Wanajamvi nimeng'atwa na nyoka

Wanajamvi nimeng'atwa na nyoka

tupe update unaendeleaje kijana
Naendelea vyema mkuu japo mguu ndio kama umevimba zaidi, nimeshinda hm tu na kujaribu kuufanyisha mazoezi,maumivu bado nayaskia hasa nikitembea
 
huyo ni mtoto, mother wake atakuwa arround, inatakiwa ufanye fumigation ndani na kwenye mazingira yanayokuzunguka, hufugi kuku na vitu kama hivyo. take care mzee nyoka original hupigi hatua tatu bila kupoteza fahamu. shukuru BWANA Mungu kwani mauti huwa inakuja muda usio dhania kabisa, kule Tabora wanauza mawe fulani ya asili wanayaokota huko milimani. unabandika ilnanata kama sumaku mpaka sumu iishe. vitu kama hivi si dhambi ni pre-emptive measure wakati unawatafuta madaktari, fikiria uko kimbiji halafu ngoma inakufanyizia (kilometa kama 80 hadi kufika dar) siku moja nilitaka kufia huko ila wasamaria wakaniwahisha. wale jamaa walioniokota walikuwa wa ajabu sana. nilipata ajari nikapoteza fahamu pikipiki yangu hoi. jamaa walimnipiga search wakatumia hela zangu kukodi gari mpaka kigamboni. nikapata matibabu ya haraka na kuwahishwa police kuandikiwa PF3 kipindi kile zilikuwa bado zinatakiwa kabla ya tiba. baada ya hapo wakanipeleka agakhan kwa hela zangu. walikutana na ambulance wakawaonyesha kadi yangu ya AAR jamaa hawakuelewa mimi bado sina fahamu na kweli kwenye kadi yangu ya afya niko entitled kupata hadi huduma za ambulance ila jamaa walibuni tu ingawa walikataliwa, basi kwa gari ya kukodi wakanipeleka agakhan ndo niliko zindukia. nashukuru BWANA Mungu pochi yangu ilikuwa vizuri na hawa jamaa ni wa ajabu sana mi sikutegemea kwenye dunia ya leo kuna watu wa namna hiyo. nilipopata fahamu jamaa wakaniletea breakdown ya hela zangu walizotumia hao wakasepa. walikuwa wawili

jamaa waliniambia niliomba sana maji ya kunywa wakaninyima kumbe ningepewa tu inawezekana ninge -rest in peace
 
Nyoka wa sasa kiboko,wameanza kung'ata badala ya kuuma?
 
Pole sana kaka kuna jamaa angu aling'atwa na nyoka na hakumtambua at d end of the day alifariki xo wekea umakini hili swala bro
 
huyo ni mtoto, mother wake atakuwa arround, inatakiwa ufanye fumigation ndani na kwenye mazingira yanayokuzunguka, hufugi kuku na vitu kama hivyo. take care mzee nyoka original hupigi hatua tatu bila kupoteza fahamu. shukuru BWANA Mungu kwani mauti huwa inakuja muda usio dhania kabisa, kule Tabora wanauza mawe fulani ya asili wanayaokota huko milimani. unabandika ilnanata kama sumaku mpaka sumu iishe. vitu kama hivi si dhambi ni pre-emptive measure wakati unawatafuta madaktari, fikiria uko kimbiji halafu ngoma inakufanyizia (kilometa kama 80 hadi kufika dar) siku moja nilitaka kufia huko ila wasamalia wakaniwahisha. wale jamaa walioniokota walikuwa wa ajabu sana. nilipata ajari nikapoteza fahamu pikipiki yangu hoi. jamaa walimnipiga search wakatumia hela zangu kukodi gari mpaka kigamboni. nikapata matibabu ya haraka na kuwahishwa police kuandikiwa PF3 kipindi kile zilikuwa bado zinatakiwa kabla ya tiba. baada ya hapo wakanipeleka agakani kwa hela zangu. walikutana na ambulance wakawaonyesha kadi yangu ya AAR jamaa hawakuelewa mimi nado sina fahamu na kweli kwenye kadi yangu ya afya niko entitled kupata hadi huduma za ambulance ila jamaa walibuni tu ingawa walikataliwa, basi kwa gari ya kukodi wakanipeleka agakani ndo niliko zindukia. nashukuru BWANA Mungu pochi yangu ilikuwa vizuri na hawa jamaa ni wa ajabu sana mi sikutegemea kwenye dunia ya leo kuna watu wa namna hiyo. nilipopata fahamu jamaa wakaniletea breakdown ya hela zangu walizotumia hao wakasepa. walikuwa wawili

jamaa waliniambia niliomba sana maji ya kunywa wakaninyima kumbe ningepewa tu inawezekana ninge -rest in peace
Duh,hii yako nayo kali mkuu...kweli hao jamaa ni wasamaria wema wa ukweli, big up to them...ungeweza kuwatafuta baadae wawe ndugu kabisa
 
Me nling'atwa mwaka jana agost mweeh cji kusahau mguu ulivimba ukawa mweusiii hata nlivopona bado mguu ulikua una sura mbaya pamoja na kubanduka ngoz yaani nlisitisha kuvaa sandals mana m2 akiuona lazima ahoji sema nashukuru mungu umerud katika hali yake ya kawaida sa iv
 
Dah pole mkuu, mi niliwahi pia kuumwa na nyoka lakini niliwahiwa kupelekwa hospitali na kupata tiba, japo nilipoteza fahamu kwa masaa, nilipokuja kuamka nikawa na kama hangover flan kwa muda kama wa wiki mbili, badae nikakaa sawa, usiogope utapona ndugu yangu mungu anaweza sana
 
Me nling'atwa mwaka jana agost mweeh cji kusahau mguu ulivimba ukawa mweusiii hata nlivopona bado mguu ulikua una sura mbaya pamoja na kubanduka ngoz yaani nlisitisha kuvaa sandals mana m2 akiuona lazima ahoji sema nashukuru mungu umerud katika hali yake ya kawaida sa iv
Yaani namimi hapa mguu umevimba vibaya mno hadi naogopa...bora nimefarijika kwamba nawe ulivimba kumbe ni kawaida
 
Duh,hii yako nayo kali mkuu...kweli hao jamaa ni wasamaria wema wa ukweli, big up to them...ungeweza kuwatafuta baadae wawe ndugu kabisa

tokea nipate lile balaa sijawahi kurudi kimbiji kwani mpaka uwe na usafiri au usubiri sana public transport na mimi nokea siku ile sijawahi kuendesha pikipiki niliigawa ile baja bure. Ila nimepanga mpaka nije niwalipe fadhila kwakweli
 
Ni kawaida mwaya mrad ushachoma zile sindano haina shida pole sana maana nakumbuka mguu nlikua nikiusogeza tu kosa unauma balaa Mungu akusaidie upone haraka
Yaani namimi hapa mguu umevimba vibaya mno hadi naogopa...bora nimefarijika kwamba nawe ulivimba kumbe ni kawaida
 
Back
Top Bottom