Wanajamvi nimeng'atwa na nyoka

Wanajamvi nimeng'atwa na nyoka

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,841
Nipo hospitali nimehudumiwa na kupatiwa kitanda nimetundikiwa maji baada ya sindano mbili. Nilikua nmevaa sandals usiku huu natoka kupaki gari jirani tu na napokaa. Naendelea vyema
 
Pole sana but mbona hujibu? Mh unatupa wasiwasi hebu njoo hapa ili kidogo utupe moyo.
Tatizo ulilopata linaweza kumpata mtu yoyote kwani wengi tunapenda kuvaa sandals tukiwa na gari au jioni au kama hatuendi mbali hivyo huna cha kujilaumu ni bahati mbaya tu. Ugua pole but njoo pia mara moja moja utupe updates za afya yako.
 
Nipo hospitali nimehudumiwa na kupatiwa kitanda nimetundikiwa maji baada ya sindano mbili. Nilikua nmevaa sandals usiku huu natoka kupaki gari jirani tu na napokaa. Naendelea vyema
Pole mkuu, Mungu akupe ahueni.
Hakuna wadudu nisiopenda kama , woooi!! Nyoka.
Hata nikiwafikiria napata shida!
 
Si kila nyoka ana sumu!
Nyoka wenye sumu kwa kawaida wanakaa mbali na makazi ya binadam
 
Naomba unijuze,uling'atwa kwenye kisigino?
Manake kuna mdau wangu mmoja alinijulisha kuwa huyo kiumbe(naogopa hata kuandika jina lake hapa) huwa anang'ata kwny kisigino tu kama ilivyoandikwa kwny kitabu cha Mwanzo.
BTW😛ole sana
 
pole sana ndugu
umeweza kumtambua ni nyoka gani?
ulimuona? itasaidia kujua aina ya sumu
I hope sio kifutu hawa hukaa mbali na watu, kama ni cobra au blackmamba ni hatari
uko hospital gani? wana ant venom? waulize hivo wasije kukuwekea tu maji hayaondoi sumu bila anti venom
 
Back
Top Bottom