Wanajamvi nimeng'atwa na nyoka

Wanajamvi nimeng'atwa na nyoka

Nipo hospitali nimehudumiwa na kupatiwa kitanda nimetundikiwa maji baada ya sindano mbili. Nilikua nmevaa sandals usiku huu natoka kupaki gari jirani tu na napokaa. Naendelea vyema
Mkuu Patrickn pole..ni vizuri upate kipimo zaidi hasa ini kama hukumtambua adui yako
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Patrickn pole..ni vizuri upate kipimo zaidi hasa ini kama hukumtambua adui yako
Mkuu nyoka cjamuona na cjajua ni aina gani ila hapa hospital wamegundua ni nyoka,ntafanya hivyo mkuu asante kwa ushauri
 
Last edited by a moderator:

aiseeee!!pole sana ila mbona
hujibu,au hali imebadilika ghafla?
watupa mashaka ujue!!

Naomba unijuze,uling'atwa kwenye kisigino?
Manake kuna mdau wangu mmoja alinijulisha kuwa huyo kiumbe(naogopa hata kuandika jina lake hapa) huwa anang'ata kwny kisigino tu kama ilivyoandikwa kwny kitabu cha Mwanzo.
BTW😛ole sana

Mkuu ni kwenye dole gumba la Kulia kwa pembeni,ila mguu wote sahv umevimba mbaya
 
Pole sana but mbona hujibu? Mh unatupa wasiwasi hebu njoo hapa ili kidogo utupe moyo.
Tatizo ulilopata linaweza kumpata mtu yoyote kwani wengi tunapenda kuvaa sandals tukiwa na gari au jioni au kama hatuendi mbali hivyo huna cha kujilaumu ni bahati mbaya tu. Ugua pole but njoo pia mara moja moja utupe updates za afya yako.

nyoka wakubwa hawang'ati unyayo wala kisigino ,wanapiga kuanzia magotini kwenda juu,pole mkuu
 
Mkuu ni kwenye dole gumba la Kulia kwa pembeni,ila mguu wote sahv umevimba mbaya
Pole sana ukirudi nyumbani baada ya kupona uhakikishe unamsaka huyo nyoka na kumuua, atakuwa anakaa maeneo hayo bila kufanya hivyo utapata side effect baadaye hiyo ni imani ya kwetu labda ndo maana wamepungua sana. Pia hiyo kazi yaweza kufanywa na jamaa yako
 
duh pole sana mkuu! nimetishika maana pande nazoishi nimeshaua sana hayo maviumbe!
 
Pole sana but mbona hujibu? Mh unatupa wasiwasi hebu njoo hapa ili kidogo utupe moyo.
Tatizo ulilopata linaweza kumpata mtu yoyote kwani wengi tunapenda kuvaa sandals tukiwa na gari au jioni au kama hatuendi mbali hivyo huna cha kujilaumu ni bahati mbaya tu. Ugua pole but njoo pia mara moja moja utupe updates za afya yako.

Asante Mkuu nakula drips tu sahvi..baada ya kung'atwa nilikimbia kuchkua gari nikawahi home kwa 1st aid baada ya hapo mguu wote ganzi na maumivu ndio nikakimbizwa hospital,asante sana wanajamvi kwa kujali
 
aiseeee!!pole sana ila mbona
hujibu,au hali imebadilika ghafla?
watupa mashaka ujue!!
Naendelea vyema na Maumiv siskii tena ila mguu umekufa ganzi na mwili wote unaumauma kiasi nadhan ni sindano nilizodungwa hizi
 
Nipo hospitali nimehudumiwa na kupatiwa kitanda nimetundikiwa maji baada ya sindano mbili. Nilikua nmevaa sandals usiku huu natoka kupaki gari jirani tu na napokaa. Naendelea vyema
Siku nyingine unamtafuta halafu unamkamata na kumbanika kwenye jiko la mkaa, ni kama samaki tu
 
Nipo hospitali nimehudumiwa na kupatiwa kitanda nimetundikiwa maji baada ya sindano mbili. Nilikua nmevaa sandals usiku huu natoka kupaki gari jirani tu na napokaa. Naendelea vyema
Duh...! Kijana pole sana, kumbe mitaa ile kuna nyoka?
 
Mara nyingi nyoka wanaopatikana karibia na makazi ya watu wanakuwa hawana sumu kali sana lakini huwa na madhara usipowahi matibabu.
Ni jamii ya Lamprophis.
pd1014417.jpg
 
Pole sana ukirudi nyumbani baada ya kupona uhakikishe unamsaka huyo nyoka na kumuua, atakuwa anakaa maeneo hayo bila kufanya hivyo utapata side effect baadaye hiyo ni imani ya kwetu labda ndo maana wamepungua sana. Pia hiyo kazi yaweza kufanywa na jamaa yako
Ni kweli imani inadhuru..
kuna hadithi ya nyoka na jogoo kutambiana sumu kali.wakapanga kumvizia mtu wamgonge.jogoo akasema aanze yeye lakini kwa sharti akishamdonoa ajifiche ja nyoka ndo atokeze kichwa...wakakubaliana.
alipofika jamaa jogoo akamdonoa na kujificha kisha nyoka kwa haraka akachungulia kichwa
Amini kwa imani ya kugongwa na nyoka jamaa akadondoka akafa na ubishi ukaisha kwa jogoo kushinda
 
Back
Top Bottom