Wanafunzi wasichapwe, serikali mnafikiria nini

Wanafunzi wasichapwe, serikali mnafikiria nini

kama umekaa mazingira ya shule shule hizi
mwalimu and soo on bila fimbo haswa hapa dar
wazazi angalieni watoto wenu

maana hii sheria ndo imepitishwa ila kuacha kuchapa walimu waliacha muda sana
hali ya watoto ni mbaya sana dar
Siyo Dar tu , hata maeneo mengine mengi watu walishaacha hizo habari
 
Wachapwe kwanini mkuu?... Wewe ulichapwa sana mbona saiv unaendeasha boda boda...jasho linakitoka mpaka kwa what your back kwa chini... Mkuu ununda wako umekusaidia nini...tafuta hela piga mwanao nyumbani...shwain

Tutawachapa mpaka waelewe wapo kwenye dunia wanatakiwa kujitambua
 
Athari ya utumwa bado inatutafuna, jitu zima na midevu yako unalilia watoto wachapwe kisa wewe ulichapwa!!! hao wazungu na wachina ushaona wanatumia viboko mashuleni mbona wanafanya makubwa duniani hamjiuliziiii, Waafrika tunashida sana walai
 
Mbona biblia imesema tusiwanyime watoto haki ya viboko
 
Methali 23:13–14: "Usimnyime mtoto mapigo ya adhabu; kwa kuwa ukimpiga kwa fimbo hatakufa. Utampiga kwa fimbo, na kumwokoa nafsi yake na Kuzimu
 
Mimi niliwahi kuacha shule kisa kuchapwa. Nilikua natembea kilomita zaidi ya 7 kufika shule huku nimebeba galoni la maji, kuni na mbolea.

Ila kuanzia form one nikaenda seminary, hakukuwa na viboko ni adhabu za manual work. Advance seminary pia hakukua viboko wala manual work ni handbook.

Ukifanya kosa unaanikiwa, mwisho wa semester kuna mchujo unaoangalia discipline na academic performance.

Hata uwe na grade A kama ulizingua kwenye discipline unaondolewa.
 
Semenary gani ulisoma mkuu?
 
Hivi serikali mnafikiria nini au ..
Kwahiyo sisi tuliochapwa mnatulipa fidia?
Wakati ule tulichapwa kihalali, sasa waalimu wengine hamnazo, wanachapa mtoto kisa Hana 200 ya tuisheni ya asubuhi kwenye darasa hilohilo wanalosomea!
Kitendo kile kiliniudhi Sana Hadi nikamtoa mtoto shule ike kwa hasira
 
kama umekaa mazingira ya shule shule hizi
mwalimu and soo on bila fimbo haswa hapa dar
wazazi angalieni watoto wenu

maana hii sheria ndo imepitishwa ila kuacha kuchapa walimu waliacha muda sana
hali ya watoto ni mbaya sana dar
Siyo Dar tu , hata maeneo mengine mengi watu walishaacha hizo haba
Kuna mataifa hawatumii fimbo ila wameweza kumantain discplin ya watoto mashuleni. Nafikiri hata hapa Tanzania zipo shule ambazo hazitumii fimbo na wamefanikiwa sana kulinda nidhamu ya wanafunzi wao. Je hawa waliwezaje?
Umetoa ushauri vizuri sana bila shaka, ni sawa mataifa mengi yaliyoendelea yalishafanikiwa kufuta adhabu zinazotweza utu hususani "corporal punishment" kwanza hili jina tu "corpus" daah, basi tu.

Tukumbuke haukuwa mchakato wa ghafla, ila ni wa taratibu na kwa muda mrefu. Kwa sisi tunapaswa kujifunza hakika na kuangalia mazingira yetu Ili kufanya " the so called glocalized punishment" siyo kubebabeba kila kitu kama kilivyo kwa sababu tu wenzetu wamefanikiwa.

Sutwezi jitihada kadhaa zilizowailizowahi kuchukuliwa na Serikali mfano haki za mtoto, Sheria ya adhabu ya viboko ya mwaka 2002 kama sijasahau, makundi Rika, Shule salama , PTP programmes, Unasihi, n.k . Ila ninatamani sana adhabu hii hizi zinazotweza ziondolewe kwa kusadifu mazingira yetu ya Kiafrika hata kama tukidesa .

Kabla ya kutamani kuwa kama wengine tutofautishe "adoption " na dhidi ya "adaption" ya mtindo wao kwa kuhakikisha tutakachikifanya kitasaufu upekee wetu "our uniqueness" katika kutatua changamoto zetu kama Jamii huru katika kipande cha Dunia
 
  • Thanks
Reactions: Nus
Back
Top Bottom