Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

Mende mdudu

Senior Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
197
Reaction score
405
Kikundi cha wanajeshi kilionekana kwenye televisheni ya taifa ya Benin kikitangaza kuvunjwa kwa serikali katika kile kinachoonekana kuwa mapinduzi nchini humo, iliyopo Afrika Magharibi.

Mapinduzi hayo yametangazwa leo siku ya Jumapili kumng’oa madarakani Rais Patrice Talon, ambaye ameiongoza nchi hiyo tangu mwaka 2016, pamoja na kuvunjwa kwa taasisi zote za serikali.

============

A group of soldiers appeared on Benin’s state TV announcing the dissolution of the government in an apparent coup in the West Africa nation.

They announced on Sunday the overthrow of President Patrice Talon, who has been in power since 2016, as well as all state institutions.

The troops referred to themselves as part of the “Military Committee for Refoundation” (CMR), and said on state television that they had met and decided that “Mr Patrice Talon is removed from office as president of the republic”.

Talon’s whereabouts were unknown.

The French Embassy said on X that “gunfire was reported at Camp Guezo” near the president’s official residence. It urged French citizens to remain indoors for security.

Talon was due to step down next April after 10 years in power.

Source Aljazeera
 
Hii ni movement kwa barani Africa. Wananchi wanapofunguka na kuwa exposed na mambo yanayo fanya na watu walio wapa dhamana ya kusimamia na kuongozo resources za nchi, mwisho wake ndio unakuwa kama huo.. Naona jamaa wameona waokoe taifa lao kabla mambo hayajawa mabaya sana
 
Kuingiza watu kwa kujuana na vi memo ndio matokeo yake hayo ( kuwekana kwenye nafasi kwa agenda badala ya sifa stahiki ) matokeo yake alie waweka anakuwa na power ya kuwa control..
Wala hiyo si sababu maana haiitajiki jeshi zima ni watu wachache tu wakishateka Ikulu na kutangaza inakuwa imeisha
 
Kundi la wanajeshi wamejitokeza kwenye tv ya taifa na kutangaza wamemuondoa Rais Talon
View attachment 3512597
============
A group of soldiers appeared on Benin’s state TV announcing the dissolution of the government in an apparent coup in the West Africa nation.

They announced on Sunday the overthrow of President Patrice Talon, who has been in power since 2016, as well as all state institutions.

The troops referred to themselves as part of the “Military Committee for Refoundation” (CMR), and said on state television that they had met and decided that “Mr Patrice Talon is removed from office as president of the republic”.

Talon’s whereabouts were unknown.

The French Embassy said on X that “gunfire was reported at Camp Guezo” near the president’s official residence. It urged French citizens to remain indoors for security.

Talon was due to step down next April after 10 years in power.

Source Aljazeera

Tusubiri ya Tanganyika ya D9??
 
Back
Top Bottom