Wanafunzi wa university na ulimbukeni wa Dar

Wanafunzi wa university na ulimbukeni wa Dar

Ni km wasukuma na Mwanza, kila msukuma ukimwuliza atakuambia ametoka Mwanza, wasukuma ni washamba jamani! Unakuta ametokea Mwanhuzi, Bariadi, Lagangabilili, Mhunze, Kolandoto, Maswa, Lalago, Sengerema, Ushirombo lakini atakuambia ametoka Mwanza, Bwiru hapana!
 
kwanza jiji enyewe kwanza ni lichafu
Ni chafu na linanuka....Ningepata nafasi ya kuwa kiongozi jambo la kwanza ingekuwa kuweka majiji yote kwenye hali ya usafi ,kuweka jiji kuwa safi ni swala dogo sana ,ni kuweka sheria kali tu watu watanyooka ,unaanzia ngazi ya mtaa ,mtu akikutwa mazingira yanayomzunguka machafu faini ni laki 5 au miezi 6 jela na pia lazima wawe na mapipa ya kuweka taka ,hakuna kuchimba shimo wala kutupa jalala la mtaa.
 
Umechelewa kulijua hilo mkuu. Mtu akiingia Dar ni wa Dar ila akienda mkoani sio wa mkoani, ametokea Dar. Hilo jiji ni la kila mtu
 
Back
Top Bottom