Wanajeshi IDF wafichua Oktoba 7 ilikuwa mpango wa ndani

Wanajeshi IDF wafichua Oktoba 7 ilikuwa mpango wa ndani

Idan Amedi lashes out at artists' ceasefire petition: You're worthless, we're sick of you​

Singer and IDF reservist Idan Amedi, wounded in Gaza, blasted artists backing a ceasefire, calling them "privileged" and "disconnected," and urging them to "fight for a day" before judging.​

Israel National News
Israel National News
Aug 3, 2025, 11:15 AM (GMT+3)

Idan AmediSwords of Iron
Idan Amedi

Singer and IDF reservist Idan Amedi, who was seriously wounded during IDF operations in Gaza, issued a scathing response to a petition signed by Israeli artists calling for a halt to the fighting.

Amedi condemned the petition's signatories, calling them "disconnected" and "spreaders of lies." In a post, he wrote:

"You are disconnected and spreading fake news. Every home in Gaza is filled with antisemitic, anti-Jewish propaganda — from images of shahids to stickers saying 'With blood and fire we will reach Jerusalem.' You are just a group of privileged people who continue to echo stupidity, ignorance, and lies."

He further noted that no other army in the world operates under such tight conditions while minimizing harm to civilians: "By the way, it's proven. Go check," he added.

Addressing the harsh realities faced by IDF soldiers in Gaza, Amedi said the petitioners have no grasp of the situation on the ground.

"On the day we see our brothers in 2025 as skeletal figures underground digging their own graves — go down into a tunnel. Fight for a day like tens of thousands of reservists, and only then sign petitions. You're worthless, we’re sick of you," he concluded.
 
Nilicoment sana kipindi fulani lakini nikawa napingwa vikali na baadhi ya wajumbe humu kwa maneno ya kejeli. Kumbe nilikuwa mbele ya wakati. Sema siwezi kuunganisha hizo comments.

Binafsi niliushtukia mchezo baada ya kusoma habari kuhusu jinsi ulinzi mkali ulivyo katika mpaka wa Gaza na jinsi shambulizi lilivyofanyika. Halafu ikasemekana kuwa, Israel ndiyo iliunda Hamas kwa sababu ya kuipinga PLO ya Arafati lakini baadae Hamas wakaigeuka Israel. Pamoja na hayo, Israel hawezi shindwa kuweka mapandikizi ndani ya Hamas ikiwa anaweza kuweka mapandikizi ndani ya Iran.

Sasa ukifuatilia vizuri, ule mpaka wa Gaza huwa una ulinzi mkali sana saa 24. Sehemu walipopita Hamas ni peupe. Kwa mfano, kuna wasichana wanajeshi wa Israel kazi yao ni kuangalia nyendo za Wapalestina upande wa pili wakiwa juu ya vile vijumba vya ulinzi. Kwa mujibu wa vyanzo, wale wasichana wanalinda kwa zamu muda wote na hawaruhusiwi kugeuka. Ikitokea dalili yoyote ya hatari wanatoa taarifa na kuliza ving'ora.

Swali; Ilikuwaje wale Hamas wakaja na mapikipiki kwamba hawakuonwa na wale walinzi wasichana? Inaonekana ndani ya Hamas kulikuwa na mapandikizi ya Israel yaliyowaingiza chaka wenzao ili Israel apate sababu ya kuichukua Gaza tena.

Israel alikuwa na uwezo wa kurusha chopa zake na kuwamaliza Hamas wote pindi walipokuwa wanaelekea Israel kushambulia raia kwenye lile tamasha.
R.I.P JOSHUA MOLLEL ! Ni mpumbavu tu anayeweza kuamini upumbavu uliouandika. Kwa hiyo kwenye huo mpango Hezbollah na Houthi walihusishwa au la? Wanajeshi zaidi ya mia 5 wa Idf wamekufa gaza....halafu wew unasema shambulio la October 7 lilikuwa staged ni waisraeli wenyewe
 
Tatizo kubwa linalokusumbua huna uzoefu wowote wa mambo ya kijeshi pili unasumbuka na maneno ya vijiweni sana ambayo hayana ukweli wowote ule.

