kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,447
- Thread starter
- #81
Mwajiri wake anamjua kwa jina la makonda!muombee bashite, makonda hayupo
Mwajiri wake anamjua kwa jina la makonda!muombee bashite, makonda hayupo
Ni kosa kumuombea msamaha!Wee jamaa unazingua.Yaani unamuombea msamaha mwanaume mwenzio mwenye uwezo wa kujitetea,ambaye kwa kiburi na kulewa madaraka ameamua kukaa kimya!
Nchi gani inataka waongoKumsamehe mchawi ni kulea ugonjwa tu
Huyo muhun makonda apokonywe uraia kwani ameidanganya jamuhuri
Mimi kinyongo changu huwa hakiishi....TUNATAKA VYETI
Hiv uhakiki wa vyeti vya wafanyakazi wa serikali bado unaendelea?.Nilikuwa nauliza tu
Kuna wanaofukuzwa kazini bado kwa vyeti feki🙁😉
Leta vyeti kwanza halafu msamahaNdugu waungwana,
Naomba kuchukua nafasi hii kumuombea msamaha kijana Makonda kwa makosa yake alioyafanya, najua wengi tulichukia na kupaza sauti zetu.
Natumaini kwa utamaduni wetu mtu akikosea na akiwa mzito kuomba radhi si kosa mtu mwingine kumuombea radhi kosa lake, natumaini kama mzee Lowassa ame msamehe mzee JK au Mbowe kumsamehe Zitto amma Slaa kumsamehe Gwajima kwanini nasi tusimsamehe Makonda.
Najua amejuta sana kwa hiki kibano cha miezi miwili alichopata nafikiri kinamtosha tumuache afanye kazi na wana habari andikeni habari zake bila kupangiwa sote ni wakosaji hakuna mkamilifu isipokuwa Mwenyezi Mungu pekee.
Muda ukifika yeye mwenyewe atakuja kuwaangukia.
Tuondoeni kinyongo tumsamehe mara 70
JF ni kijana wetu