Hata zamani mambo hayo yalikuwapo ila habari hazikuwa na nafasi ya kusambaa haraka kama siku hizi. Sasa hivi technology imekua kiasi kwamba dunia ni kama kakijiji. Kitu kinatokea kijiji fulani unapata maelezo sekunde iyohiyo. Wachuna ngozi walikuwapo, wachawi walikuwapo, maalbino walikuwa wanapotea hovyo lakini habari zilikuwa naturally contained. Mashoga walikuwapo lakini ilikuwa sio rahisi kujua.
Leo kuna TV na video watoto wanakutana na vitu vipya tofauti na zamani ambapo watu walingojea kujifunza mambo hayo jandoni tu. Sasa hata jando ni formert tu, kwani wanaofunzwa wengi wanayajua mambo kuliko wanaowafundisha.
Wanyama hawana hulka ya kumega kwa ajili ya starehe. Wao hujamiiana kwa kusudi la kuzaana na kuongezeka. Binadamu amepewa ufahamu kuliko wanyama, kujamiiana analichukulia kama starehe na dawa ya kutuliza tension. Binadamu pia huwafunza wanyama wafanye yeye atakavyo, ndio maana wajerumani miaka ya 1980 mwishoni walimfanya mnyalukolo mmoja Kinondoni amegwe na mbwa wa mjerumani kule Mikocheni ili ajipatie dola 300, mbwa asingefikiriwa kumwingilia binadamu kwa hali ya kawaida, wala asingeshawishiwa kumtamani binadamu. Kadhalika binadamu mwanamke asingeshawishika kumvulia nguo mbwa, ingawa wanaume wengi wamesikika kumega mbuzi, kondoo, ng'ombe, lakini sio kinyume chake. Mara nyingi ushirikina husingiziwa kama sababu, lakini mwanaume anapozidiwa na asipate pa kumaliza hasira yake wengi huangukia mtego wa kuvamia mifugo kwa kuwa haikatai.