fadhili muhala
Senior Member
- Aug 13, 2012
- 150
- 331
Kwa watoto hawa ambao wanajirekodi wakisem, ficheni mabwana zenu, ndo tunakuja mtaani. Bila fimbo hata kidato cha pili hawatoboi. Fimbo zipigwe ila kw utaratbu. Afu kimcngi ss hv Walimu hawachap kabisa. Nikikumbuka niliitwa staff nikachapwa na kila ticha. Siku hz walim wasom, wanachap pale inapobid sana