Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,929
- 6,030
Wewe uliyeileta humu ndiyo utuambie imepikwa na nani!!Imepikwa na nani hiyo video?
Wewe uliyeileta humu ndiyo utuambie imepikwa na nani!!Imepikwa na nani hiyo video?
heka heka zenyewe zinawatokea puani milioni200$ HAMAS wameweka mfukoni na wangawa kipondo kwa mteule kama hawamjuiWateule Wana heka heka sana
swala la oktoba 7 ni mpango wa israeli mbona watu walishaliona hilo kabla hata ya hiyo oktoba 7 haijafika!ILA USHABIKI MAANDAZI NDO UNAKUFANYA UWE KIPOFUVideo yenyewe ni ya michongo!! Una uhakika gani huyo ni askari wa iDF?
Kwa sheria za kijeshi huwezi kutoa taarifa kama hiyo maana kuna msemaji wa Jeshi!!
Hicho kinachoendelea ni TAQIYYA yaani uongo kwa ajili ya mnyazimungu wao!!! Wajinga tu wanaweza kuamini UHARO huu
Wewe si ndiyo umesema imepikwa,tueleze mpishi nani, maana mi naona hiyo ni hearing kujua kilichojiri,ndiyo maana hapo pembeni kuna mtu kavaa uniform sekunde za mwanzo za videoWewe uliyeileta humu ndiyo utuambie imepikwa na nani!!
Yaani ulivyo Utopolo unaamini kabisa Ismail Hanniyeh,Yahya Sinwar na makamanda waliofyekelewa mbali na Israem walipanga mipango hiyo!!!swala la oktoba 7 ni mpango wa israeli mbona watu walishaliona hilo kabla hata ya hiyo oktoba 7 haijafika!ILA USHABIKI MAANDAZI NDO UNAKUFANYA UWE KIPOFU
Hamas wamekiri kuivamia kujua na kuchukua Mateka na baadhi wameachiwa huru hivyo hoja husika inakosq mashikoWanajeshi wa IDF wafichua kwamba shambulio la Hamas la oktoba 7 lilikua na mkono wa israel, katika kile kinachodaiwa kuwa ni sababu/fursa tosha ya kuwaondoa wapalestina milele
View attachment 3427112View attachment 3427113
kobazi mnajua kujitungia mauongo yasiyo na tija ili kuwasaficha ndugu zenu Hamas kwa hiyo mnataka kutuaminisha Israel iruhusu raia wake wauawe,wabakwe ,wachinjwe,watekwe na magaidi ya Hamas hakuna serikali ya hivi ulimwenguniWanajeshi wa IDF wafichua kwamba shambulio la Hamas la oktoba 7 lilikua na mkono wa israel, katika kile kinachodaiwa kuwa ni sababu/fursa tosha ya kuwaondoa wapalestina milele
View attachment 3427112View attachment 3427113
hivi wafia dini kutunga huu uwongo mlifikiria kupitia makalio au makagariWanajeshi wa IDF wafichua kwamba shambulio la Hamas la oktoba 7 lilikua na mkono wa israel, katika kile kinachodaiwa kuwa ni sababu/fursa tosha ya kuwaondoa wapalestina milele
View attachment 3427112View attachment 3427113
Hizo source ndio vichekesho eti yule yule MojoviiWanajeshi wa IDF wafichua kwamba shambulio la Hamas la oktoba 7 lilikua na mkono wa israel, katika kile kinachodaiwa kuwa ni sababu/fursa tosha ya kuwaondoa wapalestina milele
View attachment 3427112View attachment 3427113
Wanajeshi wa IDF wafichua kwamba shambulio la Hamas la oktoba 7 lilikua na mkono wa israel, katika kile kinachodaiwa kuwa ni sababu/fursa tosha ya kuwaondoa wapalestina milele
View attachment 3427112View attachment 3427113
Kwa hiyo atumie akili za kichwani na sio akili za kwenye makalio?Mpango wa Israel alafu ikateka raia wake kisha wakaenda kuwakabidhi Hamas kwa mazingira gani?
Wakati mwingine shughulisha fuvu lako kidogo
Kalio full stop! Akili za madrasaUnamaanisha Hamas na Israel wapo pamoja kiasi cha Israel kipanga mpango wa kujivamia, kuua kuteka alafu ikawachukua mateka wake ikawapelekea Hamas wawafiche kisha yenyewe ikaanza kuwashambulia tena marafiki zao Hamas na kuua viongozi wao? Hivi mnafikiria kwa kutumia nini eti?🤣🤣🤣
Dunia ipi hiyo? au ya kiislam? hakuna kitu kama hicho kamwe wapeni ardhi zenu kama mnawapenda sana wachukueni mkanywe nao chai.Israel hakutaraji mambo yangekua hivi,kwanza wametolewa jasho na Hamas,pili dunia inataka palestina wapate taifa lao
Nilicoment sana kipindi fulani lakini nikawa napingwa vikali na baadhi ya wajumbe humu kwa maneno ya kejeli. Kumbe nilikuwa mbele ya wakati. Sema siwezi kuunganisha hizo comments.Wanajeshi wa IDF wafichua kwamba shambulio la Hamas la oktoba 7 lilikua na mkono wa israel, katika kile kinachodaiwa kuwa ni sababu/fursa tosha ya kuwaondoa wapalestina milele
View attachment 3427112View attachment 3427113
Kwenye hearing,hao madem walisema waliambiwa waondoke waache lindoNilicoment sana kipindi fulani lakini nikawa napingwa vikali na baadhi ya wajumbe humu kwa maneno ya kejeli. Kumbe nilikuwa mbele ya wakati. Sema siwezi kuunganisha hizo comments.
Binafsi niliushtukia mchezo baada ya kusoma habari kuhusu jinsi ulinzi mkali ulivyo katika mpaka wa Gaza na jinsi shambulizi lilivyofanyika. Halafu ikasemekana kuwa, Israel ndiyo iliunda Hamas kwa sababu ya kuipinga PLO ya Arafati lakini baadae Hamas wakaigeuka Israel. Pamoja na hayo, Israel hawezi shindwa kuweka mapandikizi ndani ya Hamas ikiwa anaweza kuweka mapandikizi ndani ya Iran.
Sasa ukifuatilia vizuri, ule mpaka wa Gaza huwa una ulinzi mkali sana saa 24. Sehemu walipopita Hamas ni peupe. Kwa mfano, kuna wasichana wanajeshi wa Israel kazi yao ni kuangalia nyendo za Wapalestina upande wa pili wakiwa juu ya vile vijumba vya ulinzi. Kwa mujibu wa vyanzo, wale wasichana wanalinda kwa zamu muda wote na hawaruhusiwi kugeuka. Ikitokea dalili yoyote ya hatari wanatoa taarifa na kuliza ving'ora.
Swali; Ilikuwaje wale Hamas wakaja na mapikipiki kwamba hawakuonwa na wale walinzi wasichana? Inaonekana ndani ya Hamas kulikuwa na mapandikizi ya Israel yaliyowaingiza chaka wenzao ili Israel apate sababu ya kuichukua Gaza tena.
Israel alikuwa na uwezo wa kurusha chopa zake na kuwamaliza Hamas wote pindi walipokuwa wanaelekea Israel kushambulia raia kwenye lile tamasha.