Wanahabari, watanzania namuombea msamaha Makonda

Yeye hana mdomo ? Aonyeshe vyeti awafutie makosa aliowasingizia madawa ya kulevya
 
Hakuna haja ya kumsamehe bila mwenyewe kuomba msamaha,anajiona shujaa na ananguvu,vyombo alivyovidharau ndiyo vilimfikisha alipokuwa mpaka akapata na ujasiri wa kujiita MUNGU.
"MIMI NIKISIMAMA MAHALI,MUNGU AMESIMAMA"(tpuuu).
Wanahabari hawataheshimika wakikubali kuombewa na mtu mwinhine yeyeote"KAMA WAO WANADHARAULIANA,NI HUKO HUKO"namkubuka ndugai katika sakata la Jairo.
 
Kigeugeu na makengeza ya kaka yake au mume wake ndio vyamsumbua. Akikua ataacha
 
Ndugu waungwana,

Naomba kuchukua nafasi hii kumuombea msamaha kijana Makonda kwa makosa yake alioyafanya, najua wengi tulichukia na kupaza sauti zetu.

Natumaini kwa utamaduni wetu mtu akikosea na akiwa mzito kuomba radhi si kosa mtu mwingine kumuombea radhi kosa lake, natumaini kama mzee Lowassa ame msamehe mzee JK au Mbowe kumsamehe Zitto amma Slaa kumsamehe Gwajima kwanini nasi tusimsamehe Makonda.

Najua amejuta sana kwa hiki kibano cha miezi miwili alichopata nafikiri kinamtosha tumuache afanye kazi na wana habari andikeni habari zake bila kupangiwa sote ni wakosaji hakuna mkamilifu isipokuwa Mwenyezi Mungu pekee.

Muda ukifika yeye mwenyewe atakuja kuwaangukia.

Tuondoeni kinyongo tumsamehe mara 70

JF ni kijana wetu
Hajamuomba msamaha mzee Jaji Sinde Warioba.
 
Sisi huwa hatupangiwi, tena ukimuombea msamaha ndio umeharibu kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom