Ni habari za huzuni na majonzi Kumbe sio kila aliye jela ametenda makosa Kumbe mahakama zinaweza muhukumu hata asiye na hatia Binti akiri kutoa ushahidi wa uongo mahakamani kuwa amebakwa na aliyemsingizia kufungwa jela miaka 60 Taarifa kamili kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi =====...