anachosema Mantombazane kina logic ni mara nyingi TPDF imehusika na ukiukwaji wa sheria na hasa haki za binadam kwa kupigapiga raia bila sababu na kuwashambulia polisi(polisi wa usalama barabarani) rejea tukio la ubungo si mara moja,kwani sisi raia hatuna haraka??walishamtwanga traffic pale,ila kuvamia mitaani na kupiga raia si mara moja mdau lutamyo ni mara nyingi sana,wiki 2 zilizopita hapahapa jamvini iliripotiwa kuwa JWTZ wanajesh wake wamewapiga vijana keko ambao walikuwa wakihisiwa kuiba simu ya sh 25,000/= ajabu sasa huyo aloibiwa wala si mwanajeshi,hawakuishia hapo wanajesh wale waliwanywesha maji machafu wale vijana,uhasama kati ya raia na wanajesh upo sana kama ulivyo kati ya askari wa wanyama pori na wakaz wanaokaa pembezon wa hifadh za taifa.
Wanajesh si malaika usiwasifie kiasi hiko wapo micharuko,wapo wengi sana Mwamunyange alivalie njuga hili,
ila mwisho nasapot POLISI KULAMBISHWA KICHAPO maana nadhan wanajesh wanatimiza kauli ya 'WAPIGWE TU' sikumbuk aloitamka hii kaul
Massai mm nakushauri ni bora ukae kimya...hii mitandao itakupeni shida...hili jina fake lickufanye udhani uko safe xana...records are taken,itc all urs
hakuna uhasama wowote kati ya wajeda na raia nimetoka ktk kikos cha jeshi kule arusha nimeona watoto wa kimasai walikuwa wanakuja kula msosi wa jion wala hawaguswi pia 2kitoka nje ya kambi raia wanakuja kuuza vitu tofaut bila hata hofu yoyote ila uhasama mkubwa upo kati ya polisi na wajeda hadi nyimbo zao wanawaponda kinoma polis
VURUGU MARA: Wanajeshi 6 JWTZ jioni hii wavamia kituo cha polisi cha Tarime na kuwapiga polisi baada ya mwenzao kukamatwa, RPC Lazaro Mambosasa athibitisha.
CHANZO: Mwananchi
Jameni kazi ya polisi ngumu sana, unakumbana na wabakaji, wezi, wauaji n.k. afu unakutana na wengine wanajifanya wao wapo juu ya sheria, sababu eti mwanajeshi na hawashikiki bila kuzua fujo. Polisi kwetu Kenya huwa wanawashika hata wabunge kwenye madanguro halafu inabidi ipigwe kimya maana afande atapoteza kazi.
Kwa kua ni kambi hiyo ume-conclude,hayahakuna uhasama wowote kati ya wajeda na raia nimetoka ktk kikos cha jeshi kule arusha nimeona watoto wa kimasai walikuwa wanakuja kula msosi wa jion wala hawaguswi pia 2kitoka nje ya kambi raia wanakuja kuuza vitu tofaut bila hata hofu yoyote ila uhasama mkubwa upo kati ya polisi na wajeda hadi nyimbo zao wanawaponda kinoma polis
Mr.Reliable unacheka ila huo ndo ukweli,ingawa Mr. Mangi anapinga,sasa wanajesh wanaenda kupiga raia kweli wapo sawa upstairs hao,au tuambiwe sheria ipi inamruhusu mwanajeshi kuvunja sheria za barabarani,maana mtoa mada amesema walikuwa wame vaa kiraia hawakua na Helmetha ha umeeleza vizuri mwanzoni, ulivyomalizia umenichekesha bure
hakuna uhasama wowote kati ya wajeda na raia nimetoka ktk kikos cha jeshi kule arusha nimeona watoto wa kimasai walikuwa wanakuja kula msosi wa jion wala hawaguswi pia 2kitoka nje ya kambi raia wanakuja kuuza vitu tofaut bila hata hofu yoyote ila uhasama mkubwa upo kati ya polisi na wajeda hadi nyimbo zao wanawaponda kinoma polis
Ulishawahi kwenda jeshi au kumjua mwanajeshi? Unakijua unacho ongea au ushabiki tu? Nikujibu swali lako, hakuna mazingira ya kumpa mwanajeshi hela kwa sababu kwa sasa hakuna huduma anayotoa moja kwa moja kwa mwananchi. Lakini nina imani kutokana na mafunzo na mazingira ya wanajeshi wa chini wakimwagwa katika sekta zote za serikali kusimamia utendaji kazi zitafanyika kwa ufansis maana, hawana ruhusa ya kuwa na benki account binafsi, kiwanja binafsi nakadhalika mpaka baada ya miaka flani kupita. Hivyo chances za wao kuchukua rushwa ni ndogo sana maana watapeleka wapi hio hela wakati kila kitu hupewa na hawana ruhusa ya kuwa na private possessions? Ulishawahi kwenda hospitali za mission? Je ilibidi utoe rushwa kwa ma sister wakusaidie? Unafikiri ni kwanini ukiachana na sababu ya imani?Hivi wewe unakijua unacho kiongea au unashabikia tu, nikuulize swali moja mwanajeshi utampa rushwa katika mazingira yepi, kuna huduma gani ambayo anaitoa kwa mwananchi mmoja mmoja, ambako anaweza kupewa rushwa.swali la pili nitajie nnchi moja hapa duniani amboyo polisi wanapendwa na wananchi wake.
JWTZ maranyingi huwa wanapigwa na Police ila maripota wanageuza habari teh teh