Wanafunzi wa UDSM miaka ya 1970s to 1980s

Wanafunzi wa UDSM miaka ya 1970s to 1980s

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Posts
17,306
Reaction score
19,880
Nimependa sana uvaaji wao kusema kweli, nguo zilikuwa zinavaliwa kiunoni haswaaaaa tofauti na hawa wa sasa nguo wanavalio chini ya makalio.......

13318730_1364834186877227_1131106327_n.jpg
 
Sasa umewaficha nyuso kwani walivyovaa walivaa vibaya? mbona wako vizuri tu
 
Kipindi hicho ukimwi haupo, shida ilikuwa kaswende/ kisonono, unaimezea vidonge vya rangi mbili unaendelea kubeba milupo. Duh ilikuwa raha sana.
 
Back
Top Bottom