Tupunguze hasira kijana ameelekea kukaa sawa!
kubwa jinga jr una uhakika!ukitaka tumsamehe mwambie arudi kinyumenyume kama navyo mrudia mjanja wake magufuli
Tatizo sio msamaha Daud alete vyeti halali vya shule.Ndugu waungwana,
Naomba kuchukua nafasi hii kumuombea msamaha kijana Makonda kwa makosa yake alioyafanya, najua wengi tulichukia na kupaza sauti zetu.
Natumaini kwa utamaduni wetu mtu akikosea na akiwa mzito kuomba radhi si kosa mtu mwingine kumuombea radhi kosa lake, natumaini kama mzee Lowassa ame msamehe mzee JK au Mbowe kumsamehe Zitto amma Slaa kumsamehe Gwajima kwanini nasi tusimsamehe Makonda.
Najua amejuta sana kwa hiki kibano cha miezi miwili alichopata nafikiri kinamtosha tumuache afanye kazi na wana habari andikeni habari zake bila kupangiwa sote ni wakosaji hakuna mkamilifu isipokuwa Mwenyezi Mungu pekee.
Muda ukifika yeye mwenyewe atakuja kuwaangukia.
Tuondoeni kinyongo tumsamehe mara 70
JF ni kijana wetu

vyote rahisi ila tumsamehe kwanza!Hivi kuweka cheti na kuonba msamaha kipi rahisi?
mtihani huu!#VyetiKwanza#
Ingekuwa ni vizuri huo msamaha ungeambatana vyeti vyake kidogo tungekufikiriaNdugu waungwana,
Naomba kuchukua nafasi hii kumuombea msamaha kijana Makonda kwa makosa yake alioyafanya, najua wengi tulichukia na kupaza sauti zetu.
Natumaini kwa utamaduni wetu mtu akikosea na akiwa mzito kuomba radhi si kosa mtu mwingine kumuombea radhi kosa lake, natumaini kama mzee Lowassa ame msamehe mzee JK au Mbowe kumsamehe Zitto amma Slaa kumsamehe Gwajima kwanini nasi tusimsamehe Makonda.
Najua amejuta sana kwa hiki kibano cha miezi miwili alichopata nafikiri kinamtosha tumuache afanye kazi na wana habari andikeni habari zake bila kupangiwa sote ni wakosaji hakuna mkamilifu isipokuwa Mwenyezi Mungu pekee.
Muda ukifika yeye mwenyewe atakuja kuwaangukia.
Tuondoeni kinyongo tumsamehe mara 70
JF ni kijana wetu
Pambio La Vyeti Bado Lipo Duuh
Mtanzania mwenzieKwan we ndugu yake?