situation in the whole country from weekly meetings which he attended, with convicted Aloys Ntabakuze, the para-military commander. As stated in the indictment, both Gratien Kabiligi and Aloys Ntabakuze described Tutsis as "the enemy".
Kabiligi was given constant briefings by Aloys Ntabakuze whenever he ordered his units to reinforce units of the Presidential Guard involved in the systematic elimination of the main leaders of the political opposition and prominent figures of the Tutsi population. Among men who reported to Kabiligi is Maj Protais Mpiranya, who is yet to be apprehended.
On 28 January 1994, Kabiligi and André Ntagerura arrived by helicopter in Bugarama sector, Cyangugu prefecture and with Emmanuel Bagambiki distributed weapons to 2 000 Interahamwe militia at a rally held on a football field. In a speech, Kabiligi encouraged the youth to be vigilant and to fight "the enemy", whom he identified as the Tutsis, wherever they were found. Many of such operations would happen over the coming months to different interahamwe training camps.
At a meeting held at Ruhengeri Military Camp on 15 February 1994 chaired by Gen Kabiligi, the high command set final touches to a plan to massacre Tutsis. Kabiligi ordered that each sector's commander should organise clandestine commando operations. When speaking about killings of "the enemy", Kabiligi used the French term "déraciner" (uproot). Many such meetings were held before and next months.
As the Arusha peace deal was being discussed, Gen kabiligi was preparing for war. In the recorded high command meetings, Kabiligi ordered all army units to "understand the situation and assume their responsibilities". Kabiligi categorically ordered the units to be ready for war to resume resume on 23 February.
- See more at: http://www.eacvision.com/rwanda-2/e...fdlr-with-ictr-convicts/#sthash.wdddPDam.dpuf
 
Mkuu JokaKuu unakumbuka hata Buyoya rais wa Burundi kipindi cha nyuma aliwahi kulalama eti Tanzania inasaidia waasi kumpindua.......Kikwete akihojiwa na BBC alimwambia kama Tanzania ingesaidia hao waasi Buyoya asingekuwa rais muda mrefu.....huo ndio ukweli ......Museveni anaelewa vizuri ndio maana hawezi kuisema vibaya Tanzania.....Kagame na ubabe wake tayari kashughulikiwa sasa ni mbwa asiye na meno ndio maana ili apate usingizi anataka kuwaingiza Sudan na Ethiopia kwenye CoW maana anajua pekee yao hawawezi JWTZ achilia mbali SADC....
 
Halafu hadi sasa huwa sipati picha jinsi kainchi kadogo kama Rwanda huwa kamelinyima usingizi jitu kama Tanzania, kila uchao hamkomi kuhangaika na taarifa za Rwanda. Yaani Kagame amekua kiboko kweli.
 
Back
Top Bottom