Wanafunzi wa sheria (llb) degree wote tukutane hapa tujuane

Wenzako wakikuja naomba mtufafanulie hili sakata la CAG na Spika, kisheria limekaaje ??
Na kabla hamja hitimisha mtu elezee kidogo kuhusu RC wa Arusha na DC, sheria na kanuni zinasemaje ??
Usihofu tutakufafanulia
It is a matter of applying abstract legal facts in a real context
 
Sijaelewa Wakili Msomi tafadhali nipe uhusiano wa hayo Maelezo Na swali langu la kutaka kujua kirefu Cha LLB
Sory niliuliza swali lingine nmimi.LLB ni kilatin kirefu chake in Legum Baccalaures kwa kiingereza simply Bachelor of Laws.Legum in lex ambayo maanyake ni law.Kwa Kilatin uwingi wakati mwingine unarudia herufi ya kwanza ya jina kwahiyo ,hiyo L ya pili ni plural form ya lex, Baccalaures ndo bachelor yenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom