Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,090
Nipo hospitali nimehudumiwa na kupatiwa kitanda nimetundikiwa maji baada ya sindano mbili. Nilikua nmevaa sandals usiku huu natoka kupaki gari jirani tu na napokaa. Naendelea vyema
Pole sana mkuu,tunashauriwa kutokuwa na vichaka majumbani kwetu..Hata kama kuna maua jitahidi kupluni mara kwa mara,Sasa kama hujamuona maana yake ni kwamba anaishi maeneo ya hap!Pole sana