Tupunguze mashaka wote tukidaiwa vyeti nchi itatingishika!Unamuombea msamaha kakosa nn eti MTU mwenyewe unaemuombea msamaha Hata hajutii !!!!!!!!!!!!! Kwanza tunamashaka naww tuwekee vyeti vyako hapa AF ndo uombe kumuombea msamaha
Uhakiki wa vyeti feki ulisitishwa hivyo hata makonda umemkosa kosa vinginnevyo angeshtakiwa. Kwa kuwa uhakiki umesitishwa, hakuna haja ya kumfatafata makonda la sivyo na watumishi wengine watolewe kwenye nafasi zao. Kifupi, mako atoke na wengiHiv uhakiki wa vyeti vya wafanyakazi wa serikali bado unaendelea?.Nilikuwa nauliza tu
Kuna wanaofukuzwa kazini bado kwa vyeti feki🙁😉
Sawa mama bashite tumekusikiaNdugu waungwana,
Naomba kuchukua nafasi hii kumuombea msamaha kijana Makonda kwa makosa yake alioyafanya, najua wengi tulichukia na kupaza sauti zetu.
Natumaini kwa utamaduni wetu mtu akikosea na akiwa mzito kuomba radhi si kosa mtu mwingine kumuombea radhi kosa lake, natumaini kama mzee Lowassa ame msamehe mzee JK au Mbowe kumsamehe Zitto amma Slaa kumsamehe Gwajima kwanini nasi tusimsamehe Makonda.
Najua amejuta sana kwa hiki kibano cha miezi miwili alichopata nafikiri kinamtosha tumuache afanye kazi na wana habari andikeni habari zake bila kupangiwa sote ni wakosaji hakuna mkamilifu isipokuwa Mwenyezi Mungu pekee.
Muda ukifika yeye mwenyewe atakuja kuwaangukia.
Tuondoeni kinyongo tumsamehe mara 70
JF ni kijana wetu
labda nikwambie nimekusamehe bure!Sawa mama bashite tumekusikia
Sisi tumemsamehe. Kweli ulikuwa ubinadamu. Sasa tuende kwenye sheria za nchi, zenyewe zinazungumziaje msamaha wa makosa ya jinai?Ndugu waungwana,
Naomba kuchukua nafasi hii kumuombea msamaha kijana Makonda kwa makosa yake alioyafanya, najua wengi tulichukia na kupaza sauti zetu.
Natumaini kwa utamaduni wetu mtu akikosea na akiwa mzito kuomba radhi si kosa mtu mwingine kumuombea radhi kosa lake, natumaini kama mzee Lowassa ame msamehe mzee JK au Mbowe kumsamehe Zitto amma Slaa kumsamehe Gwajima kwanini nasi tusimsamehe Makonda.
Najua amejuta sana kwa hiki kibano cha miezi miwili alichopata nafikiri kinamtosha tumuache afanye kazi na wana habari andikeni habari zake bila kupangiwa sote ni wakosaji hakuna mkamilifu isipokuwa Mwenyezi Mungu pekee.
Muda ukifika yeye mwenyewe atakuja kuwaangukia.
Tuondoeni kinyongo tumsamehe mara 70
JF ni kijana wetu
Umejuaje kuwa amejuta?Ndugu waungwana,