Wanafuraaaaha wenyewe!

Hussein Njovu

Senior Member
Sep 25, 2006
186
74
n8di9LK7xBZ3xflO3IQ+TcVMnA7NityVEM7v4fwYbaGskMyDwAAAAAElFTkSuQmCC
 
ila kweli wanachekaaaje?yani wamefurahi kweli tabasamu lao ni zuri
af nimependa kweli meno yao yani hebu chek hyo wa upande huu alivyo na mwanya wa ukweli
huyu wa upande ule ana dimpose jamani!yani kwa kweli wamefurahi sana!mno!sanaaaa!
ahahahahhahhah sa nifanyeje imebidi tu nitengeneze imagery!
 
duh washkaj noma yan walivyofurah mie hoi,ila wanafurahia nini wajamen??
 
hao zebra kwa jinsi wanavyocheka ni dume na jike na cheko lao linamaanisha wamepigana miti dakika chache zilizopita:fish:
 
Back
Top Bottom