- Thread starter
- #41
jiulizeWanafunzi wa university za wapi?
jiulizeWanafunzi wa university za wapi?
😂😂😂Dada ni kama wamekukwaza sana ragiki zako wao wamebaki wewe umelazimika uende kwenu Mbwinde. Unamchagulia mtu kwao? Nawe tafuta bwana ubaki dar mi ningekuwa Dar ningekuoa kwa kipindi hiki kifupi nawe ubaki kama wenzio.
😂😂😂Ni km wasukuma na Mwanza, kila msukuma ukimwuliza atakuambia ametoka Mwanza, wasukuma ni washamba jamani! Unakuta ametokea Mwanhuzi, Bariadi, Lagangabilili, Mhunze, Kolandoto, Maswa, Lalago, Sengerema, Ushirombo lakini atakuambia ametoka Mwanza, Bwiru hapana!
Wewe ni limbukeni ndiyo maana huwezi kuelewa umuhimu wa uhuru wa mtu binafsi kuamua kwao ni wapi.kwani ni uongo wewe umesomea wapi university sio kila kitu ni kuingilia mtu mambo mengine yako wazi.
Wana beti hao. Kutwa kuchat mikeka tuuuNiliuliza zaidi ya wanafunzi 10, ukifunga utabaki au utaenda home anasema naenda home.
Ukimuuliza home ni wapi anasema Dar wakati ni mkurya wa kyabakari sijui wapi.
Watano waliobaki wanaenda kwa dada zao
Ndio maana wengi utuandikia pumba humu JF mfano mzuri ni yule Gunner11
PUNGUZA UJINGA NA UFALA SAWA MIMI SIO DADA NA HAKUNA SEHEMU NILIYOKUTUSI MBONA UNAFOSI KUNIITA DADA NI KUTAFUTA TU JAZIBA NA HII DIS TRACK YAKO IMEBUMA.Wanawake huwa mnaoneana wivu sana labda kama mwanamke awe amesoma na amejipata haoni sababu ya kufuatilia wenzie. Huyu dada mwenye uzi anaumia wenzake likizo wakibaki Dar na yeye akienda Mbwinde huko ndani ndani.
PUNGUZA UJINGA NA UFALA SAWA MIMI SIO DADA NA HAKUNA SEHEMU NILIYOKUTUSI MBONA UNAFOSI KUNIITA DADA NI KUTAFUTA TU JAZIBA NA HII DIS TRACK YAKO IMEBUMA.
USHAONA **** KWENYE MWILI WANGU AU NIWEKE PICHA HAPA ACHA KUPUMLIWA KUPITA KIASI KUNAKUCHANGANYA SANA NI AJABU KUFIKIA HATUA YA KUMWITA MWANAMME DADA UKIDHANI UNATWEZWA MTU UMEKOMAA SANA KAMA UNALIPWA AU UNAGONGWA NYUMA UNAJARIBU KUNIDISI NA MIMI NIKUGONGE NYUMA MIMI SIO CHOKO KAMA WEWE SINA MICHEZO MICHAFU KAMA YENU.
USHARIBIWA TANGU MADRASA KUTWA KUHISI KILA MTU ANA TABIA CHAFU KAMA ZAKO.