Mohammed Khatibu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 753
- 775
Lawyers in the making
Tukutane hapa tujadili scenario questions na mengineyo
Tukutane hapa tujadili scenario questions na mengineyo
Usihofu tutakufafanuliaWenzako wakikuja naomba mtufafanulie hili sakata la CAG na Spika, kisheria limekaaje ??
Na kabla hamja hitimisha mtu elezee kidogo kuhusu RC wa Arusha na DC, sheria na kanuni zinasemaje ??
Lawyers in the making
Tukutane hapa tujadili scenario questions na mengineyo
Subirini niwatafutie nafasiWale wa LL.M tunakaa wapi
Lawyers in the making
Tukutane hapa tujadili scenario questions na mengineyo
Legum Baccalaureus.Kirefu Cha LLB ni nini?
Justify the fact that both Positivist and natural law philosophies are natural law theories.Kirefu Cha LLB ni nini?
Sijaelewa Wakili Msomi tafadhali nipe uhusiano wa hayo Maelezo Na swali langu la kutaka kujua kirefu Cha LLBJustify the fact that both Positivist and natural law philosophies are natural law theories.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sory niliuliza swali lingine nmimi.LLB ni kilatin kirefu chake in Legum Baccalaures kwa kiingereza simply Bachelor of Laws.Legum in lex ambayo maanyake ni law.Kwa Kilatin uwingi wakati mwingine unarudia herufi ya kwanza ya jina kwahiyo ,hiyo L ya pili ni plural form ya lex, Baccalaures ndo bachelor yenyewe.Sijaelewa Wakili Msomi tafadhali nipe uhusiano wa hayo Maelezo Na swali langu la kutaka kujua kirefu Cha LLB