Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,506
- 2,898
Nafikiri viongozi wa Africa wasishangae kila mmoja atafikiwa kwa wakati wake kama ilivyokuwa enzi za kupata uhuru
Ikumbukwe kuwa ni zaidi ya Karne Moja imepita ikiashiria kuwa Kuna kizazi kinafutika na kuja kizazi kingine
Hivyo basi kizazi kinachokuja kinajaribu kuweka mazingira yake ya kukabiliana na changamoto za maisha