Kwenye vita haijalishi wewe Una silaha nyingi kiasi, haijalishi wewe ni mtaalamu kiasi kila kilichofanyika ni “Timing” tu basi mambo mengine mtasumbuka kutafuta mchawi bure!!

Oct 07,2023 ilikuwa sikukuu ya Wayahudi ambayo inaheshimika sana hivyo baada ya kuona kuwa hakuna tishio lolote askari wengi walipewa ruksa kwenda kusherehekea na wakabaki walinzi tu wa mipakani ambao kwa mjibu wa taarifa wasingeweza kumudu magaidi 5,000 waliovamia sehemu mbalimbali za mpaka wa Gaza!!!

Jambo Kingine magaidi hao walianza kurusha makombola kuelekea miji mbalimbali ya Israel hivyo watu wengi walikimbilia kwenye Basement kujihifadhi hapohapo magaidi hao walitumia mpenyo huo kuingia Israel na kufanya unyama wa kutisha.

Narudia tena kusema Magaidi wa Hamas walikuwa na mpango wa kuvamia Israel muda mrefu na ndiyo maana walitengeneza miundombinu ya kigaidi ya kutosha huko Gaza waliweza kutengeneza Mahandaki kwenye Makanisa,Misikiti,Hospital na majengo mengine ya umma ambako ndiko walikuwa wanawashambulia askari wa Israel.

Ni uongo kusema kuwa Israel ilikuwa imepanga na Hamas tukio la Oct 07,2023 na kama wewe unaamini hivi Je wale vibaka viongozi wa Hamas akina Ismail Hanniyeh na Yahya Sinwar nao walikuwa wanaujua mpango huo?
 
R.I.P JOSHUA MOLLEL ! Ni mpumbavu tu anayeweza kuamini upumbavu uliouandika. Kwa hiyo kwenye huo mpango Hezbollah na Houthi walihusishwa au la? Wanajeshi zaidi ya mia 5 wa Idf wamekufa gaza....halafu wew unasema shambulio la October 7 lilikuwa staged ni waisraeli wenyewe
Hawa watu huko Madrasa wanadanganyana sana!!
 
Kwa haraka haraka unaweza kuiamini hi HABARI lakini ukitafakari na kuunganisha dots kadhaa, unapata ukakasi wa kuamini hi habari. We all knows uhusiano uliokuwepo na uliopo kati ya Iran, Hamas, Hezbollah, Syria ya Al Asady, Houthis nk; wote walionesha kufurahishwa na tukio au shambulio lile la October 07 na in fact is like they knew kwamba Israel angeshambulia and they were prepared for it, tuliona jinsi Israel walivokua wakishambuliwa kutokea Gaza, Yemen, Iran na Lebanon....., mazingira hayo ndio unambie eti lile shambulio lilipangwa na IDF/Mossaid? I doubt
 
Anamaanisha pia kuwa Yahya Sinwar na Ismail Haniya waliridhia kuwa baada ya tukio hilo walilopanga na rafiki zao Israel kufanikiwa wao wauawe
Unamaanisha Hamas na Israel wapo pamoja kiasi cha Israel kipanga mpango wa kujivamia, kuua kuteka alafu ikawachukua mateka wake ikawapelekea Hamas wawafiche kisha yenyewe ikaanza kuwashambulia tena marafiki zao Hamas na kuua viongozi wao? Hivi mnafikiria kwa kutumia nini eti?🤣🤣🤣
 
Inaonekana bado mtoto Sana wewe! Ushawahi fuatilia ishu ya Japan kubomb pearl harbour? Unaambiwa America alikuwa na habari yote ila aliiacha itokee ili apate sababu ya kuingia vitani
 
Back
Top Bottom