Mnyunguli
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,772
- 4,458
- Thread starter
- #61
Watu wanachukulia vitu simple sana.Kuna shule moja private walikuwa na huu utaratibu, mtoto mmoja mama yake akawa anampa chakula anamwekea majitu gani halafu anamwambia akawape wenzake ila yeye asile, ikawa watoto wote wanakula kile chakula baada ya shku kadhaa wanaweweka na kuanguka, uchunguzi ulivofanyika yule mtoto akagundulika, wakamfukuza na wakaachana na ule utaratibu. hii ni africa mkuu.